29/08/2026
๐ฅ๐ฅ WANAMICHEZO JIANDAENI! ๐ฅ๐ฅ
Mashindano ya Ambassador Cup yanakaribia! ๐ฅ๐
Wapenzi na mashabiki wote wa Taekwondo mnakaribishwa kushuhudia burudani na ushindani wa hali ya juu! ๐ฅ
๐๏ธ KIINGILIO NI BURE!
Usikose kushuhudia nguvu, vipaji na ushindani wa Taekwondo! ๐น๐ฟ๐ฅ๐ฅ