Rising Stars Open School Arusha

Rising Stars Open School Arusha

Share

Rising Stars Open School Arusha trains and connect youths to Opportunities!! We believe that any one have a chance to change their sad history via EDUCATION.

Youths who lacks Education for many reasons Are getting chance to study and Become STARS.

Photos from Rising Stars Open School Arusha's post 14/09/2022

Haujachelewa!!

RISING STARS COLLEGE bado tunawasajili wanafunzi Wa kozi za mda mfupi(SHORT COURSES) Katika fani za

-HOTEL FRONT OFFICE

-HOTEL FOOD PRODUCTION AND HOUSE KEEPING

-MAFUNZO YA CAKE NA BITES

-COMPUTER,ENGLISH COURSE NA KIFARANSA.

Tunafundisha Kwa vitendo zaidi.

Njoo ujisajili au tupigie 0785451310 Kwa maelezo zaidi.
TUNAPATIKANA ARUSHA-SOMBETINI MADUKAN.

Photos from Rising Stars Open School Arusha's post 09/09/2022

Sasa Kozi ya HOTEL MANAGEMENT inatolewa Kwa vitendo zaidi.Rising stars college tunashirikiana na MAHOTELI ambayo ni washirika wetu kufundisha Kwa vitendo ndani ya Jiji LA Arusha Zanzibar na Hifafhini

Sasa unaweza kujiunga Kwa Intake ya mwezi Wa Tisa Kwa kozi fupi
MAWASILIANO.0785451310 [email protected]

Photos from Rising Stars Open School Arusha's post 28/08/2022

KARIBUNI TENA

23/08/2022

Kuanzia tarehe 1/9/2022 kutakua na punguzo la asilimia 20 ya ada Kwa wanafunzi Wa COMPUTER!!Wanafunzi wanapenda kunufaika wawasiliane na uongozi Wa chuo Kwa namba
0785451310 au e-mail. [email protected].

Photos from Rising Stars Open School Arusha's post 27/07/2022

MUDA WA MAFUNZO NDO HUU

Photos from Rising Stars Open School Arusha's post 07/07/2022

Intake ya SEPTEMBER inaanza tunakualika kujiunga na mafunzo ya HOTEL MANAGMENT na ni full au SHORT Course yenye mafunzo ya idara za

HOTEL HOUSE KEEPING

FOOD PRODUCTION

HOTEL FRONT OFFICE

Pia mafunzo ya COMPUTER APPLICATION,ENGLISH COURSE,
KIFARANSA NA UOKAJI WA CAKE VINAFUNDISHWA CHUONI.
Ni mafunzo ya Nadharia na Vitendo.Wasiliana nasi

0785451310 au Fika Arusha Sombetini Corner Darajani.

Photos from Rising Stars Open School Arusha's post 27/06/2022

K**a unaishi Arusha na maeneo mengine ya kitalii na kibiashara unapaswa kufahamu Lugha!!Karibu RISING STARS COLLEGE UJIFUNZE LUGHA ZA KIMATAIFA.

Photos from Rising Stars Open School Arusha's post 26/06/2022

Lugha ya kiingereza siyo ngumu unavyofikiri.Kila MTU anaweza kujifunza na kuelewa bila Kujali kiwango cha ELIMU.Hapa RISING STARS COLLEGE tutakufundisha na utaelewa Kwa muda mfupi Kwa ADA Nafuu kabisa.

MAWASILIANO.0785451310. AU FIKA CHUONI SOMBETIN CORNER ARUSHA.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Arusha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00