04/26/2026
NENO LA MUNGU LINA NGUVU LINAPOTUMIKA KATIKA MAOMBI. Maana yake ni kwamba Biblia (Neno la Mungu) lina uwezo wa kubadilisha maisha, lakini nguvu yake huonekana zaidi tunapoliombea na kulitumia kwa imani katika maombi kwa kutumia Neno la Mungu. Yohana 15:7
Mkimkaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa. Waebrania 4:12
Kwa maana Neno la Mungu li hai tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili