Mshikamano VTC Usa-River

Mshikamano VTC Usa-River MSHIKAMANO VTC NI CHUO KILICHOANZISHWA 05/05/1998. CHUO HIKI KINAMILIKIWA NA DAYOSISI YA MERU IDARA YA WANAWAKE .

LENGO LA CHUO HIKI NIKUTOA MAFUNZO, UJUZI NA HARI KWA WASHIKADAU MBALIMBALI.

Mshikamano VTC katika ushirikiano na chuo kikuu cha Maendeleo ya Jamii TICD ,Tumeungana  na kufanya mdahalo wa kitaaluma...
07/02/2024

Mshikamano VTC katika ushirikiano na chuo kikuu cha Maendeleo ya Jamii TICD ,Tumeungana na kufanya mdahalo wa kitaaluma juu ya mada mbalimbali katika kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kuzitafutia ufumbuzi.

Mada zilizojadiliwa zilijikita katika changamoto za ukatili wa kijinsia na kujitambua kwa vijana hasa wanafunzi.

Mdahalo huu ulifanyika katika chuo cha MSHIKAMANO VTC 05/02/2024 na kuwahusisha wanafunzi, waalimu pamoja na maofisa kutoka kitengo cha utafiti na machapisho yanayohusu wanawake (NWRDC) Kilicho chini ya TICD .

Tunamshukuru Mwenyenzi Mungu kwa Mahafali ya 26 ya Chuo Chetu Cha Mshikamano Vocational Training Center,yaliyofanyika ta...
05/12/2023

Tunamshukuru Mwenyenzi Mungu kwa Mahafali ya 26 ya Chuo Chetu Cha Mshikamano Vocational Training Center,yaliyofanyika tarehe 02/12/2023 na Mgeni Rasmi alikuwa Mhe.Baba Askofu Elias Kitoi Nasari wa KKKT.Dayosisi ya Meru.

Tunamshukuru Mungu kwa chuo chetu cha Mshikamano VTC kutangaza bidhaa zetu za mbogamboga kwenye maadhimisho ya miaka 50 ...
23/11/2023

Tunamshukuru Mungu kwa chuo chetu cha Mshikamano VTC kutangaza bidhaa zetu za mbogamboga kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya World Vegetable Center mbele ya mgeni rasmi waziri mkuu mstaafu MIZENGO KAYANZA PETER PINDA .

Tunashukuru sana kwa msaada wa majiko ya kisasa kutoka kwa rafiki wa Chuo chetu cha Mshikamano VTC kutoka United States ...
25/09/2023

Tunashukuru sana kwa msaada wa majiko ya kisasa kutoka kwa rafiki wa Chuo chetu cha Mshikamano VTC kutoka United States of America, Wanafunzi wa Hotel management and food production watapata kujifunza zaidi kwa vitendo, kupata Uelewa mzuri wa Masomo yao na Kuongeza ufaulu.

Wanafunzi wa HOTEL MANAGEMENT wakiwa kwenye mafunzo kwa vitendo 17/03/2023
17/03/2023

Wanafunzi wa HOTEL MANAGEMENT wakiwa kwenye mafunzo kwa vitendo 17/03/2023

Ziara ya Mafunzo kwa wanafunzi wa waongoza watalii ( tour guide)
17/03/2023

Ziara ya Mafunzo kwa wanafunzi wa waongoza watalii ( tour guide)

Address

MKABALA NA NJIA PANDA, ARUSHA-MOSHI
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mshikamano VTC Usa-River posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Mshikamano VTC Usa-River:

Shortcuts

Share