Ian kipz

Ian kipz

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ian kipz, College & University, Kachibora, Kilimani.

20/03/2024

Hayuko busy,Hakupendi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

27/01/2024

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„๐’: ๐๐„๐‚๐Š๐˜ ๐Ÿ๐Ÿ”๐“๐‡ ๐‰๐€๐
Follow Nandwa Isaac

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Goood evening. Ndio Imelia,Becky na Junior wametoka out. Walienda kwa kibanda wakakula chipo na samaki na ndio wanarudi. Imelia na Becky wako very happy sana for the treat lakini punde si punde, mood zao zikaharibika mara moja,kwa nini? Trisha na Moses wakafika๐Ÿคฃ๐ŸคฃImelia aliambia Trisha atoka lakini Moses akaomba kuongea na Imelia privately na akaambia Junior an Becky watoke kiasi. Trisha na kiherehere akambia Becky na Junior,out teketeke tunataka kuongea lakini Moses akamwambia sweetie,pia wewe kanyaga nje๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃTrisha akashangaa akamuuliza babe, seriously,pia niende ama umesema aje? Moses akamwambia sijasema uende but nimesema uwe penye Becky wako,so k**a wako nje,pia kanyaga nje nataka kuongea na Imelia privately๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Trisha aliumwa....

Becky huku nje wanashangaa hao wanaongea kuhusu nini but wakaona Trisha pia ametoka nje,kuna kale aAibu ako nako kwanza venye aliona Junior akishika shika Becky,akaamua kuja kuchoma,akamuita Junor babe na akamuuliza k**a hamiss wife yake. Becky akaboeka akaenda.

Haya turudi kwa nyumba, Moses wameongea na washaelewana already,washakuja into agreement na ukiona kitu Moses na Imelia wako into agreement ujue Trisha haezi furahia na ndio maana pia akatoka nje. Kisha Imelia akamwambia Moses, kuwa makini sasa na Trisha,she is soo evil lakini Moses akamwambia Imelia,mimi naona Trisha ako tu sawa kwanza amefanya niko 80yrs but nafeel niko 20yrs๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mzee amepewa penzi ako confused but amepewa warning na Imelia.Wakati Moses walimaliza meeting,Trisha akataka kujua wameongea nini hadi Moses akashindwa ona haka nako...

Its D-Day Lexy anatoa hosi na k**a kawaida, chawa wake, Tito na Moh walifika mapema sana kumchukua. Nurse aliambia Lexy, Mungu ameupea chance ingine,please ukiamua kukunywa,kunywa responsibly. Lexy sai ako fiti,she can walk poa hadi Tito wako happy sana kuona mdosi wao. Moh akamwambia by dha way, food unapenda nishakuandalia na room yako nishakutengenezea,leo utakula na kulala tu,haya twende home. Lexy akapea Moh papers fulani apeleke home na akaambia Tito,nataka twende tupige malap kidogo,kuna kitu anataka kufanya. Tutakuja kuoan ni wapi waanenda.

Ghetto, Becky na Imelia washaamka kufua fua hapo kidogo,Imelia ameamua hatakaa tu bure akichoka,heri achoke akifanya kazi,laini punde si punde, Becky akasikia sauti yenye anachukia sana ikimwambia "naona mnabond",kumbe Lexy na Tito walikua wanakuja huku. Becky alijam,akauliza Lexy,unafanya nini? Lakini amekuja kupasha mamake,akamwambia uljifanya sana unanipenda kumbe ulikua unataka kuniua? Imelia akashtuk,akamuuliza unaongelea nini? Lexy akamwambia ulitaka kunipoison nipate heart attack unadhani sijui? Imelia alicheka tu na Becky akaambia Lexy,saa zingine your enemy is closer than you think. Lexy akaona mtu ako close ni Tito tu akamwambia Tito haezi niua,namtrust sana. Becky akamuuliza unatrust mtu umemeet juzi? Tito akajitetea akamwambia mimi siezi ua mtu,Becky akamwambia wee pia nyamaza hakuna mwenye amekuuliza alah๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃKumbe Lexy aliamini ujinga wa Moh venye alimwambia anashuku sana mamake anataka kumuumiza na hii ndio imemleta huku,lakini Imelia aliambia Lexy sikiza, asante sana kuamini strangers wenye hujui and for me Iam soo happy kupendwa na stranger. Becky amenionyesha penzi la mama na mtoto wake. Hadi Imelia akaambia Becky,asante sana kunipenda hadi akamhug mbele ya Lexy. Imelia ameona Becky is soo important than her daughter Lexy. Lexy aliaibika tu akaenda.

๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Trisha bado anatafuta who Abdulkadir is,yule mwenye alisikia Imelia akiamboa Lexy kuwa ndio babake but mwenye alimpea kazi ya kuuliza,pia hamjui na Tridha hataki Moses ajue kitu k**a hiyo,ungeshindwa sana what she is upto. Trisha aliuliza Moses,unafeel aje now that ushapata mali? Moses akamwambia so far sijafeel kitu tutaishi tu kawaida. Trisha akammwambia babe unaonaje hii mali ju huezi jua ya mwisho udraft will just incae kitu ifanyika familia yako isipigani9we? Moses akamwambia mimi sina familia,familia yangu ni James na alikufa na tena ni Lexy na unaona venye ako. Trisha akajiuliza,hii ina maana,akioana na Moses alafu Moses akufe,hii mali ya Moses yooote itakua yake? Akajua baaasi mzeee eeh, anza kufanya zoezi ya kukunywa maziwa an asali huko mbinguni๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃTrisha,chenye anataka sasa ni Moses kukufa.

Lexy ndio kufika anafika home na akaitisha Sanchez aitwe. Moh anajifanya sana amefurahi Lexy kurudi. Kumbe Lexy ako na hasira na Sanchez ju hakukuja kumuona hosi. Sanchez kufika,akaulizwa mbona hukuja kuniona hosi? Sanchez akamwambia maybe uulize mamako,yeye ndio ana sababu ya why. Lexy akamuuliza tena,kati ya mamangu na mimi nani ndio sonko wako? Sonko ni wewe, eeh mbona hukuja kuniona na huyu Imelia ni nani kwako Sanchez ama wewe ndio ulienda kuambia madhe nimelazwa hosi? Sanchez aliona huu ni ujinga,akauliza Lexy,hii chuk yote ni ya nini, uko hapa kujifanya sonko sana unasahau wewe ni mtoto badala utafutane na mamake msolve your issues,ni akili hauna ama nini msichana? Lexy akajam,akauliza Sanchez ni nani unaongelesha hivi? Hadi karibu anataka kupiga Sanchez lakini akashikwa na Tito. Lexy akaambia Sanchez k**a unataka kusight na madhe enda ukae huko na yeye. Sanchez akamwambia ujinga,kaa na hii kazi yako alah, kwenda huko,kichwa k**a mabega ya shingo. Moh akafutahi akachangia akaaambia Lexy, umefanya vizuri sana huyu Sanchez amekua kichwa,laini pia akageukwa,akaambiwa wee pa nyamazisha mdomo nikiongea๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃLexy ameonyeshwa if kiburi was a person na Sanchez.

Sanchez alitoa nguo za kazi akatupia Lexy na huyoo akatoka. Tito alimfuata akamwambia Sanchez, ni nini nduguu? Sanchez alimwambia wewe bro endelea kulamba huyu mdem mimi siezi. Lexy alikuja akamwambia ondoka,siezi kaa na snitch k**a wewe. Moh bado kanachangia anasema yeye na Tito wanatosha kubaki huku. Kisha Lexy akaapa,atwafunza Sanchez,Imelia na Becly lesson. Acha tungoje tuone lesson gani hii watafunzwa.

Baada ya masaa, huku ghetto kwa Becky,walibishiwa. Kumbe ni Imelia peke ako kwa hao kufungua mlango akaulizwa wewe ndio Imelia? Akasea yeah,akaambiwa basi,you are under arrest for attempted murder. Just like that, through influence ya mtoto wake Lexy,akashikwa.

Sanchez ndio anafika mtaa,akaambia Junor na Becky ashaacha lazi. Walifurahi sana na Becky akamwambia mtu mpoa k**a wewe hufai kufanyia Lexy kazi,hawana habari huko nyumbani Imelia ashashikwa na mapolisi. Alafu upate si polisi,ni watu wa wmetumwa kumuua!!

Hadi kesho majaliwa.

07/01/2024

Akuna kitu tamu kam

16/10/2023

Becky lover's hi

07/09/2023

Hey guy im single

13/06/2022

Chelsea is beta Manchester united

Want your school to be the top-listed School/college in Kilimani?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Kachibora
Kilimani