25/04/2026
Tusali: ‘Baba yetu uliye mbinguni: Jina lako litukuzwe.
Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani k**a mbinguni.
Utupe leo chakula chetu cha kila siku.
Utusamehe makosa yetu, k**a nasi tunavyowasamehe waliotukosea.
Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.’
[ Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
NEEMA YA BWANA WETU YESU KRISTO
NA UPENDO WA MUNGU BABA
NA USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU
UKAE NASI SOTE
SASA NA HATA MILELE !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!