Makuzi Ya Kiswahili/25. Chuo kikuu Cha Moi

Makuzi Ya Kiswahili/25. Chuo kikuu Cha Moi Tunahamasisha matumizi sahihi ya kiswahili na kuunganisha wanafunzi wenzetu.

Ni jukwaa la wanafunzi wa Kiswahili katika Chuo Kikuu Cha Moi linalolenga kukuza lugha ya kiswahili kupitia mijadala ya kitaaluma,ubunifu wa fasihi,na shughuli za kijamii.

Iwapo hii ni Yako wahi kikashani
01/06/2026

Iwapo hii ni Yako wahi kikashani

Kali sanaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
03/05/2026

Kali sanaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kila la heri mnapoelekea pale shule ya msingi na wengine shule za upili kwaajili ya kufunza. K**a unalo sharti tao pia u...
26/04/2026

Kila la heri mnapoelekea pale shule ya msingi na wengine shule za upili kwaajili ya kufunza. K**a unalo sharti tao pia usisahau kubeba,Wacha tueneze kiswahili Kila pahali 😊Makuzi siku zote πŸ₯°πŸ’

24/04/2026

Umemaliza exam 😎??

20/04/2026

Mnasema kesho tutumie ukumbi upi kwaajili ya bks 221

20/04/2026

Hamjambo wapenzi wa lugha,kesho tarehe 21,,tuna MTIHANI WA BKS 221 saa tisa Hadi saa kumi na mbili jioni.

Nawatakieni Kila la heri 😘😊😊

15/04/2026

Karibuni sana,,,
Hapa ndipo..

Address

850. 64
Eldoret

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makuzi Ya Kiswahili/25. Chuo kikuu Cha Moi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category