Elimu ni zaidi ya kumaliza masomo ya shule na vyuo.
Elimika Fasta Academy
Nearby schools & colleges
Main Road
Lucknow 226031
Kansat 6341
Dinhata 736135
Muthukuru
Haha
Chittagong
New Bus Stand
Jodhpur CHADI
Kasganj
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elimika Fasta Academy, Education, Kigurunyembe, Rajshahi Division.
Operating as usual
MAWAZO HAYASUBIRI MTU, CHUKUA HATUA LEO.
Ukiwa na wazo bila kuchukua hatua utashangaa wenzako wanasonga mbele na wewe uko palepale. Wakati mwingine utashangaa unazungumzia wazo anakuja mwingine analifanyia kazi na anafanikiwa. Mawazo huwa hayakusubiri, yakiona unachelewa kuyatekeleza yanaenda kwa mtu mwingine.
Je, leo una wazo lolote ambalo umekuwa unalighairisha mara kwa mara? Chukua hatua leo na lifanyie kazi ili usije ukajutia wakati wengine watakapolifanyia kazi na kufanikiwa.
HEKIMA ZA KILA SIKU
Ujumbe wa mwisho wa mwaka kutoka kwa Denis Mpagaze. Mungu kwanza kwa kila kinachokifanya, siri ya kumaliza mwaka salama kufanikiwa mwaka ujao.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Location
Category
Contact the school
Website
Address
Kigurunyembe
Rajshahi Division
Rajshahi Division
╱♦️╲ |♦️♦️| |♦️♦️| |♦️♦️| |♦️♦️| |♦️♦️| |♦️♦️| |♦️♦️| |♦️♦️| ◢███◣ ⫷▓▓▓(♦️)▓▓▓⫸ ◥███◤ ██ ██ ◥█◤