Tujifunze kiswahili

Tujifunze kiswahili

Share

Hamjambo ndungu wapendwa. Nimejifikiri kubuni page hik,ili tuwe pamoja kwa kujifunnza lugha ya kiswahili. Ninaamini tutafaidika Sana.

Kama mnavyo vijuwa,lugha hii Ni moja wapo mwa lugha zinazotumika A

08/04/2023

Ninawasalimia nyote katika Jina la Yesu Kristo. Ninawatakia Siku nzuri ya leo.

Nataka tujikumbushe siku za wiki:

Siku ya kwanza ya wiki ni Jumapili( Sunday)
Ya pili ni Jumatatu( Monday)
Ya tatu ni Jumanne(Tuesday)
Ya nne ni Jumatano(Wednesday)
Ya tano ni Alhamsi( Thursday)
Ya sita si Ijumaa( Friday)
Ya saba ni Jumamosi( Saturday)

Kwa kweriii, ni vizuri kujua siku ili tujuwe siku sita za kufanya kazi ni siku moja tu(Saturday) ya kupumzika(kwenda Kanisani au kubaki nyumbani ukisoma maandiko matakatifu).

Mubarikiwe.

Photos from Tujifunze kiswahili's post 15/09/2021
18/07/2021

Nawatakiya juma pili njema nyote! Mungu awabariki!

22/08/2020

Kuna vipengele 3 katika sentensi:jina(au nafsi,kitenzi na kiambishi)

K.m: _Sisi tunajua kiswahili.

Toa mifano mingine 5.
a)
b)
c)
d)
e)

16/08/2020

Umoja ni...

16/08/2020

Jazz pengo:

"Umoja ni....."

16/08/2020

Hujambo ndugu zangu. Mkoje huko kwenu? Jina langu ni Charles kutoka Burundi. Nipe habari kwa upande wenu.

Want your school to be the top-listed School/college in Bujumbura?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Bujumbura