18/06/2026
Ladies, No one will tell you this lakini mimi nitawaaambia... Hizi FP pills mnatumia, Zinawaumiza Na hamjui... Hizi pills zinafupisha maisha yenu... Na very soon mtakua wateja wa "kansa"... Hizi madawa mnameza k**a njugu kila siku zinawafupishia maisha... K**a unataka kuavoid mimba... Use safe days, tell your man to withdraw ama tumia Cd... Anything out of those three options, zinawaumiza... These pills are really limiting your quality of life... Unapata hauna psyc ya anything.. Unabaki tu unakaa k**a zombie... Most of them ni hormonal na zinamess na quality of life yenu vibaya saaana... Always pay attention when I am speaking... And if you are a man na unapenda mtu wako... Don't allow her to go through that torture... Wale madame wamekua messed up na hizo pills wanaweza kuwaambia... Amkeni.
street politician ke ❤️