15/08/2024
So huyu mrembo kabla tujuane nakuoana, ilibidi one day nimfuate hadi kwao tujuane vizuri ❤️❤️❤️❤️
So nikafika kwao, wazazi wake walikuw wamekaa kitako baada ya pilkapilka za hapa na pale. Wakanikaribisha then
BABA: kichana , wewe ni mgeni hapa, tukusaidie vipi?
Haraka nikakumbuka alikuwa ameniambia ana bro anaitwa Oliver
MIMI: nimekuja kuona Oliver, ni rafiki yangu tunasoma naye na tuko kwa school team pamoja.
BABA: hivyo ni vizuri sana, vijana kukuza talanta. Mama watoto hebu leta Oliver hapa aonane na rafiki yake.
Wapendwa wa mungu Oliver akaletwa, akaketshwa kwenye kiti. Then ñikaulizwa , "ulisema mmjuana kwa muda mrefu? 😭😭😭😭😭😭😭
That's the only sentence bado nakumbuka hadi wa leo. Mengine sikumbuki kabisa