Kiswahili online learning

Kiswahili online learning

Share

Swahili language

15/08/2023

Home tutorials high school content kindly watsap 0710108607

07/01/2023

Habari za mwaka mpya 2023. Tunapoanza mwaka huu tuwe na matumaini ya mafanikio japo yajayo ajuaye ni Maulana. Kiswahili kinakua haraka sana Ulimwenguni. Usiachwe nyuma katika maendeleo ya ambayo huchangia katika kukuza uchumi kila leo. Nawatakia kila le heri katika shughuli zenu zote.
OGERA ERIC

10/04/2021

Hello students around kindly we offer online tuition for all subjects @2500 per month
Very quality learning you only need smartphone or computer and download zoom network coverage we offer. Orientation on how to use zoom will be done kindly all interested members watsap me your contact through the number in this page (0710108607)

02/03/2021

Hamjambo wadau. Swali la siku?

21/01/2021

Wale wote ambao wangependa kujiunga na kikundi cha watsap watume namba zao kwa nambari iliyoko katika ukurasa huu..asanteni

17/01/2021

Mazungumzo ni utanzu wa fasihi simulizi unaofaa kutiliwa maanani.
Jadili vipera vyake huku ukirejelea makala mbalimbali

14/08/2020

Kila kitu ungetaka kujua katika lugha ya kiswahili. Andika hapa utasaidiwa na k**a wewe ni mwanafunzi au mwalimu wa Kiswahili na una swali ungependa kuuliza pia uko huru kuleta utapata jibu bila shaka. Wale wa vyuoni zile nadharia ambazo mnashughulikia kwenye kozi mbalimbali usiachwe nyuma..Asanteni

24/07/2020

Hamjambo wangwana

13/07/2020

Eleza dhana ya chozi la heri

18/06/2020

Habari wadau badala wanafunzi wetu wapendwa kujiingiza katika mambo yasiyowafaidi ni vyema tuwafunze katika ukurasa huu
Hasa katika vitabu viteul
ewaelewe

13/06/2020

Hamjambo wangwana. Tuwe huru kichangia sana katika kujifunza lugha k**a lugha na k**a somo kwa wanafunzi wetu katika kila kitengo ...Asanteni

03/06/2020

Tuikuze lugha yetu iliyo bora tupate maendeleo nchini

Want your school to be the top-listed School/college in Westlands?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

N/A
Westlands
N/A