tukabizi maisha yetu kwa Yesu tu
Pasteur Alembe AMANI
NAPENDA LEO NAWE UMUKUBALI YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI AMEN.
kila kitu ni wakati wakati wa mateso na wakati wa furaha
Sifa heshima ni kwa Yesu
wenye nguvu ndio watauteka ufalme wa mbinguni
Pokeya wokovu sasa dunia isikubebe wakati
Bwana wama Bwana ndiye jina lake Yesu
Nimejifunza kusamehe ili Roho yangu iwe na amani
14/07/2025
kuna kitu nimejifunza kuhusu SAFARI
bahazi ya watu wengi wanakuwa wanafiki sana tena zaidi ya sana
kuna neno ndogo ambayo watu wengi upenda sana kuiisema ila awamanishi
UPENDO =
utasikia nakupenda
sipati usingizi kwa ajili yako
uko ndani ya moyo wangu
nitafanya chochote kwa ajili yako
ayo yote ni maneno ila sio matendo
vivyo hivyo imani peke yake bila matendo imekufa
kitu ambacho kimenishangaza sana ni wakati watu wakiwa kwenye safari
SAFARI yenye kutisha sana hapo kila mtu huonesha UPENDO kwa mwenzake
sio upendo wa maneno ni upendo
wa matendo hatak**a huna chakula
uwezi ukalala na njala wakati chakula kipo lazima utakula tu
Bwana Yesu kabla aja kwenda mbinguni neno yake alisisitiza kuwa tupendane
UPENDO ya wengi imesha baki kwenye maiti tena wengi usema upendo ila awajuwi upendo ni nini ?
ndani ya upendo tunaona mambo mengi sana tena ukishika aya ndio unakuwa na upendo wa kweli
huvumilia
mwenye upendo hana wivu
wala hajivuni
mwenye upendo akosi kuwa na adabu
hatafuti faida yake binafsi
wala hana wepesi wa hasira
haweki kumbukumbu ya mabaya
hafurahii uovu
hayo ni bahazi tu ya upendo wa dhati tena kuna mengi tu nafupisha kwa kuwa watu wengi wamesha penda kusiki habari za mapenzi tu
jitafakari tena jiulize k**a kweli una upendo wa kweli ndani yako kwakuwa bila upendo huwezi fika mbinguni
achana na maneno ila jitaidi sana kufanya matendo unajuwa ni kwanini wasafiri huonesha upendo wakati wa safari
kwanza wote wanakuwa na woga wa kifo tena wanajuwa aliye pembeni yangu ndiye ndugu yangu
labda tunaweza kupata ajali mimi nisiweze kushimama aliye karibu yangu anaweza kunisaidia
wewe ni nani aliye karibu yako sasa hivi ? labda unamuchukia aupendi atakusikia sauti yake
ila tambuwa kuwa aliye karibu yako ndiye atakaye kuzika
badilika sasa unesha upendo kwa kila mtu tena bila unafiki na k**a amekukosea tumia neno musamaha
MUNGU AKUBARIKI
nyoka ya shaba ilivyo huwa wana wa israël nakuleta tena amani
shetani huwa nyuma yetu kila mara tunapotembea
10/02/2025
Mungu iko katika majaribu unayopitia yéyé alali inakubidi uwe na subira ili ajibu maitaji Yako usikimbiliye waganga wa asili awana musahada zaidi ya kukutapeli tu
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.