Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga wa njiya zangu zote
zaburi 119:105
Biblia Na Mahubiri
neno la Mungu ni taa miguu yangu tena mwangaza wa njiya zangu!
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Derick Rugendabanga, Charline Kimuha, Elisabeth Justin, Justine Bazi Adeline, Christine Rutwe, Prophète Daniel, Chantal Mubimozi Mubimozi
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Marcelo Abam's, Kavira Ester, Honore Nyengela Amani, Anna Samuel
Wakati mwingine anapatikana Lazaro mwenye moyo wa amani, aliyeketi chini ya meza ya tajiri mwenye roho ya mahangaiko
On trouve parfois un Lazare dont le cœur est en paix, assis sous la table d'un riche dont l'âme est tourmentée
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Barhumana Issa Destinho, Thierry Wakilongo, Delphine Gabriella Sabu, Allince Murhabazi, Elieser Nsiku Byadunia, Benoit Musimwa Bmb, Miriamu Naomie, Espoir James, Gracieux Fils, Esther Mutaofu
03/01/2026
Kwa Yesu Kristo, miaka mitatu haikutosha kukamilisha utume wa kuwaandaa wanafunzi wake. Alijua kwamba wangehitaji maarifa zaidi, nguvu, mbinu, na imani ili kukabiliana na adui. Ndiyo maana aliwaagiza wasitoke Yerusalemu mpaka Roho Mtakatifu atakapowashukia.
Ni kweli kwamba tunaweza kupata maarifa ya kibinadamu (Logos) na uzoefu wa kazi, lakini bila Roho Mtakatifu, hakuna kazi inayoweza kukamilika kikamilifu. Wakati shule ikitupa shahada na vyeti, Roho Yeye hutufundisha bila kuchoka. Basi, na tutafute kwa bidii uwepo wa Roho Mtakatifu.
Zakaria 4:6 Si kwa nguvu wala kwa uwezo, bali ni kwa Roho yangu, asema Bwana wa majeshi.
03/01/2026
Kila kazi inayo fanyika kwa jina la KRISTO YESU lazima irejeshe utukufu kwa KRISTO, kinyume mtu anatafuta mapenzi yake mwenyewe
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Buzima Watson Mukara, Nshimiye Augustin, Sylvie Francine, Best Masaro Rukundo, Evangeliste Mwito Daudi, Charline Maliyetu, Jiresse Jiresse Dékabori L'âpotre, Jean Baraka
forever for the life
la réalité que plusieurs ignorent, ne fait pas confiance seulement à tes capacités.....
unajifunza nini kwa andiko hili?
Ayubu 22:21
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani;
Ndivyo mema yatakavyokujia.
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Emplacement
Contacter l'école
Site Web
Adresse
Bukavu
0819879116