Bitare high school

Bitare high school Tight but legit

Kai Harvertz is really a lovely player Made arsenal to be on top of the table,,,,✨✨✨what a supersub 🔥🔥🔥🔥🔥
26/11/2023

Kai Harvertz is really a lovely player
Made arsenal to be on top of the table,,,,✨✨✨what a supersub 🔥🔥🔥🔥🔥

26/03/2023

BEN WHITE

Msimu huu kwa " baadhi " ya mashabiki wa Arsenal wachezaji ambao wapo kwenye mawazo na midomo yao sana ni Saka, Odegaard , Martinelli , Partey , Zinchenko , Saliba , G.Jesus lakini kuna jina inawezekana ukakutana na wana " Gunners " kumi lakini wasilitaje : BEN WHITE

Binafsi naamini ukitaja wachezaji wanne muhimu wa Arsenal msimu huu nitataja jina la Ben White nikiambatanisha na sababu zangu ambazo ni :-

1: Upatikanaji wake uwanjani . Sikumbuki lini nilisikia Ben White atakuwa nje ya dimba kwa miezi kadhaa au wiki 3 . Moja ya sifa kubwa kwa mchezaji bora ni upatikanaji wake

2: Kutoka kuwa beki wa kati mpaka beki wa kulia na kucheza hiyo nafasi utasema ndio ulianzia huko maisha yako ya soka sio rahisi hata kidogo . Binafsi naamini ni nafuu kuwa beki wa pembeni kucheza beki wa kati kuliko wa kati kuwa fullback

3: Ben White amekuwa muhimu sana katika muundo wa uchezaji wa Arsenal na ana husika katika phase zote tatu . Kuna wachezaji ambao wanahusika :-

A : Kwenye phase ya kwanza pekee ( kuanzisha mpira nyuma ) build up

B: Phase ya pili pekee ( kwenye kiungo )

C: Phase ya tatu pekee : kwenye ushambuliaji

Lakini Ben White ndani ya Arsenal anatumika kwenye phase zote tatu ... kivipi ?

°Arsenal wakiwa na mpira White anabaki nyuma kutengeneza BACK 3 ( White Saliba na Gabriel ) ili kumruhusu Zinchenko kuingia ndani k**a kiungo karibu na Partey kwenye muundo wa 3-2-2-3

°Arsenal wakisogea juu Ben White anakuwa k**a msingi wa Bukayo Saka na Odegaard ule upande wa kulia wa Arsenal ( Odegaard k**a namba 8 wa kulia , Saka winger na White anakuwa nyuma yao .

°Wakifika eneo la wapinzani Ben White anakuwa mara nyingi mpishi wa Saka kwa kupiga pasi za ndani zaidi ni mara chache kumuona White anafanya overlaps

Kuna hili sasa la muhimu sana : waangalie Arsenal wakiwa na mpira na position ya White : kwenye ile " REST DEFENSE " ya Arsenal ( Yani namaanisha shape yao ya ulinzi wakiwa wanashambulia ) yeye anakuwa sambamba na Zincheno Partey na White katika

25/03/2023

Nakukatia unaringa alafu naenda nakatia mamako akaingia box nakutesa😂😂🔥😂

24/03/2023

Nani hana bibi ama girlfriend apate sai???

Hello
22/03/2023

Hello

22/03/2023

Hello good evening guys

Address

Uhuru Park
Jamhuri Park
44NAIROBI

Telephone

+254795172747

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bitare high school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Bitare high school:

Shortcuts

Share

Category