Teacher Mosheh NSR

Teacher Mosheh NSR

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Teacher Mosheh NSR, College & University, Bujumbura.

28/04/2026

Chochote unacho kitafuta hapa duniani tayari kiko mikononi mwa watu, iwe pesa, mapenzi, elimu, ama connection.

Na njia pekee ya kuvipata ni kuwa mnyenyekevu mbele ya watu na mwenye mdhani.
Punguza ujuaji, manone ya kijinga ita kuchelewesha.
Maana mafanikio yako mungu alisha yakabidhi mikononi mwa watu, na usiwe usipende kuchafua ikiwa hujui ni nani ataye futa

27/04/2026

Tunaendelea kujifunza Kiswahili!
Niambie nini maana ya "unafiki" Kwa Kiswahili!

21/04/2026

There was a time that Our women faced hard problems. Too many girls left school eary to marry . Too many mothers died when giving birth.

But even nowadays only a few women are in our government to make laws.

Who's going to solve this problem?🤗

More updates are coming soon! Be patient!







18/04/2026

Hello everyone, I wish all of you guys an excellent weekend 🤏

04/04/2026

The day I was at Bible center, They used to say we're One 😊 It was very crazy and hard to understand but now I feel good when I reach there cz it's good place to stay! So I invite you to join today's bible seminar, you'll learn more about Word of God!

Remember that Jesus died for our sins! 👋🙏

03/04/2026

Hivi ukifa itachukuwa mda gani kusahaulika? Mimi nataka tujue maana ya uongozi.

Wengi wanajiuliza na wakakubali kuwa kiongozi ni mwenye amepata cheo ila siyo kweli.Jua ya kwamba Kiongozi ni mtu ambaye anaacha mchango mkubwa duniani, anasaidia nchi,pia anainua wengine ili nao wapande ngazi nyingine.

Kiongozi ni ule hata akifa leo ataendelea kukumbukwa baada ya miaka mia moja, mia mbili... Hivi wewe ni mchango gani utauacha duniani?

25/03/2026

Hakuna kitu ambacho kinanifurahisha k**a kushika bendela la nchi yangu 🇧🇮🇧🇮

Je wewe unafamu hii nchi !?



25/03/2026

Herufi za Kiswahili.Herufi ni nini?⤵️

Herufi (au fonimu) ni alama inauowakilisha sauti na ambayo inatumika pamoja na zingine ili kinda maneno mbalimbali Katika lugha yoyote. Katika lugha ya Kiswahili kwa mfano, herufi za msingi ziundazo maneno mbalimbali, jumla ni herufi thelathini(30). Herufi hizo hugawanyika Katika mawili yaani irabu na konsonanti, k**a tutakavyokwenda kuona kwenye chapisho lifuatalo.

Je unahitaji kujua haya mambo kweli ?


22/03/2026

📌 Pourquoi les blancs ne reçoivent pas de bourse pour venir étudier en Afrique ? 🤔🙄



22/03/2026

Learning has no limits. Then you have to do your best by doing and learning whatever you want.

Want your school to be the top-listed School/college in Bujumbura?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Bujumbura