Katana Ngala Secondary School

Katana Ngala Secondary School Katana Ngala Secondary School is a mixed day school located in Kilifi county, Kilifi North subcounty-Matsangoni ward.

It is located approximately 500m away from Msa-Mld road.

Day 2 is gone ✨🎉🎉KAHOCHO SUPER CUP🤗✨
12/08/2026

Day 2 is gone ✨🎉🎉
KAHOCHO SUPER CUP🤗✨

HAPPENING NOW !!✨ Kahocho Super Cup⚽VENUE: Katana Ngala Secondary School grounds.It's another great opportunity for Mats...
11/08/2026

HAPPENING NOW !!✨
Kahocho Super Cup⚽
VENUE: Katana Ngala Secondary School grounds.
It's another great opportunity for Matsangoni youths to showcase their talents.🤗
May the best team win
✨🌟

05/08/2026

Kutana na Tomic Ceerya mmoja wa wanafunzi wetu mwenye kipaji cha uimbaji. Tomic amewezakupata show mbalimbali.Ameweza kuimba nyimbo za kutia moyo na kuelimisha jamii ikiwemo day yes. Akiwa mwaka wake wa mwisho(Kidato Cha 4), anazo ndoto kubwa za kuendeleza kipaji chake ikiwemo kupiga collabo na wasanii tajika nchini.
🌟✨Twamtakia kila la kheri masomoni na hata kwenye safari yake ya mziki🤗🎉

Follow him on:-
Facebook &YouTube
@ Tomic Ceerya

🎉✨Today, Mr. Kavai (in cap) together with a few Grade 10R students, visited Nancy Mwambire, a grade 10 student who has b...
31/07/2026

🎉✨Today, Mr. Kavai (in cap) together with a few Grade 10R students, visited Nancy Mwambire, a grade 10 student who has been away from school for the entire term 2 due to wounds caused by complications from sickle cell disease. Throughout the term, her family has been searching for effective treatment for the wounds, and we are grateful that her doctor has now found medication that is helping her heal well.

She is recovering steadily and is expected to return to school in Term Three. 🤗
QR Nancy🎉🤗

Umekua muhula wa mambo mseto ila hatimaye tumefika kikomo. Tunakunja jamvi hili la muhula wa pili hadi muhula ujao.Heri ...
30/07/2026

Umekua muhula wa mambo mseto ila hatimaye tumefika kikomo. Tunakunja jamvi hili la muhula wa pili hadi muhula ujao.Heri njema ya likizo Kwa walimu na wanafunzi🎉

Cheers✨

Kuwakumbusha tu 🎉 Pichani ni Amina Safari akivishwa taji la kuwa nambari mbili wa mchezo wa chesi mkoa wa Pwani mzima. T...
27/07/2026

Kuwakumbusha tu 🎉
Pichani ni Amina Safari akivishwa taji la kuwa nambari mbili wa mchezo wa chesi mkoa wa Pwani mzima. Taji hili alivishwa hivi majuzi na naibu mwalimu mkuu Bw. Phares Javiero.
Kwa sasa Amina anatarajiwa kusafiri Alhamisi ya juma hili kuelekea Thika kwa mashindano ya kitaifa. Tunamtakia kila la kheri ✨🌟

✨We call it a break till next week Wednesday🤗
24/07/2026

✨We call it a break till next week Wednesday🤗

Hatimaye mwili wa aliyekua mwanafunzi wetu Simon Mtawali wa gredi ya 10 umeletwa na kuzikwa huko kwao kijijini Uyombo wa...
18/07/2026

Hatimaye mwili wa aliyekua mwanafunzi wetu Simon Mtawali wa gredi ya 10 umeletwa na kuzikwa huko kwao kijijini Uyombo wadi ya Matsangoni.
Mungu amlaze palipo pema🥹

Yesterday we had a successful Red cross dissemination led by Mr. Karani, an official from the organization. Karani uses ...
15/07/2026

Yesterday we had a successful Red cross dissemination led by Mr. Karani, an official from the organization.
Karani uses the opportunity to give a brief history of the organization and the fundamental principles that the organization use in its operation as well as the requirements that members need to have.
Students are now set for the red cross training which will equip them with life saving skills.

Red cross
✨🎉Inter arma caritas🤗

Address

122
Kilifi
80108

Opening Hours

Monday 06:30 - 17:30
Tuesday 06:30 - 17:30
Wednesday 06:30 - 17:30
Thursday 06:30 - 17:30
Friday 06:30 - 17:30
Saturday 08:00 - 12:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Katana Ngala Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category