30/10/2015
Late Nite post.....
sijui nani alipata hizi shida akifanya CHEMISTRY
KCSE k**a MIMI...ei chem yawa
1. Unasoma Question 1 unapata hujawai skia kitu
k**a iyo adi unafeel kupigia KNEC simu uwaulize
k**a wali-confuse iyo exam na ya Universty, so
inabidi urukie Q.2
2. Q.2 unaambiwa " explain Q.1" so unarukia Q.3
3. Apa unaambiwa "discuss your explanation on
Q.2" . Apo unaangalia around mtu wa kudiscuss
naye unakumbuka ulikua Index ya bottom 10 na
hao wajinga wenzako washa Doz...k**a akina achatu
---> Inabaki una-move on juu ile day ya Prayers
day uliambiwa utapass exams...hehe
4. Q.4 unaambiwa draw and name the Periodic
Table na wewe TABLE unajua tu ni ile ya Dinning
Hall......Hapo ni uongo... I mean table ya kitchen kwa Bensooo. Ukifika apo akili yako inaanza kugonga kwa
Kitchen juu umekumbushwa na iyo swali ya Table...sema
kukumbuka ndeko
5. Q.5 unaulizwa solve the equation. Apo
unajipata the only equation unajua ni ile yenye
ilikua kwa jersey ya kale kateam Arsenal ya O2, kidogo
kidogo
kausingizi kanaanza kukuita.
6. Q.6 unaulizwa define Grahams Law na Law
unajua ni Makadara Law Courts/ kisumu law courts /
maseno law courts...Apo inabidi
unadoz alafu unaambia Investigator cjui
Invigilator akuamushe time ikifika....enyewe chem si
mama ya mtu
lakini ata ivo. ..mnaona kwa nini nilipata chem C plain. ..si
kupenda kwangu..
I was good in Chem nasiringi..
Kwani??
Ww ulipata grade gani Chem??