29/05/2026
πππππ ππππ πππ πππππππ πππππππ
πππππππ π
Nura akienda sokoni,Mathew alimfuata akamuuliza k**a wataandamana? Nura akamwambia ndio ila watu wataongea wakituona. Mathew akamwambia wee achana na watu bna,ju hata wakisema watadu? Nura akamwambia wewe Mathew najua unaniambia tu nijihizi vizuri ila unajua mimi na wewe hatuendani mimi si type yako. Mathew akamwambia come,wewe ni kadem kapoa,kasupu,kakind so uko tu sawa usijali.
Tyrone ashapigia bank akawaambia kuna pesa yafaa achukue so he had to convince bank ndio watoe. Asha alikua hapo akamuuliza dad,pesa si ni zako mbona lazima uwaambia? Tyrone akamwamboa listen my daughter kazi sisi watu wa pesa huwa hivyo,so lazima tupeane sababu kwanza.
Punde si punde, Stano akamcall Tyrone,akamwambia mzae,ni ulete pesa na ukuje peke yako or else mambo yatakua mbaya. Saida alisikia,Sabina alikua hapo akasimia na Sabina akaambia Tyrone please,enda peke yako ju ukienda na mtu maisha ya Tinah yatakua in danger,please enda tu peke yako.
Stano na yeye ako na kibarua,atoke na Tinah kwa nyumba,aende na yeye hadi penye yafaa wakutane na akaambia Tinah sikiza,ni ucoperate or else utaona cha mtema kuni.
Tyrone akitaka kuondoka, Ray alifika. Saida akasema ju Ray amefika,acha aende na Ray. Ray akawauliza mnaongelea nini? Asha akasema wanaenda kupeleka pesa Tinah aachiliwe. Ray akaanza kucheka,akawaambia sikiza, Tinah hajakua kidnapped,ni script imechorwa tu hapa. Tyrone akamuuliza unamaanisha nini? Ray akawaambia sikiza,Tinah hajakua kidnapped,ni pesa za babake tu anangoja aendelee na sherehe. Sabina akaamka na hasira sana akamwambia wewe unajua uache ujinga? Ray akamwambia nyamaz,anaez ahata wapeleka penye Tinah ako.
Brayson aliamua kufunguka,akaambia Tyrone,sijasema ati Tinah anakutoka pesa,yeye hayuko hivyo,but kuna mtu anampush.Kisha Brayson akaangalia Sabina na kila mtu akaangalia Sabina hadi Sabina akawaambia wee mbona mnaniangalia mimi πππBrayson alikua very cleat,akawaambia sikiza,Tinah hajakua
28/05/2026
28/05/2026
28/05/2026
28/05/2026
28/05/2026
28/05/2026
27/05/2026
27/05/2026
27/05/2026