27/02/2023
๐คด
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Doctor.O.Jay, College & University, Luanda, Kisumu.
27/02/2023
๐คด
If you experience a combination of 2 or more of this symptoms, be worried of diabetes. Seek medical advice from your healthcare provider as soon as possible.
1. Increased thirst.
2. Frequent urination.
3. Deep and rapid breathing.
4.insects going after your urine.
5. A sweet smell in your breath.
6. Unexplained weight loss.
7. Increased hunger.
jay
๐โโ๏ธNINI SABABU ZA HARUFU MBAYA UKENI (VAGINAL ODOUR)...
-Harufu mbaya ukeni ni tatizo linalowatokea Wanawake wengi sana na ni jambo ambalo linakosesha Furaha na amani kwa wanawake wengi.
๐โโ๏ธ๐โโ๏ธAsilimia kubwa ya wanawake wenye Changamoto hii, hupoteza kujiamini (comfortability) na wakati mwingine kujikuta hata kutokuwa katika mahusiano kabisa au kukutana na mwenza wake kutokana na Harufu kali (mbaya) inayotoka ukeni.
โก๏ธ Sababu Kubwa ya tatizo hili ni uchafu unaotoka ukeni (Vaginal discharges) usio wa kawaida.
๐๐ผKuna aina ya uchafu usio wa kawaida ukeni, aina hizi husababishwa na kuzaliana kwa kasi au ongezeko la bacteria k**a vile Funguses. Pia Ni dalili ya maambukizi ya Magonjwa ya zinaa k**a kaswende, kisonono n.k
*๏ธโฃ ZIPO SABABU/VYANZO VINGINE VYA TATIZO HILI k**a ifuatavyo;-
๐๐ผ Maambukizi katika via vya uzazi (P.I.D) na magonjwa ya zinaa (STDs&STIs)
๐๐ผ Mirija ya uzazi (fallopian tubes) kujaa uchafu.
๐๐ผ Fangasi sugu inayojirudia rudia
๐๐ผ UTI sugu inayojirudia rudia
๐๐ผ Kuvaa nguo za kubana sana kwa muda mrefu yenye kupelekea mazingira ya Uke kuwa na joto sana.
๐๐ผ Kutumia baadhi ya pads ambazo hazipitishi hewa zenye kupelekea joto, Miwasho na kuzaliana kwa Fangasi na kukaa na pedi kwa muda mrefu. Hii inajumuisha matumizi yasiyo salama ya pads.
๐๐ผ Kutumia bidhaa za Vijisumu (antibiotics) kusafisha Uke i.e medicated soap na Aina mbalimbali za manukato ukeni.
๐๐ผ Kutokwa na uchafu kupita kiasi (excessive vaginal discharges)
Tatizo hili la harufu mbaya ukeni, huweza kuambatana na complications (Hali zisizo za kawaida) ZIFUATAZO;-
โก๏ธ Maumivu makali chini ya kitovu (hasa wakati wa hedhi)
โก๏ธ Mwanamke kupata Maumivu ya Nyonga (kiuno) na mgongo.
โก๏ธ Kupata Miwasho mikali na Vipele vidogovidogo ukeni.
โก๏ธ Kuhisi maumivu katika kibofu na wakati wa kukojoa.
โก๏ธ Kuhisi maumivu katikati au baada ya kumaliza kujamiiana.
โก๏ธ Kuwa na Uke Mkavu sana, kuishiwa uteute kwa haraka wakati wa kujamiiana.
โก๏ธ Kupata michubuko na Uke Kuvimba (kuwa
Hey friends๐