Tujifunze Kiswahili - Lugha

Tujifunze Kiswahili - Lugha Hapa tutajifunza Lugha ya kiswahili vilivyo. Unawezapata usaidizi wowote ule utakao wakati wowote ule.

29/12/2025

Hamjambo! Twatumai mko salama.
Tunawatakua mwaka mpya wenye baraka. 🎉🎉🎇

21/01/2025

Ni kipi kinachokusikitisha mwaka huu?

17/09/2024

Chanda chema huvishwa pete!

29/05/2024

"Hili ni ombi langu kwa walimu ambao tumesoma tamthilia ya 'Wema Hauozi ' tusaidiane kuchambua tamthilia hii hususan ploti(msuko)"

Hamjambo walimu wa Kiswahili, hili ni ombi la mmoja wetu

28/05/2024

Kuna aina nane (8) za maneno ya Kiswahili.
1) Nomino.
2) Viwakilishi.
Endeleza..........

28/05/2024

Hujambo! Je, unafahamu aina ngapi ya maneno ya Kiswahili?

Miaka minne sasa.....Tunakukumbuka sana......
15/04/2024

Miaka minne sasa.....
Tunakukumbuka sana......

❤️❤️❤️❤️Kazija anachukia nini?
08/04/2024

❤️❤️❤️❤️
Kazija anachukia nini?

03/04/2024

Karibuni sana wageni wetu, sasa mmeshakuwa wenyeji! Morris Koome, Michael Githinji

22/03/2024

Mayai waziri wa maradhi na hadithi nyinginezo.
Je, umesoma kitabu hiki cha hadithi fupi? Unamkumbuka mhusika yupi?

29/02/2024

Usiku mwanana...tunawapenda.

27/02/2024

Hamjambo! Eleza maana tatu ya neno PAA kwa kutumia sentensi.

Address

Ikutha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tujifunze Kiswahili - Lugha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Tujifunze Kiswahili - Lugha:

Shortcuts

Share

Category