07/02/2024
Suala la mabadiliko ya tabianchi yanayoletwa na kuongezeka Kwa Carboni Kwenye hewa, sharti lizungumziwe Kwa ushirikiano wa wanshikadau wote katika sekta tofauti hasa wataalamu na watafiti. Katika kongamano lililofanyika nchini mwaka Jana hapa Nairobi, ilibainika kuwa mataifa yanayoendelea hususan Kenya inastahili kupokea ada kutoka Muungano wa Kimataifa. Taifa la Kenya, linaona nafuu Kwa kuwa wamejaliwa kuwa na Carboni Kwenye hewa na inatazamiwa kuwekeza Kwenye Biashara ya Carboni almaarufu " Carbon Trading". Ni jukumu letu wote K**a vijana kuhamasisha Jamii, kuhifadhi mazingira kupitia upanzi wa miti, Matumizi ya magari yasiyotoa moshi. Tayari Kuunga mikono mikakati ya Cop 28. Je, wewe?
Mwandishi Chipukizi.