Eckros School of Journalism

Eckros School of Journalism We provide educationin general

19/04/2026

KARIBUNI SANA ECKROS DRIVING SCHOOL

KARIBUNI ECKROS DRIVING SCHOOL KWA ELIMU BORA YA UDEREVA
20/03/2026

KARIBUNI ECKROS DRIVING SCHOOL KWA ELIMU BORA YA UDEREVA

HIVI KARIBUNI ITAWAJIA HAPA HAPA ECKROS DRIVING SCHOOL
23/02/2026

HIVI KARIBUNI ITAWAJIA HAPA HAPA ECKROS DRIVING SCHOOL

15/02/2026

KAZINI

27/01/2026

AJALI MBAYA YA BASI NA LORI LEO

KOZI YA UDEREVAUdereva wa Magari Madogo na MakubwaSheria za Barabarani na UsalamaMafunzo ya vitendo na nadhariaMaandaliz...
16/12/2025

KOZI YA UDEREVA

Udereva wa Magari Madogo na Makubwa

Sheria za Barabarani na Usalama

Mafunzo ya vitendo na nadharia

Maandalizi ya mtihani wa leseni

💻 KOZI YA KOMPYUTA

Basic Computer (MS Word, Excel, PowerPoint)

Internet & Email

Mafunzo kwa vitendo

Cheti baada ya kumaliza

*JE, ASKARI ANAWEZA KUFUNGIA LESENI YAKO?*JIBU NI NDIYO, askari anaweza kufungia leseni ya dereva.*Je, ni askari yeyote ...
14/12/2025

*JE, ASKARI ANAWEZA KUFUNGIA LESENI YAKO?*

JIBU NI NDIYO, askari anaweza kufungia leseni ya dereva.
*Je, ni askari yeyote tu*?
JIBU ni HAPANA. Askari mwenye uwezo wa kufunga kwa muda leseni ya dereva ni yule wa kuanzia cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Polisi (Nyota tatu) yaani ASP na kuendelea. Askari wa chini ya cheo hicho hana uwezo huo.
*Je, ni katika mazingira gani au ni kwa makosa yepi askari anaweza kufungia leseni ya dereva*?
JIBU:
Askari anao uwezo wa kufungia leseni ya dereva katika mazingira ya namna mbili. Namna ya kwanza ni pale ambapo dereva husika anakesi inayoendelea mahak**ani, wakati NAMNA YA PILI, ni pale ambapo dereva hana kesi inayoendelea mahak**ani.
A. *Dereva akiwa na kesi inayoendelea mahak**ani*.
Kifungu cha 34(3) cha sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168 kinampa askari wa cheo cha kuanzia Mrakibu Msaidizi wa Polsii mamlaka ya kuzuia na kufungia leseni ya dereva wakati kesi ikiendelea na kabla ya hukumu, ikiwa dereva alitenda lolote kati ya yafuatayo:
(a) Ikiwa dereva huyo amesababisha kifo cha mtu mwingine;
(b) K**a dereva husika alikuwa amelewa;
(c) Ikiwa ameondoka kwenye eneo la tukio la ajali bila kutoa msaada kwa watu wanaohitaji msaada.
Ndio kusema kwamba k**a kesi itakuwa imekwisha na dereva hakutiwa hatiani au alitiwa hatiani lakini mahak**a haikutoa amri ya kufungia leseni, huo ndio utakuwa mwisho wa kufungiwa na dereva atarejeshewa leseni yake. Dereva husika atarudishiwa leseni yake. Ila k**a mahak**a itakuwa imemtia hatiani na ikatoa amri ya kufungia leseni, basi leseni hiyo itaendelea kufungiwa.
B. *Dereva hana kesi inayoendelea mahak**ani*.
Kwa mujibu wa kifungu cha 34(4) cha sheria ya usalama barabarani, askari mwenye cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Polisi na kuendelea anao uwezo wa kufungia leseni ya dereva kwa *kipindi kisichozidi miezi 6* iwapo dereva husika amekiuka masharti ya kifungu cha 13, 23(a),(b) au (c), 53, 61, 67 na 68 cha sheria ya Usalama Barabarani.
*Mashari ya kufungia leseni kwa mujibu wa kifungu cha 34(4)(b)*

Ili dereva afungiwe leseni kwa mujibu wa kifungu hiki cha 34(4) ni lazima awe amekwishaonywa kabla kwa mujibu wa kifungu cha 34(4)(a) au aliwahi kufungiwa leseni na mahak**a na baada ya muda wa kufung

Leo dunia imeandika ukurasa mpya katika historia ya afya. Baada ya miongo mingi ya utafiti, majaribu na matumaini, hatim...
20/11/2025

Leo dunia imeandika ukurasa mpya katika historia ya afya. Baada ya miongo mingi ya utafiti, majaribu na matumaini, hatimaye tiba ya uhakika dhidi ya virusi vya HIV imepatikana. Hili ni jambo kubwa kwa familia, jamii na kizazi kizima ambacho kimekuwa kikipambana kimya kimya kwa maumivu na changamoto za ugonjwa huu.

Tiba hii mpya imeonyesha uwezo wa kuondoa virusi mwilini kabisa, na wagonjwa waliopokea matibabu wameonekana kurejea kwenye afya zao za kawaida bila kuendelea kutumia dawa za muda mrefu. Hiki ni kifungu kipya cha matumaini – safari ya kuondoa hofu, unyanyapaa na maumivu yaliyodumu kwa miaka mingi.

Leo tunashuhudia ushindi wa sayansi na ubinadamu. Dunia inarudishiwa tabasamu, na kesho inaonekana kuwa ang’avu kuliko ilivyowahi kuwa. Hatimaye, HIV imekuwa historia.

Simu 0762795251

07/10/2025

KARIBUNI ECKROS DRIVING SCHOOL

UKISHAKUWA NA KITABU K**A HIKI HUWEZI KUFELI MITIHANI YA POLISI WALA LATRA.Kitabu hiki kinapatikana Mtandaoni na ni bure...
26/09/2025

UKISHAKUWA NA KITABU K**A HIKI HUWEZI KUFELI MITIHANI YA POLISI WALA LATRA.
Kitabu hiki kinapatikana Mtandaoni na ni bure kabisaa, wew google tu. Tupigie 0762795251

Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Lakagua Magari ya Shule Kwa Lengo la Kuimarisha Usalama wa WanafunziNjombe, 18 June 2025J...
18/06/2025

Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Lakagua Magari ya Shule Kwa Lengo la Kuimarisha Usalama wa Wanafunzi

Njombe, 18 June 2025
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe leo limeendesha zoezi maalumu la ukaguzi wa magari yanayotumika kusafirisha wanafunzi wa shule mbalimbali mkoani hapa, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuhakikisha usalama wa wanafunzi barabarani.

Zoezi hilo limefanyika katika viunga vya shule ya msingi bakita mkoani Njombe likisimamiwa na KAIMU RTO NJOMBE SP-DAUDI DAUDI MAPUNDA na INSP H.HAULE ,S/SGT RAFAEL NA H.5549 CPL TEODORY WAKAGUZI WA MAGARI NJOMBE.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa zoezi hilo, KAIMU RTO amesema kuwa ukaguzi huo umelenga kutathmini hali ya usalama wa magari, vibali vya usafirishaji, na sifa za madereva wanaoendesha magari hayo.
“Tunakagua hali ya matairi, breki, taa, kioo cha mbele, vyeti vya usajili, leseni za madereva, pamoja na vifaa vya dharura k**a vizima moto, k**a hatua ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wanasafirishwa katika mazingira salama,” alisema kaimu RTO.
Magari yalibainika kuwa na kasoro mbalimbali ikiwemo breki zilizochoka, matairi yaliyotoboka, na ukosefu wa vifaa vya usalama k**a “first aid kit” na vizima moto yameelekezwa kufanyika kwa marekebisho mapema na kukaguliwa tena baada ya matengenezo na marekebisho.
Magari yenye kasoro hizo yamezuiwa kwa muda hadi marekebisho yatakapofanyika, huku wamiliki wa magari hayo wakipewa maelekezo ya kurekebisha kasoro hizo mara moja.
Jeshi la Polisi limetoa wito kwa wamiliki na waendeshaji wa shule kuhakikisha kuwa magari yao yanatunzwa vyema, kufanyiwa matengenezo ya mara kwa mara, na kuendeshwa na madereva wenye sifa na uelewa wa sheria za usalama barabarani.
“Hili ni jukumu la pamoja kati ya Serikali, shule na wazazi. Tunatoa wito kwa shule zote kuhakikisha madereva wao wanapitia mafunzo ya usalama barabarani na magari yote yanakaguliwa mara kwa mara,” aliongeza SP-DAUDI DAUDI MAPUNDA.
Jeshi la Polisi limeahidi kuendeleza zoezi hili kila baada ya miezi mitatu, huku likiahidi kushirikiana na mamlaka za elimu na usafirishaji kuhakikisha kila gari linalotumika kubeba wanafunzi linazingatia viwango vya kiusalama.

Aidha, limewataka wazazi kuwa makini na namna watoto wao wana

Adresse

P. O. Box 661
Njombé
1001

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Eckros School of Journalism publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'école

Envoyer un message à Eckros School of Journalism:

Raccourcis

Partager