21/02/2026
Katikati ya mambo mengi, panda shuka za maisha haya, tuna chaguo la kumshukuru Maulana, Mungu wetu mwenye Enzi yote Kwa rehema zake kila siku♥️
's ambassadors
With god everything is possible
21/02/2026
Katikati ya mambo mengi, panda shuka za maisha haya, tuna chaguo la kumshukuru Maulana, Mungu wetu mwenye Enzi yote Kwa rehema zake kila siku♥️
's ambassadors
03/11/2025
Unaamua kuoa mwanamke mwenye Ako na ring kwa mapua na kitovû na mnajuanga it's only ng'0mbe borana Huwa anaekewa ring kwa puâ na pia inakuanga na maziwa so watu wanaipendâ 😂😂
Unasaidiwa kukamuä adi ukitoka kazi jionî ukijaribu kukamuä akuna mazîwa😂😂😂
Avoid those people
29/06/2025
Fanya hivyo nikupee 1000 sai
31/05/2025
14/05/2025
Mwanangu 🤠
Mapenzi ni hiari ya mtu! Don't force.
Akikupenda ni sawa, akikuacha ni sawa!
Uwe makini sana unapofanya maamuzi Katika safari ya mapenzi mwanangu 😋.
La sivyo utajiponza; utajipata gerezani, utajipata na ugonjwa, uenda ukajitia kitanzi au kufanya mauaji.
Mwanangu 🤠!
Women are unpredictable ✍️ leo anakupenda vizuri 🤗, kesho Asubuhi akiamka amepata mwengine 😅. That's their nature .
Imeandikwa, mwanamke ni kiumbe dhaifu.
Mwanangu 🤠, uwe na hekima Kila wakati, Fanya maamuzi sahihi na enye busara, usikubali kushawishika kwa ajili ya mapenzi. Wanaume wengi wamejipata kwenye njia panda kwa sababu ya maamuzi yao ya kujinga.
Mwanangu 🤠,
Mwanamke mzuri utoka kwa Bwana, sio Kila mwanamke mrembo ametoka kwa Bwana Mungu, la ! Kuwa makini sana Katika safari Yako ya kujenga ndoa.
Mwanangu 🤠, ndoa ni pingu za maisha, elewa neno "PINGU".
Tafuta mke mwenye akili, mke anaenua kuosha sufuria au mwiko baada ya kupika.
Mwanangu!, mkeo sio kijakazi bali ni mkeo✍️, mtunze na umpende iwapo mwenyezi Mungu atakujalia mke mzuri.
Mwanangu 🤠
Nakuombea Dua kwa Maulana akuongoze na akupe mke mzuri, pia uzao wako uwe enye baraka na ubarikiwe na watoto wenye afya njema mwanangu 🤠.
Uwe na Siku Njema yenye mafanikio, kibali mbele ya mwenyezi Mungu. Amina 🙏