31/03/2025
The feeling of wanting more of everything is called a driving force.
Sale and buy from China direct from your home.
31/03/2025
The feeling of wanting more of everything is called a driving force.
27/03/2025
Subscribe now kupata nondo za kiutu uzima. Wakina mama muache kelele ooh akimaliza moja harudi tena ya pili. Ooh nikitaka yeye hataki, ooh mwanaume gani huyu kaputi kabisa. Njoo kula nondo uelimike.
08/03/2025
Enzi hizo tukiwa ujanani.
05/03/2025
Dunia tunayoishi leo ni muhimu sana kila mmoja wenu akajifunza kuishi kwa TAHADHARI kubwa sana maana unaweza jikuta kwenye matatizo ambayo huna wa kukusaidia kutoka au kuyatatua.
Nianze na wanawake wenye watoto SINGLE MOMS hawa unapaswa kiwafanyia uchunguzi wa kishushushu wa kina ili ujue mambo yafuatayo;
1. Kwanini yuko single na watoto? Je watoto alio nao ni wababa mmoja? Taka kujua hiyo story vizuri ilikuwaje. K**a watoto anao 2 au zaidi na kila mtoto ana baba yake, chinjia baharini hiyo kitu acha damu yake iende na maji, humo unakaribia kutumbukia shimo la choo.
2. Mwanamke mwenye watoto na aliwazaa na mume mmoja na mume wake yupo hai na hawana maelewano kabisa nikupe tu angalizo la haraka huyo ni DAMAGED GOOD uwe na tahadhari sana. Kwanini nasema hakufai kuoa k**a huna watoto pia. Mara nyingi aina hiyo huwa bado na kisasi kikali sana moyoni wengi wao wana hasira mno na ujue k**a aliweza kusurvive bila mume wake miaka yote hiyo wewe utakuwa k**a mboga ya mchicha kupika jikoni unaiva na mvuke tu pindi kikiumana.
NIRUDI KWA SINGLE BOYS:
Huenda mwanamke unaemsalandia ana hela au mali so akili yako haiangalii future inaangalia kile utapata ukijitia kitanzi nae, sikiliza nikusaidia mjinga wewe; Matarajio ya huyo mwanamke kwako ni makubwa kuliko uzito wa mwili wako, huna uzoefu wa kitu hata kimoja miongoni mwa anavyotarajia kwako. Sasa ukimuoa unachowaza wewe ni S*X tu unafikiri ndo jawabu, pole sana. Muoe harafu utakuja kuniambia k**a nilikuwa sahihi au wrong.
Mwanaume mwenye watoto anaweza kuoa mwanamke yeyote tu na bado akawa sawa kabisa. Akioa single lady anaweza kummudu na kumfanya kuwa mama bora wa watoto wake. Lakini mwanamke hana uwezo kumfanya single boy baba bora wa watoto alio nao sababu hajui hata maana ya kuwa baba. Lakini pili kizingiti ni watoto kumkubali single boy na kumuita baba
Mwanaume akija na watoto wake ni rahisi wale watoto kumuita baba sababu kuna watoto wake wanaomuita tayari baba so wata adapt tu kinyume na wale wasio na baba nyumbani. Single boys ukimzoa ukadhani umepata mume utaishia kuliwa uroda tu na kukimbiwa maana stress ya kulea watoto wa mwanaume mwingine inataka ukomavu mkubwa wa akili ya mwanaume huyo
Asomae na afahamu
03/03/2025
I am going to Colombia to meet the Colombians; so intrigued
23/02/2025
Nimeletewa maswali na wanangu wa kiroho wakiniomba nitoe ufafanuzi kuhusu Sadaka ya Malimbuko. Nasikia kuna wachungaji huko wamejiwekea kautaratibu kakishetani kila baada ya muda fulani wanadai sadaka ya malimbuko kwa washirika wao. Watu mna dhambi sana hata Mungu hamumuogopi kabisa.
Sadaka hii huitwa "offering of firstfruits" kila kitu kina mzao wake wa kwanza. Tukianza na binadamu kila mwanamke ana mzao wa kwanza ambao huitwa MALIMBUKO yaani mtoto wa kwanza kuzaliwa tumboni mwake. Hakuna mtu mwenye malimbuko wawili au watatu.
Ukipata ajira mshahara wako wa kwanza huitwa MALIMBUKO unatakiwa kabla hujafanya matumizi yeyote uchukue pesa kidogo ukatoe sadaka, sio lazima pesa unaweza nunua mchele, unga, mafuta, nyama samaki ukavipeleka kwenye madhabahu inayokuhudumia kiroho. Mimi binafsi sishauri sana kutoa pesa km sadaka maana unaweza mpa pesa yako akaenda kuifanyia matumizi ya kishetani mkosi utakuja kwako ulieitia pesa.
Sadaka za mshahara wa kwanza nakushauri usipeleke CASH MONEY hawa jamaa zenu hawa siwaamini sana kiroho wana kona kona nyingi sana, pili ukitoa sadaka usimwambie ni sadaka ya nini. Niliwahi mchumbia binti kanisa fulani la mtume mmoja kumbe yule binti mtume anamnyemelea anataka kumtakasa na mshedede wake, binti hajui anaona huyu ni Daddy wangu tu.
Tulipoanza urafiki dada si akaenda kulopoka kwa mtume kuwa nimepata mchumba weeeh mtume aliwaka km moto akaanza kumtolea na unabii juu na kunena kwa lugha kuwa huyo jamaa ana UKIMWI, ooh malaya, ooh namuona rohoni atakuua oooh shetani ooh freemason hata kunijua hanijui. Basi binti akamsikiliza mtume tukaachana. Baada ya muda mtume akaona huyu ataolewa sijamtakasa.
Siku hiyo akamwita ofisini kwake katikati ya wiki dada akaenda alipoingia akamkuta Dadii mashine imesimama ndii yuko uchi anaangalia video za ngono kwenye laptop binti akabaki 🫢😳 nikimbie au nifanyeje? Biblia inasema ikimbieni zinaa yeye akaanza kujifanya anakemea na kuomba. Mtume akamfuata akamkumbatia wakaanza kuomba wote, "baba asante kwa kumleta xoxo mahali hapa ili nimtakase mwili wake" akamchojoa blauzi juu dada anakemea huku joto la mwili linampanda.
Akamchojoa sidiria matiti km sindano yakaifanya mashine izidi kuwa wima zaidi👇
23/02/2025
19/02/2025
Roho maana yake ni asili ya viumbe vyote visivyoonekana kwa macho ya nyama lakini neno hilo pia humaanisha nguvu fulani itendayo kazi ndani ya mtu bila kujali imetoka kwa MUNGU au shetani.
Roho inaweza kuwa njema itokayo kwa MUNGU ambazo kiujumla ziko 7 na zote hutambulika kwa kazi zake. Yaani unaweza kujua huyu ana roho ya nguvu juu yake pale anatenda mambo fulani fulani katika maisha yake mfano kuponya na kadhalika.
Lakini mtu mwenye roho chafu juu yake ile itokayo kwa shetani inapompanda juu (namaanisha roho chafu inaipanda roho yako halisi na kuanza kufanya mambo kinyume na wewe) mfano wewe sio malaya lakini roho chafu ya kujilipiza kisasi inaweza kukufunika k**a gunia ukajikuta una s*x hata na mbwa ukidhani unamkomoa fulani kumbe unazidi kuipoteza gizani nafsi yako.
K**a ambavyo roho ya hekima humpa mtu kujua kuongea vema maneno yenye neema na kuwaponya wengine ndivyo na roho ya umalaya ikiwa juu ya mtu hawezi tulia hata ufanye nini akija Bar Maid anakula, house girl anakula hata awe mchafu vipi. Sasa anaendeshwa na roho hiyo sio yeye.
Sasa Mungu anaweza kukupa kuona roho hizi ndani ya mkeo au mumeo usijaribu kumwambia una pepo la kitu fulani unaweza kupigwa vibaya sana. Na anaekupiga si yeye bali ni yule pepo sababu umemgundua. Unachatakiwa kufanya acha kugombana na mkeo/mumeo gombana na roho iliyomvamia kwa nguvu zote.
Utakapoanza kuishambulia itakuzomea sana ili ukate tamaa uone k**a sio pepo bali anafanya kusudi usinase kwenye huo mtego. Endelea kuitandika rohoni. Kumbuka hatushindani katika mwili wala silaha zetu sio za mwili. So ukitaka kujifanya wewe na mamaake umtie adabu utajichosha bure k**a wazazi walimshindwa hutaweza wewe.
Unapoona tabia fulani fulani juu ya mwenza wako acha kutazama mambo kwa jinsi ya mwili jifunze kutazama kila kitu kwa jinsi ya rohoni. Hatuenendi kwa jinsi ya mwili kamwe. Utaharibu ndoa bure kwa ujinga wako shetani amewaweza wengi sana wasiojua hii siri. Akapiga teke matakoni ukigeuka unamuona mumeo kasimama unaanza nae vita shetani anabaki kucheka tu.
Badili style yako ya kudeal na maupuuzi hayo. Akianza ufuska TULIA akipata kidemu nje TULIA huwezi wewe kupambana nae tumia silaha za kimungu sio mdomo wako.
18/02/2025
TAFAKARI: Alichokiunganisha Mungu Mwanadamu asikitenganishe. Huu mstari ulichomekwa katikati ya mjadara ili kuonyesha kuwa maneno hayo aliyatamka YESU so ni sheria na amri. Maana neno la mfalme ni SHERIA.
Marko 10:2-5
[2] Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamwuliza, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe? Huku wakimjaribu. [3] Naye akajibu, akawaambia, Musa aliwaamuru nini? [4] Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha. [5] Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaandikia amri hii.
1. Zingatia swali hili kuhusu TALAKA walimuuliza si kwa sababu wanataka kujifunza bali walikuwa wakimjaribu. Sasa jiulize walikuwa wanamjaribu upande gani? Ili wapate gani? Je jibu la Yesu lilifanikisha mtego wao? Je Yesu alijua anamtega?
2. Angalia anachofanya Yesu, "Musa aliwaamuru nini?" akawauliza kuwatega pia. Nao wakashtuka kuwa duuh kumbe anajua kuwa Musa aliliongelea jambo hili. Kumbuka hapo Yesu hajawahi soma darasa hata moja wanamuona kilaza fulani mtupu kichwani.
3. Tazama jibu lao; MUSA alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumuacha. (Kumbe wanajua sasa why ask Jesus?) Walitaka kudodosa nini kwake?
4. Kwa sababu ya ugumu wa mioyo ya Israel aliwaandikia amri hii, (sio kwa sababu lilikuwa jambo sahihi) sasa ukiflow na hii story vizuri utamahali anapochomekea kuwa alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe yaani k**a maji na mafuta.
Hoja ya muunganiko haiingii akili kwenye simulizi hii. Sababu MUNGU hafanyi muunganiko huo. Kwa msingi huo ni wapotoshaji wa kweli ya Mungu ndiyo waliouweka huo mstari wa 9 ili kuweka msisitizo wa sheria ya NDOA Duniani.
Sheria ya ndoa ilitungwa kulinda mipaka ya mahusiano baina ya watu wawili sababu ya uwepo wa watoto baina ya watu wawili wanaoshiriki s*x. Kinyume na uwepo wa watoto hata urafiki kati ya masela na masela ungetungiwa sheria. Kuwa ukinunuliwa kitimoto na msela wako mtoko ujao ni sheria lazima na wewe ununue ale vilevile.
Mzigo wa malezi ya watoto ndio ulipelekea mkazo wa sheria hizo lakini kiukweli NDOA ilipaswa kuwa simple issue tu ya jogoo na mtetea. Yaani mnakutana mnakula mzigo na kutawanyika simple as that. Tatizo wanawake hiyo michezo hawawezi sababu ya asili yao walivyo umbwa.
15/02/2025
Wasomaji wa Biblia tunajua vizuri sana habari za Mfalme Daudi na namna Mungu alimpa kibali mbele zake. Mtu mwenye roho ya ujasiri na asiye na uoga wala hofu ya kifo sababu TAYARI alishakufa hampaswi hata kidogo kumdhania kuwa ni mtu wa kubeza na kujibizana nae kwenye majukwaa tena na watu k**a Mzee Wasira yaani ni wazi kabisa mnafanya mambo kwa mazoea mkiamini hata leo itakuwa k**a jana.
Tundu Antipasi Lissu mnae muona leo sio yule mliemzoea kabla hajashambuliwa na risasi na kufa kabisa. Yes alikufa kabisa, Mungu akamrejesha tena sasa huyu aliyerudi ni mpya na amerudi kivingine kabisa. Hatua ya kwanza ilikuwa ni kuikomboa CHADEMA kutoka mikononi mwa kibaraka wao. Bado hilo haliwashtui mnaamini mna vyanzo vya kutosha kumdhibi au sio??
Wakati Daudi alipotoka na kumwambia Sauli nitaenda kupigana na Mfilisti huyu asiye tailiwa moyo wala govi la mwili wake (hii ni kusema mtena maovu asiyemuogopa Mungu) mara ya kwanza Sauli Mfalme alisita sababu alimuona ni kijana mdogo hana majeshi, hana pesa, hana vyanzo vya kumuingizia hela, hana biashara kubwa k**a Mbowe akamwambia Daudi, tulia bhana wewe humuwezi Goliath.
Kitu ambacho Sauli Mfalme hakujua ni KIBALI CHA MUNGU juu ya Daudi. Hakujua kibali cha Mungu kikiwa juu yako huitaji majeshi ya usalama wa Taifa, JWTZ au Polisi unachohitaji ni KIBALI NDANI YA MIOYO YA WATU. Wafuatiliaji wa mambo ya siasa Tanzania mtagundua kuwa Tanzania mpaka sasa kumetokea watu watatu ambao wamewahi kupendwa kwa mapenzi ya kufa na kupona na wananchi;
Wakwanza alikuwa Mwl. Julius Nyerere waTanzania walimpenda kwa mapenzi ya mioyo yao na walifanya kila alicho waambia.
Wapili alikuwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa taarifa yako tu k**a kuna kipindi Tanzania iliwahi mchagua Raisi kwa mapenzi ya mioyo yao basi alikuwa Mzee Jakaya Kikwete.
Watatu ni Tundu Antipas Lissu huyu ana kibali kikubwa mbele za watu kuliko hata ambavyo CCM wanamdhania. Watu wanampenda huyu jamaa kiasi mjiandae tu kuwaua na risasi maana hamtawazuia kwa maji ya washawasha wala kwa plastic bullets.
Sauli baada ya kuona Daudi ni Jasiri akampa silaha zake na magwanda yake Daudi akasema hapana nitaenda na Jina la Bwana na nitamshinda tu. Asomae na afahamu.
| Monday | 06:45 - 18:45 |
| Tuesday | 06:45 - 18:45 |
| Wednesday | 07:00 - 18:45 |
| Thursday | 06:45 - 18:45 |
| Friday | 09:00 - 18:45 |
| Saturday | 06:45 - 19:00 |