03/01/2022
Assemblée générale 2021 kavimvira
Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de CJMD Uvira/DRC, Uvira/kibondwe. En face du port Gaby, Uvira.
03/01/2022
Assemblée générale 2021 kavimvira
ALHAMDULILLAH
17/12/2021
Asqlamaleykum warahmatullah wabarakatuh. Amjambo ndungu zangu leo ni tarehe 17 Déc 2021 na 15h30 itakuwa ufunguzi mpya rasmi ya Posté de Santé TAUFIQ kwajili ya uduma yetu ya afya zetu. Allah atuzidishiye mengi naatupe afya njema kwasote. Allahuma Amiin
Asalamaleykum warahmatullah wabarakatuh
Ndungu zanguni tunawalikeni kwene kikao cha mwisho wa mwezi kitakao fanyika In Shaa Allah Idjumah pili kwene ukumbi wa centre ya Mulongwe kwene masjid taqwa. Kikao icho kitanda na sa mbili kamili adi sa tano unusu. Karibuni kwene mada na kuskiya maendeleo ya vijana wenu.Ir. Amani
Allah Akbar
Asalamaleykum warahmatullah wabarakatuh, tunawalikeni nyote wapenzi wa iman na waliyo kuwa na niya yakusaidiya wote katika jamii yakwamba anakaribishwa yeyote ambaye yupo na sehemu atakayo omba ombi lake kwajili ya jamii anakaroboshwa kufike bila kumfatiliya ametowa wapi. Na mambo ambayo inaitajika araka kwene jamii nikama ayo:
Dispensaire, polyclinique, visa vya maji na kadhalika. Kwayule atakaye pata mfadhili anakaribishwa.
Tunawashukuru sana kwa kutuskiya na kuendeleza araka zetu.
Assumani Amani charger de relation interne et externe
06/10/2020
Izo ndizo arakati za wanakundi wa CJMD uvira.
Ya Allah tujaliye tuwe na wene kufaulu