Promote your page now!!!
Adamu
Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Adamu, Enseignement supérieur, Uvira.
11/08/2024
Ivi nawewe unaona ipi kali??
UVIRA vs KALEMIE
Promote your page now!!!
12/04/2024
Nivizuri kumuamini mtu Ila kuna wakati kuto kumuamini ni vizuri saidi.
K**a umeipenda hii publication Basi liké Pia ugawiye wengine Pia una commenté
11/12/2023
Ili ujuwe ukweli wote wa dunia Mahali ambapo ilitoka Na Mahali ambapo ina elekea Na Mahali ambapo imesha fikia gusa iyo lk ujiunge na 👇👇 compte ya YouTube ya watengenezaji ubate kujiburudisha Na mahubiri Pia Na mafundisho ya kanisa ya watengenezaji
HABARI NJEMA YA MILELE - YouTube Olivier mapendano
13/11/2023
HAIBU KWENYE DINI😭😭😭
Uvira: Risasi zapigwa kisa viongozi wa dini kutoachiyana madaraka hadi serekali kuingiliya kati
Miliyo ya risasi imesikika asubuyi ya juma pili tariki 12/11/2023 kata la rombe ya pili av Mulongwe mujini uvira/DRC. Tulipo tamani kujuwa kiisa charisasi hizo, bwana MICHAEL KIZA MUGINGI mwenyekiti wa vijana wa kata hilo pamoja naye mama kiongozi wa av. munanira, wameeleza kuwa ni askari polisi wa taifa ndio walifyatuwa risasi hizo ili kuzima gasia iliyo jitojeza kwenye kanisa la EZRA ambapo vijana ambao wako upande wa pasteur JULES aliye simamishwa walikataa katukatu asiletwe kwenye kanisa hilo pasta SEPT ili kuiongoza kanisa hilo la EZRA k**a alivyo chukuwa maamuzi mchungaji mupya wa 8eme CEPAC KASENGA mchungajiMUSA. polisi waliweza kuingilia kati ili kuzuwiya machafuko mabsys yasiweze kujitokeza kwa pande hizo mbili. mutsfshamu kuwa kanisa la ezra litabaki limefungwa kwasasa hadi pale wakuu viongozi kiserekali watakapo towa maamuzi tosha kwenye kesi hiyo mambo ya Mungu.
Mungu pekee apiganiye kanisa lake
Calling ALL Active legit Resbakers support you page
L.i.b Mosarof twitter RisHad মাহমুদ আড়ালッ" Chris oaoks princess ivie oyemina Cjay Brown আলো Sahid Raider.09
07/11/2023
Follow me back
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.