24/03/2023
CHUO CHA HILLBRI INSTITUTE OF TECHNOLOGY
kilichopo Arusha
kinakutangazia nafasi za masomo kwa mwaka 2023 - 2024
PROGRAMMES/ COURSES Tunazofindisha ni?
1.Astashahada ya hoteli menejimenti
2.Ualimu wa awali na shule za msingi
3.Astastahada ya utalii na wanyama pori
4.Astashahada ya uongozi wa kupokea
wageni.
5.Stashahada ya ukarani/ukatibu
(Sekretari)
6.Teknolojia ya habari
(Sayansi ya kompyuta)
7.watahiniwa waojitegemea
(PC & QT)
8.Mauzo na masoko
9.Ususi na urembo
10.Utawala wa biashara
11.Uandishi wa habari
12.Ukarimu kwa wateja na huduma
Kwa wateja
13.Utalii na masomo ya biashara
14.Masomo ya biashara
15.Uhasibu na fedha
16.Usimamizi wa mauzo
17.Usimamizi wa masoko
18.Ushonaji na ubunifu
19.Uhandisi wa umeme.
Mawasiliano
0762558054
0717022774
0767558054
0784022774