12/05/2024
https://youtu.be/anAzBk-uHxk?si=dP-DVlGUykUpmbew
MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE: FADHILA ZA PUNDA
Ninaangazia mtiririko dhamira ufaafu wa anwani Maudhui na Wahusika katika Hadithi FADHILA ZA PUNDA. Wasiliana nami kupitia 0712366932 kwa mwongozo wa BEMBEA ...
05/05/2024
https://youtu.be/bXnDpqknEEU?si=KIoo-ej4XixyfOZE
MAPAMBAZUKO YA MACHWEO: TOBA YA KALIA
Ninaangazia Hadithi Toba ya Kalia kwa utendeti na ufasaha. Mtiririko, Wahusika, manthari, ufaafu wa anwani na Maudhui. # tobayakalia
28/11/2023
https://youtube.com/?si=jk7uzWroMYQuSfD-
Brian Witkins - YouTube
MWALIMU WA KISWAHILI NA FASIHI✓MWANAFALSAFA/ MWANAHISTORIAWasiliana nami kupitia 0712366932 au barua pepe [email protected] katika kampuni la...
14/11/2023
Kwa wale ambao walifuatilia kipindi cha Jumamosi, niligonga ndani katika KCSE 2023. Heko! Kwenu, kila mchezea wembe, ahadi ni deni na swali la lazima pia USHAIRI
09/10/2023
https://youtu.be/g3Gtex7i6Hw?si=bkwKXwJ_Bq0U1AxN
MAPAMBAZUKO YA MACHWEO: KIFO CHA SULUHU
Ninaangazia mtiririko, Wahusika, manthari ufaafu wa anwani na Maudhui Kwa utendeti katika Hadithi kifo cha suluhu
27/08/2023
https://youtu.be/Z0Rh8NUgg9g?si=yVD2-M4TSxavnQeN
TAMTHILIA YA BEMBEA YA MAISHA: MAANDALIZI YA KCSE.
Ninaangazia maandilizi ya mtihani wa KCSE katika tamthilia ya Bembea ya maisha. Manthari, Wahusika na uhusika, maudhui na baadhi ya maswali tata katika tamth...
25/08/2023
I've received 100 reactions to my posts in the past 30 days. Thanks for your support. 🙏🤗🎉
15/07/2023
Baadhi ya maswali tata katika sarufi.
Usikose !
Brian Witkins - YouTube
MWALIMU WA KISWAHILI NA FASIHI✓MWANAFALSAFA/ MWANAHISTORIAWasiliana nami kupitia 0712366932 au barua pepe [email protected] katika kampuni la...
08/07/2023
https://youtu.be/SAJrv_q0cEQ
MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE: NIPE NAFASI
Ninaangazia mtiririko,dhamira,ufaafu wa anwani, Maudhui na Wahusika katika Hadithi NIPE NAFASI
07/05/2023
https://youtu.be/UCIF3tIgqos
MAPAMBAZUKO YA MACHWEO: MSIBA WA KUJITAKIA, MAUDHUI, WAHUSIKA NA MBINU ZA UANDISHI
Ninaangazia Diwani mapambazuko ya machweo na Hadithi nyingine, msiba wa kujitakia. Maudhui, wahusika na sifa zao pamoja na Vipengele vya kimtindo ...
05/05/2023
Je,kuna mwingiliano upi kati ya ushairi na nyimbo katika fasihi simulizi? Kesho usikose mada hii kuanzia saa nne hadi saa tano ndani ya dawati la lugha West TV.
Kisha baadaye saa tano hadi saa sita, "Ahadi ni deni" Hadithi yake profesa Rayya Timammy kwenye antholojia ya mapambazuko ya machweo na Hadithi nyingine.
04/05/2023
Lisemwalo lipo na k**a halipo....
26/03/2023
https://youtu.be/b6o9HDnwyNA
MASUALA IBUKA KATIKA UTAHINI WA INSHA. 102/1
Ninaangazia masuala ibuka katika utahini wa insha shule za upili. Fahamu kuhusu vitahiniwa vya insha na mikakati ya kuweka ili kupata alama za juu Katika ins...
28/01/2023
https://youtu.be/4fwwjgpoHhg
MAPAMBAZUKO YA MACHWEO: SABINA, MTIRIRIKO.
Ninaangazia mtiririko, dhamira ya mwandishi na ufaafu wa anwani ya Hadithi SABANA nami kupitia 0712366932barua pepe ode...
22/01/2023
WAHUSIKA KATIKA FASIHI SIMULIZI
✍️Wahusika ni viumbe wa sanaa ambao hutumiwa katika kazi ya fasihi kuwasilisha maswala mbalimbali.
a) Fanani-anayetunga na kuwasilisha fasihi simulizi.
b) Hadhira-kusikiliza, kutazama, kushiriki wa kuimba, kuuliza maswali, kutegua vitendawili, kupiga makofi, n.k. kuna aina mbili za hadhira: (i) hadhira tendi/hai na (ii) hadhira tuli.
c) Wanyama-wanaofanya k**a binadamu na kuwakilisha sifa k**a vile ujanja, ulaghai, tamaa na ujinga na wanaobakia wanyama tu.
d) Binadamu
e) Mazimwi na majitu-viumbe vyenye matendo na maumbile ya kutisha k**a vile jicho moja, vichwa viwili au zaidi, nusu mtu na nusu myama, wenye tamaa iliyokithiri ya kuweza kumeza kila kitu, kuhifadhi na kutunza binadamu ananyoyapendeza.
f) Wahusika vitu (visivyo na uhai) mawe, miti, vijaluba, vibuyu-hutumiwa kuibua imani za kidini.
g) Mizimu-roho za waliokufa-hutembea, hula na huathiri binadamu.
h) Miungu-viumbe vyenye uwezo mkubwa dhidi ya binadamu k.m. katika mighani na visasili.
19/01/2023
Haijalishi jana na juzi ilikuwaaje, Muhimu ni unachokifanya leo. Palinyang Billy Gabriel