Kiswahili Writers Hub

Kiswahili Writers  Hub Kiswahili Writers Hub ni jukwaa la waandishi chipukizi na wenye uzoefu linalolenga kukuza uandishi wa Kiswahili.

Hapa waandishi hujifunza, hushirikiana, na kubadilishana mawazo ili kuboresha sanaa ya uandishi na kuhifadhi lugha ya Kiswahili .

23/05/2026

“Usiogope kuanza kuandika vibaya. Waandishi bora waliwahi kuwa wanafunzi wa kalamu.”
Mini story

22/05/2026

Ni tamthilia rwaya ipi uliipenda sana ukiwa shuleni?

Mimi: Chozi la heri

22/05/2026
22/05/2026

“Fasihi ni kioo cha jamii.” ✍️

Jamii hujiona kupitia hadithi, riwaya na mashairi.

22/05/2026

📚 Usikate tamaa na Kiswahili.
Kila ukurasa unaousoma leo unaweza kuwa ufaulu wako kesho. ✍️🔥

22/05/2026

🎯 MAUDHUI KATIKA RIWAYA YA UTENGANO 🎯

✔️ Migogoro ya kifamilia
✔️ Tamaa na ubinafsi
✔️ Ukosefu wa haki
✔️ Nafasi ya mwanamke
✔️ Utengano katika jamii

Riwaya ya Utengano inaakisi maisha halisi ya jamii ya leo.

22/05/2026

✍️ MHUSIKA: KAZIJA ✍️

Kazija ni mmoja wa wahusika muhimu katika riwaya ya Utengano. Anaonyesha namna tamaa, migogoro na maamuzi ya kibinafsi yanavyoweza kuathiri familia na jamii kwa ujumla.

Je, unaonaje nafasi ya Kazija katika riwaya hii? 👇

22/05/2026

📚 UFAHAMU WA RIWAYA YA UTENGANO 📚

Utengano ni riwaya iliyoandikwa na Said Ahmed Mohamed inayojadili matatizo ya kijamii k**a vile migogoro ya kifamilia, tamaa, ukosefu wa haki na utengano wa kijamii. Riwaya hii hutumia wahusika mbalimbali kuonyesha changamoto zinazowakumba watu katika jamii ya kisasa.

05/05/2026

Jibu methali:
Achanikiaye kwenye mpini.........

04/05/2026

Alinitazama kwa macho yaliyojaa huzuni… “Sio kwamba sikupendi,” alisema, “ni kwamba maisha hayajatupenda.”

Unafikiri nini kitaendelea? Toa maoni yako 👇👇👏

Address

MABERA
Migori
40400

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiswahili Writers Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category