Madrasatul Islamiya Muhoroni

Madrasatul Islamiya Muhoroni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Madrasatul Islamiya Muhoroni, School, Kisumu, Muhoroni.

Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu.... Tunafuraha kubwa vijana wa muhoroni , tumeshikana mkono kwa mkono , pamoja ...
16/01/2026

Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu.... Tunafuraha kubwa vijana wa muhoroni , tumeshikana mkono kwa mkono , pamoja na ndugu zetu wa karibu na mbali , katika kuijenga msikiti wetu wa mjini, masjid Noor .... Hapo awali tulikuwa na lengo la repair lakini baada ya kuanzisha kuchangisha ya repair ... Tulikaa chini na ndugu zetu tukaamua kujenga tu mpya , so kwa ile contribution tukichanganya tukaongezea na zingine tulizopata kwa mandugu, marafiki wa karibu na mbali... Ma Sha Allah .... Kwa sasa tunavyo-ongea tuko katika 582,000... Katika kukusanya ... Na shughuli inaendelea ....

Ila kwa sasa tulionelea pesa zote ziwe sehemu moja kwa sasa nambari ya kuchangisha ni 0742732665 (Salim Juma) in Sha Allah ... Bado tunahitaji msahada wenu , japo kidogo namna gani usiogope kutuma kumbuka kila kitu ni kwa ajili ya ALLAH SWA,

Bado tunaendelea na ujenzi in sha Allah ... Nitakuwa na wa update kila tulisonga wabillahi TAufik

Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu.... Tunamshukuru mola kwa kutujalia kuiona siku mpya .... Ndugu zangu mlioko kw...
26/12/2025

Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu.... Tunamshukuru mola kwa kutujalia kuiona siku mpya .... Ndugu zangu mlioko kwenye group ... Huku muhoroni tuko na khairat kidogo ya renovation ya Mosque yetu ... Tunataka kurembesha kidogo msikiti na kufanya marekebisho. Kwa sehemu zilizoharibika ... Baada ya maneno nitatuma picha ya msikiti mwone ilivyo ...

‎Masjid Noor - Muhoroni restoration In Sha Allah
‎Poject scope before RAMADHAN 2026

‎Cement floor 8
‎Mabati 15 PCs - 8ft
‎Shade mabati 5pcs - 10ft
‎Marrum 7 wheelbarrow

‎Roofing nail - 2kg
‎2 inch - 2kg
‎4inch - 2kg
‎3inch - 2kg

‎tulikuwa tunawaomba mtuunge mkono kwa hili jambo ya kufanya hii khairati... Kumbukeni alivyosema Mtume wetu Muhammad SAW, atakaye mjengeya Mola wetu ALLAH nyuma hapa dunia kwa ajili ya ibadaa , basi Allah anakujangeya Nyumba peponi....
In Sha Allah .. kwa Maelezo zaidi au Mchango wako... Unawezakutafuta
Wabillahi TAufik .Masalam

kwa maelezo au Mchango : 0706207037 - Abdalla Mohammed

1. Abdalla Mohammed - 500
2. Saidi Mateno - 250
3. Mohamed Abdulrahman - 200
4. Medinah Hussein - 1000
5. Salma Mohammed - 500
6. Yahya Abbas - 500
7. Mohammedy mzee - 1000
8. Hadija alutsehe - 300
9. Alawiya Mohammed - 100

KISA KIZURI SANA USIACHE KUKISOMA.Nini maana ya Subira ya  Ayyub?Chukua dakika 3 kusoma...Nabii Ayyub (AS):Mwenyezi Mung...
05/05/2025

KISA KIZURI SANA USIACHE KUKISOMA.
Nini maana ya Subira ya Ayyub?
Chukua dakika 3 kusoma...

Nabii Ayyub (AS):
Mwenyezi Mungu alimruzuku Nabii huyu watoto saba wa kiume na saba wa k**e, akampa mali nyingi na marafiki. Kisha Allah akataka kumjaribu ili awe mtihani na mfano wa kuigwa kwa watu wengine.

Alipoteza biashara yake, watoto wake wote wakafariki, na akapigwa na ugonjwa mkali uliomfanya asiweze kutembea, na watu wakaanza kumkimbia hadi wakamtupa nje ya mji wao kwa hofu ya kuambukizwa. Hakubaki na mtu yeyote ila mke wake ambaye alikuwa akimhudumia, hadi ikambidi afanye kazi kwa watu ili apate chakula kwa ajili yao.

Ayyub (AS) alibaki kwenye hali hiyo kwa miaka 18 bila kulalamika hata kwa mke wake. Siku moja mke wake akamwambia: “Mume wangu, kwanini usimuombe Allah akuondolee haya mateso?”
Akasema: “Tumekaa kwa raha kwa miaka mingapi?”
Akasema: “Miaka 80.”
Akasema: “Ninaona haya kumuomba Allah aniondolee mateso kabla sijafikia hata nusu ya muda wa raha niliyopewa.”

Baadaye, watu walimkataa hata mke wake kwa hofu ya kuambukizwa, hadi akakata nywele zake kuuza ili apate chakula. Aliporudi Ayyub akamuuliza alipotoa chakula hicho, akakataa kusema. Siku iliyofuata akakata na kuuza nywele nyingine, na Ayyub akasisitiza kujua. Alipoona kichwa chake kilikuwa kimekaushwa hakina nywele, Ayyub alihuzunika sana na akamuomba Mola wake kwa unyenyekevu mkubwa:

“Rabbi inni massaniyad-dhur wa anta arhamur-raahimeen”
(“Mola wangu, hakika mimi nimeguswa na madhara, nawe ndiwe Mwenye kurehemu zaidi.”)

Allah akamwamuru:
“Piga mguu wako ardhini, hapo pana maji ya kuoga na ya kunywa.”
Akaoga na kunywa maji hayo, akarudi kuwa na afya k**a zamani. Mkewe alipomwona hakumtambua na akamuuliza: “Umemwona yule mgonjwa aliyekuwa hapa? Wallahi umefanana sana na yule mgonjwa wangu kabla ya kuumwa!”
Akasema: “Je, hukunitambua? Mimi ni Ayyub!”

Ibn Abbas anasema: Allah hakumkirimu Ayyub peke yake, bali alimkirimu pia mke wake ambaye alivumilia naye. Hivyo, akamrudisha akiwa kijana tena, na a

JANNNAH
06/04/2025

JANNNAH









Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu... In Sha Allah .kesho ( alhamisi 13 Feb 2025 ) baadala magrib tutakuwa na Dua ...
12/02/2025

Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu... In Sha Allah .kesho ( alhamisi 13 Feb 2025 ) baadala magrib tutakuwa na Dua ya ni Niaful shaban ... Wote waalikwa in Sha Allah

Sheikh wetu, mtumishi wetu Ustadh Abu Idd Muhammad Idd wa Tanzania ametuaga 😭.. اللهم غفر له ورحمه وسكنه في الجنة
30/01/2025

Sheikh wetu, mtumishi wetu Ustadh Abu Idd Muhammad Idd wa Tanzania ametuaga 😭.. اللهم غفر له ورحمه وسكنه في الجنة

ANGEL GABRIEL (JIBREEL)One day Rasöölillah ﷺ asked Jibreal ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ , "Have you ever travelled at full speed?"Jibreal ...
26/01/2025

ANGEL GABRIEL (JIBREEL)
One day Rasöölillah ﷺ asked Jibreal ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ , "Have you ever travelled at full speed?"
Jibreal ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ said, "Yes, on four occasions."
Rasöölillah ﷺ asked, "What were the four occasions?"
Jibreal ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ said, "First time was when Ibrāheem ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ was placed in Nimrud's fire. At the time I was near the Arsh-Throne. Allāh ordered me to cool the fire. I left the Arsh and descended seven heavens in time.
Second time was when Ibrāheem ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ was about to sacrifice his son Ishmael ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ in Mina. Allāh ordered me to replace his son with a lamb, before Ibrāheem ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ struck with his knife.
Third time was when, the brothers of Yusuf ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ threw him into the well. Allāh ordered me to save Yusuf ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ , I rushed and placed my wing underneath Yusuf ﻋﻠﻴﻪ ﺍﻟﺴﻼﻡ before he reached the bottom of the well.
And the final time was when you, Ya Rasöölillah ﷺ , injured your tooth at the battle of Uhud. Allāh'Sūbhanahu'Wa ta'ala ordered me to stop your blood reaching the ground, otherwise no plant or tree would grow, till the end of the world. Hearing this, I rushed and saved your blood with my wings."
SubhanALLAH
May Allah be pleased with the holy prophet Rasululah....

Hakika
13/01/2025

Hakika

02/01/2025

Big shout out to my newest top fans! Kassim Mateno, Yakub Onyango

13/12/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Victor Omondi, Jumaa Mwakina, Abdallah Hemedi Likai, Ali Bokoko, Esha Nyagali, Abdull Malick, James Mangazine Tz, Ramadhan Opanda, Mohamed Ndote, Mohamed Hido, Ramadhan Asabo, Munaah Munish, Chimamy Chimammy, Hussein Zitto, Mariame Bah, Madebe Abdulkarim, Tatu Hamisi, Shami Uhonde, Niyonizeye Muhamed, Abdulbigpape Abdul, Sanja Hatwabyy, Yaseen Abdallah, Mõhã Mgãzã, Hussein Mbombo, Idaya Abdul, Abubakar Mmata, Mwalimu Rashidi, Ramadhani Gama, Ibrahim Alinuoor, Charlles Oloo, Ali Abdulrahman, Duli Drk Ramaah, Gerald Tembo, Boy Mpole, Mohammedy Dady Mbaruku, Dindji Møufe, Latifah Kanka, Athumani Buhoro, Konso Konso, Mud Yasin, Ramadhani Hemedy, Juma Mbuguni, Mbwana Daddi, Mohaa Abdi, Chimera Fundi, Zainabu O Simba, Musa Mako, Mariam Khadzo, Ummu Ammar, Nashaz Omar

11/12/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Victor Omondi, Jumaa Mwakina, Abdallah Hemedi Likai, Ali Bokoko, Esha Nyagali, Abdull Malick, James Mangazine Tz, Ramadhan Opanda, Mohamed Ndote, Mohamed Hido, Ramadhan Asabo, Munaah Munish, Chimamy Chimammy, Hussein Zitto, Mariame Bah, Madebe Abdulkarim, Tatu Hamisi, Shami Uhonde, Niyonizeye Muhamed, Abdulbigpape Abdul, Sanja Hatwabyy, Yaseen Abdallah, Mõhã Mgãzã, Hussein Mbombo, Idaya Abdul, Abubakar Mmata, Mwalimu Rashidi, Ramadhani Gama, Ibrahim Alinuoor, Charlles Oloo, Ali Abdulrahman, Duli Drk Ramaah, Gerald Tembo, Boy Mpole, Mohammedy Dady Mbaruku, Dindji Møufe, Latifah Kanka, Konso Konso, Mud Yasin, Ramadhani Hemedy, Juma Mbuguni, Mbwana Daddi, Mohaa Abdi, Chimera Fundi, Zainabu O Simba, Musa Mako, Mariam Khadzo, Ummu Ammar, Nashaz Omar, Khady Khaddijjah

Address

Kisumu
Muhoroni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Madrasatul Islamiya Muhoroni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share