16/06/2020
Agizo la shule kufunguliwa ifikapo jun 29/2020 limetolewa rasmi leo na Mh.John Pombe Magufuli katika hotuba iliyosomwa jijini Dodoma ikiwa ni pamoja na shughuli nyingine zilizo sitishwa kwaajili ya janga la Corona kuendelea.
Aidha wananchi wame aswa kuendelea kujikinga ili kuweza kuepuka maambukizi yasiyo yalazima.