SOMO LANGU

SOMO LANGU

Share

YATOKAYO HIVI SASA. WAPASWA KUJUA

17/11/2023

š’Œš’Šš’”š’˜š’‚š’‰š’Šš’š’Š - KUHASI

š’Œš’Šš’Žš’š’Žš’ƒš’ - Castration

Kš’Šš’”š’˜š’‚š’‰š’Šš’š’Š -USUSUANI

Kš’Šš’Žš’š’š’…š’ - Principled

24/09/2023

MANENO YAANZAYO KWA 'ka'
Karo- mahali paoshwapo viombo yaani kwa utohozi ni 'sinki'

Karo- Ada ya shule itolewayo shuleni.
Karisaji- fedha zitolewazo K**a malipo kwa muda wa ziada. Kwa ung'eng'e twasema ni 'overtime'

KASULA - vazi avaalo kasisi wakati wa misa.

KASAMA- Kiapo au yamini
KASIMU- Fanya mtu kuwa naibu ya mtu mwingine.
KASIMU- Gawa katikati, gawa sawia.
KATIKIRO- Tarishi au mesenja.
KATUA- Palilia has a magugu na kuyang'oa mashambani.
KAULENI- Mtu mwenye kauli mbili, asiye na msimamo
KAUTA - Ni vumbi.
KAUZU - Asiyejali wala kuona aibu; mpujufu

04/08/2023

WARIA
mtu mwenye ufundi fulani hasa kazi za mkono k**a vile ususi useremala.

11/07/2023
03/07/2023

NYAMAUME

MAANA
Mtu asiye mwoga
KISAWE
Shujaa

Want your school to be the top-listed School/college in Nairobi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


188
Nairobi