SWAHILI STADIA

SWAHILI STADIA

Share

Teaching Swahili Online...Swahili Stadia hufunza Kiswahili mtandaoni. Karibuni. Matini za Kiswahili ambazo zinaoana moja kwa moja na mifumo ya elimu.

03/01/2025

Heko Dante Obwocha hatua murua. Tuzidishe ushirikiano.

Ushairi

Nyamosi Mtoto Wa Mfalme
Kabianga University

03/01/2025

Matumizi yasiyofaa ya 'Zuri'

Radio Maisha
GAZETI LA TAIFA LEO

03/01/2025

Hatua kwa hatua...
Hongera
CHAWAKAMA-CHUO KIKUU CHA LAIKIPIA
Nyamosi Mtoto Wa Mfalme
CHAKIKE CHAKIKE (Chama cha Kiswahili Chuo Kikuu cha Kenyatta)CHAKIKE (Chama cha Kiswahili Chuo Kikuu cha Kenyatta) cha Kiswahili Chuo Kikuu cha CHAKIKE (Chama cha Kiswahili Chuo Kikuu cha Kenyatta)CHAKIKE (Chama cha Kiswahili Chuo Kikuu cha Kenyatta)

03/01/2025

KONGOLE Chuo Kikuu Cha SEKU

KISWAHILI:LUGHA ASHIRAFU AFRIKA

03/01/2025

Heko Chakita

17/09/2024

Tuzidi pamoja
Thee Pride Of Africa

Hamisi Babusa
KiSwahili Books

Photos from SWAHILI STADIA's post 01/09/2024

Kiswahili Kitukuzwe
MdarisiMdarisi - CPA Wambugu YusufCPA Wambugu Yusuf
Israel Omwayi Chama Cha Kiswahili Cha Kenyatta

DHANA YA UANDISHI WA HADITHI FUPI SEHEMU 2 24/08/2024

Kiswahili Kitukuzwe

Uandishi wa HADITHI fupi katika mfumo wa umilisi.

Kiswahili Ulimwenguni
Chama Cha Kiswahili Cha Kenyatta
Chama Cha Kiswahili Chuo Kikuu Cha Chama Cha Kiswahili Chuo Kikuu Cha Eldoret.

Tumia kiungo hiki ili kufahamu zaidi

DHANA YA UANDISHI WA HADITHI FUPI SEHEMU 2 DHANA YA UANDISHI WA HADITHI FUPI SEHEMU 2

21/08/2024

Kiswahili Kitukuzwe

Usiachwe nyuma.

Chama Cha Kiswahili Cha Kenyatta


25/07/2024

NAMNA YA KUMKUMBUKA BEN MUTOBWA

BEN MUTOBWA 1958- 2008

Mmojawapo ya mbinu mwafaka ya kumkumbuka gwiji huyu ni kusoma kazi zake.

Galacha huyu aliyetuachia ukwasi na ubunifu aina yake hususan katika riwaya zake za kipelelezi.

Kila la heri Ben MUTOBWA katika duniani yako. Hata ingawa ulitangulia mbele za haki, Jaalia akujaalie hadi peponi.

BAADHI YA VITABU VYAKE

1 Salamu toka kuzimu
2 Tutarudi na roho zetu
3 Mtambo wa mauti
4 Malaika ya shetani
9 Dimbwi la damu
10 Pesa zako zinanuka
11 Mikononi mwa Nunda
12 Kiguu na njia
13 Dar es Salaam usiku

Want your school to be the top-listed School/college in Nairobi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


945-0350
Nairobi
000