Tuboreshe lugha ya kiswahili

Tuboreshe lugha ya kiswahili Benny boy

09/04/2024

Zingatia masharti haya ili ujuwe kusema kiswahili sanifu

1 wakati wa sasa: na
Mf: ninaenda nyumbani

2 wakati ujao: ta
Mf: nitakuja kesho usiku

3 wakati uliopita : li
Mf: nilimuona mwaka Jana

4 wakati wa mitimilifu maana
Ulipia kidogo: me
Mf : amenisukuma Sana hadi nianguke

5 wakati wa mazoea :hu

-€Ukanushi wa njeo za wakati &

Li=ku mf sikumuona mwaka jana

Asante Sana tutaendelea kusoma msisahau ku like ku share na comment

Benny boy

Nawasalimia sana jina ni Benny boy nahitajii niwaalifu muje katika kundi hilii ili tujifunze lugha ya kiswahiliii sanifu...
11/07/2023

Nawasalimia sana jina ni Benny boy nahitajii niwaalifu muje katika kundi hilii ili tujifunze lugha ya kiswahiliii sanifuu

Address

Lundi
Bujumbura
22336

Opening Hours

Monday 15:00 - 06:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuboreshe lugha ya kiswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share