Zanzibar Climate Change Alliance

Zanzibar Climate Change Alliance

Comments

Chairman of Zanzibar Climate Change Alliance -ZACCA,Mr. Mahfoudh Haji attended a ZANZIBAR CLIMATE CAFE holden at MANZSON HOTEL SHANGANI ZANZIBAR.

This conference was well organized by NETWORK OF CLIMATE JOUNALISTS OF THE GREATER HORN OF AFRICA. NECJOGHA.

In fact it was a fruitfull conference since many lessons,skills and contributions harvested.

ZACCA in struggle.
NECJOGHA in action.

Climate Change is real, Dont ignore.
Fight against #climate_change

We are a non-profit organization fighting against the impacts of climate change.

Operating as usual

Zanzibar Climate Change Alliance updated their website address. 23/08/2021

Zanzibar Climate Change Alliance updated their website address.

Zanzibar Climate Change Alliance updated their website address.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 22/08/2021

On Saturiday,21|08|2021. ZACCA visited at Jozani National Conservation Forest in South Region Unguja as a part of the implementation of their daily programs.

The tour collected a wide range of visits in different areas affected by Climate Change.

Main aim was to conduct short research and to do mangrove restoration on those area affected by Climate Impacts.

More than 5,000 different mangrove species has been successfull managed to be planted.

Also 1 hacter of the land have been well cleaned and remain ready for safe restoration.

The activity conducted in collaboration with JECA and other conservation activist from both Kitogani and Jozani.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 22/08/2021

On Saturiday,21|08|2021. ZACCA visited at Jozani National Conservation Forest in South Region Unguja as a part of the implementation of their daily programs.

The tour collected a wide range of visits in different areas affected by Climate Change.

Main aim was to conduct short research and to do mangrove restoration on those area affected by Climate Impacts.

More than 5,000 different mangrove species has been successfull managed to be planted.

Also 1 hacter of the land have been well cleaned and remain ready for safe restoration.

The activity conducted in collaboration with JECA and other conservation activist from both Kitogani and Jozani.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 22/08/2021

On Saturiday,21|08|2021. ZACCA visited at Jozani National Conservation Forest in South Region Unguja as a part of the implementation of their daily programs.

The tour collected a wide range of visits in different areas affected by Climate Change.

Main aim was to conduct short research and to do mangrove restoration on those area affected by Climate Impacts.

More than 5,000 different mangrove species has been successfull managed to be planted.

Also 1 hacter of the land have been well cleaned and remain ready for safe restoration.

The activity conducted in collaboration with JECA and other conservation activist from both Kitogani and Jozani.

02/08/2021

Kazi na iendelee

Save the date
3/8/2021

Kazi na iendelee

Save the date
3/8/2021

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 28/07/2021

Volunteering service is one and most of the precious service which not only provide an avenue for people to get an extra experience,skills and knowledge but also is the chance to serve and create an excellent link between you and communities you serves.

ZACCA congratulates a numbers of recruited 2020/2021 volunteers intake for the completion of their services.

We wish them to transfer what they have harvested from our platform.

" I learned a lot of things and gain an extensive experience during the time volunteering at ZACCA" JAMILA ALI MDUNGI quoted.

This intake come into an end we still welcoming other application.

By.
Mahfoudh Haji.
Ex. Director/Chairman- ZACCA

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 11/05/2021

Mh.Waziri Wa Kilimo na Umwagiliaji Dkt. Soud Nahoda leo hii ameshiriki nasi katika upandaji wa mikoko 5000 katika eneo la Kilimani chini lengo ni kuhimili athari kubwa zilizopo eneo hilo.

Nami nikiwa ni mwanaharakati wa mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi Zanzibar nimepata kuiwakilisha ZACCA katika zoezi hili.

ZACCA imejipanga kuwashirikisha na kuziunganisha jumuiya zote za kimazingira na hata mabaraza ya vijana wanafunzi na wananchi katika kuinusuru nchi yetu kwa kutunza vyema maeneo kwa usafi na upandaji wa miti mbalimbli.

Na hii ni kuunga mkono juhudi za serikali taasisi za kiraia ili kufikia uchumi endelevu wa blue.

Mazingira yetu ndio haIzina yetu

Shukran
Mahfoudh Haji
Mwenyekiti- ZACCA.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 22/04/2021

ZACCA In collaboration with SUZA YOUTH MAPPERS and ZANZIBAR SCHOOL OF HEALTH -SHAA CAMPASS .

ZACCA coordinated community mapping awareness on flood related to early warning information at urban district including three shehias.

In this mapping community are greatly involved and engaged.

The Chairman of ZACCA quoted having said that the main aim of the mapping was to test on Awareness of the community on early warning information.

He deeply describe that despite the government effort on improving the infrastructures like roads and drainage but still need close eyes since there are many encounters.

ZACCA intend to help government on collecting data's which will easily help to merge the developments.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 06/03/2021

Striving toward a safer, Clean and improved environment.

ZACCA is managing the largest environmental cleanup program in Zanzibar .

More than 30 different areas have been well researched and well assessed and drawn in targets .

Today in collaboration with Governmental Departments, Youth led and Environmental NGOs, University Environmental Clubs ZACCA organized a USAFI HUB at Kinazini Zanzibar.

More than 100 participants actively engage in planting and clean up the waste dumps found in the area.

With great ambition we call upon sponsors and bussiness man to help ZACCA so as to reach its targets effectively.

"Zanzibar ni yetu kwa pamoja tuungane na kuitunza na kuihifadhi"

MAHFOUDH HAJI.
CHAIRMAN ,ZACCA.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 04/03/2021

ZACCA in implementation of the 2021 work plan conducted a day Community Awareness Raising on Environmental Education and Climate Change at DR. ALI MOHD SHEIN SECONDARY SCHOOL.

This Community Awareness Raising reach 178 Advanced Level students.

Chairman of ZACCA Mr. Mahfoudh Haji qouted having says that " We intend to engage with students from both primary and Secondary so as to build a strong understanding to them since we believe that invest the knowledge to them recently will benefit the future generation"

ZACCA will continue to deliver what they have until to ensure all Zanzibar school understand deep down the essence of keeping our environment clean and sustainable for all.

The Community Awareness Raising held on 04/03/2021.

Mahfoudh Haji
Chairman,ZACCA.

28/02/2021

TUNATAFITI TUNASHAURIANA NA KWA PAMOJA TUNACHUKUA HATUA.

TUNATAFITI TUNASHAURIANA NA KWA PAMOJA TUNACHUKUA HATUA.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 27/02/2021

A great concern should be made to the school and academic centers where new generation always built.

Conducting a frequently media tours will also strengthening the community awareness.

On 27th February,2021. ZACCA participated in Secondary School Environmental Dialogue in which different environmental stakeholders were invited.

In the same day A Chairman of ZACCA lead the team of ZACCA members in Advocacy Tour at CHUCHU F.M radio to deliver the topic entitled " Environmental Conservation in combating climate change and uprising the sustainability blue economy of Zanzibar.

Mahfoudh Haji.
Chairman ZACCA.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 14/02/2021

On behalf our blessed ZACCA we would like to send our special thanks to everybody who direct or indirect put the efforts in developing and adding a valuable CONTRIBUTION since ZACCA Establishment until today we celebrate for our 7th Anniversary.

We are obliged to value you closest relationship and your intensive help that you provide which greatly made our excellent ZACCA looks.

ZACCA still a new baby born we still need to be taken our hands toward a nice move on to another steps.

Thanks to you all
MAHFOUDH HAJI.
CHAIRMAN,ZACCA.

Photos from Zanzibar Climate Change Alliance's post 23/01/2021

TUNATAFITI, TUNASHAURIANA NA KWA PAMOJA TUNACHUKUA HATUA.

ZACCA kwa niaba ya NEZA,JECA,PYI na taasisi mbali mbali za kiraia.

Tunapenda kukupongeza Mh. Waziri Wa Kilimo,Umwagiliaji Maliasili na Mifugo kwa kushiriki nasi kikamilifu katika utekelezaji wa program hii ya USAFI HUB ambayo kwa leo hii imeweza kukusanya wadau mbali mbali wakiwemo Wakurugenzi kutoka Idara mbali mbali za serikali,waandishi wa habar kutoa vituo tofauti,NGOs na vijana katika upandaji wa mikoko.

Takribani mbegu 5000 zimefanikiwa kupandwa katika eneo hilo la Kinazini.

Licha ya mafanikio makubwa ya Activity hii NO 1 ya PRORAMU HII YA USAFI HUB Ila bado kunachangamoto katika eneo hili.

1. Bado Eneo linahitaji ulinzi wa kutosha hasa kudhibiti uchimbaji wa mchanga na utupaji taka holela.

2. Bado hakuna miundo mbinu rafiki ya upelekaji wa maji taka yanayotoka katika jiji la Zanzibar.

3. Aidha uendelezwaji na usimamizi wa miti ya mikoko na hata miti mengine inayoleta haiba kimazingira na kwa kivutio bado ni hafifu.

4. Ushiriki wa mamlaka husika k**a vile baraza la manispaa na hata makampuni na maofisi yalipo karibu na eneo tajwa bado ni mdogo.

ZACCA inatoa wito kwa serikali kutafuta njia mbadala za kufanya mashauriano ili kuhakikisha tunayatafutia suluhisho maeneo mfano wa hili la Kinazini.

Aidha ZACCA ina mipango madhubuti ya kuunga mkono juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu hii ya 8 katika mapambano ya Zanzibar Safi na Uchumi wa Buluu.

Mwisho kabisa tunawaataarifu rasmi wadau na wananchi kua ZACCA imeazimia kuyafikia maeneo 30 mengine ili kuendeleza kupanda miti lengo ni kufikia miti 1,000,000 kwa mwaka huu 2021.

#TUIFANYE DUNIA NI SEHEMU SALAMA.

21/12/2020

Na hii sasa si ya kukosa.

26/11/2020

ZACCA

Here we go

18/11/2020

Don miss it.

05/11/2020

Assalam alaykum.
Ndugu wapendwa.

ZACCA inapenda kuwataarifu kua imeandaa mafunzo ya Mabadiliko ya Tabianchi Program No 3.

Yatakayofanyika Tarehe 28,29,30/11/2020.Katika Ofisi za ZACCA na Ukumbi wa Malaria.

Mafunzo haya yataambatana na STUDY TOUR katika msitu wa JOZANI na NUNGWI AQUARUM.

Program hii itagharimu 35,000/- tu .

Gharama hii itahusisha cheti na ziara pia.

Kwa wale wote ambao watakua intrested wanaeza kufika offisi zetu zilizopo MWANAKWEREKWE C SCHOOL.

AU WASILIANA NASI KWA NO 0777706013.

SHUKRAN
MAHFOUDH HAJI
MWENYEKITI,ZACCA.

14/10/2020

┼╣ACCA yatoa mafunzo ya mabadiliko ya Tabianchi kwa wanafunzi wa Melisha Training Center.

14/10/2020

ZACCA katika utekelezaji wa Work Plan ya 2020.Imefanikiwa kuandaa mafunzo.

20/09/2020

ZACCA katika kilele cha kuadhimisha siku ya usafi Duniani ilifanikiwa kukusanya vijana wasiopingua 100 na kushiriki.

1. Utoaji wa Taaluma juu ya udhibiti sahihi wa takataka.

2. Usafi na utokomezaji wa majaa sambamba na kueka zuio la utupaji wa taka katika majaa hayo.

3. U*induzi rasmi wa Mtandao wa Mabalozi wa Mabadiliko ya Tabianchi na Baraza la Vijana la Mabadiliko ya Tabianchi.

4. Aidha maadhimisho haya yalifatiliwa na utunuku wa vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya mabadiliko ya Tabianchi programu no 2.

Maadhimisho haya yalifanyika katika viwanja vya Mwanakwerekwe Magereza Zanzibar.

#mahfoudhhaji

16/09/2020

Ni ziara maalumu ya kutembelea maeneo yaliyoathirika na athari za mabadiliko ya Tabianchi ambayo imefanyika katika maeneo ya Kilimani Chini.

Ziara hii imehusisha matembezi na kutafuta taarifa zaidi za eneo husika ili kuzitafuta suluhisho lake eneo hizo

ZACCA imeongozana na vijana mabalozi wa mabadiliko ya Tabianchi katika kuzitafuta na kuzitafutia suluhisho changamoto mbali mbali za mabadiliko ya tabianchi Zanzibar

#zafayco
#zacca
#CJRF
#IIED
@mahfoudhhaji

06/09/2020

Kuna rasilimali nyingi zinazopatikana baharini ambazo k**a zitatumiwa ipasavyo zinaweza kuinua si kipato tu cha mtu mmoja mmoja bali hata cha taifa.

ZACCA baada ya kuandaa mafunzo ya siku 2 taliyofanikiwa kuwafunza vijana takriban 30 kuhusu uchumi buluu yaan blue economy.

5th September 2020 ilifanya ziara "MARINE CLIMATE TOUR kwa lengo la kujionea na kujifunza kivitendo yale yaliyosomwa kinadharia.

#ZACCA
#Mahfoudhhaji.
#ZAFAYCO.

25/07/2020

Here we go.

25/07/2020

ZACCA -2020

ZACCA-2020

19/07/2020

We congratulates all participants who succeeded to pursue two days full training of climate change.

These participants harvested a lots on main topic of BLUE ECONOMY.

It is time now to transform this skills,knowledge and best practice to others.

#SISI NI ZACCA.
SUISTANABLE BLUE ECONOMY.

18/07/2020

ZACCA organized 2days Training on Climate Change.

This is a program no 2 where participants have been capacitated the concept of blue economy and how greatly contributing the sustainable development of country and livelihood.

1st Day Training held at ZACCA office Mwanakwerekwe- Zanzibar.

16/06/2020

ZACCA in collaboration with other youth organization commemorate the day of Child of African Day which usually commemorated in 16th June each year.

Today, ZACCA got an opportunity to visit at orphanage and join social works with them.

We clean with them.
Play with them.
Washing their clothes.
Puzzling a quiz with them.
Eating a lunch with them.

All these just becouse we value their dignity,humanity and a great to make feel that looses of either father or mother it is not a reason for them not to feel comfortable.

We are here to serve them as their father,mother, Brother and sister.

They really enjoy our visit.

Care child for his/her welfare and for Nation development.

Thanks

15/06/2020

Jee waijua ZACCA?

Mwenyekiti wa ZACCA akitoa Historia fupi ya ZACCA.

10/06/2020

Katika kupambana na Athari za mabadiliko ya tabianchi jamii lazima ishirikiane.

Mwenyekiti wa ZACCA Mr. Mahfoudh Haji amesema tunapaswa kujenga tabia na utamaduni wa kushikana mikono tunapoziona fursa ili kuweza kujumuika kwa pamoja.

Hayo ameyasema katika siku ya kuadhimisha siku ya mazingira duniani ambayo hufanyika kila ifikapo tarehe 5 June ya kila mwaka ambayo kwa mwaka 2020 ZACCA imeiadhimisha katika offisi zao zilizopo Mwanakwerekwe Zanzibar.

ZACCA katika siku hii iliweza kufanya usafi katika maeneo ya offisi na jirani, Aidha kuzindua kitali cha uandaaji na ukuzaji wa miti mbali mbali k**a vile miche ya minazi, mivinje nk kwa lengo la kua na miti ya kutosha ambayo kwa baadae inaweza kutumika kupandwa maeneo mbali mbali hapa Zanzibar.

Pia ZACCA iliendesha mjadala kwa wanajamii,vijana, waandishi wa habari na washiriki wa Taasisi mbali mbali za kiraia.

Mjadala huu ulilenga juu ya juhudi za kila mmoja katika kupunguza athari za mabadiliko ya Tabianchi.

Ni wakati wa kuijali "asili" ( Nature ).

Tunza Baoanuani.

07/06/2020

Zanzibar Climate Change Alliance's cover photo

07/06/2020

Zanzibar Climate Change Alliance's cover photo

06/06/2020

Katika kuadhimisha siku ya mazingira duniani(World Environmental Day, 5June,2020) ikiwa na kauli mbiu "TIME FOR NATURE", ZACCA imedhimisha siku hii kwa aina tofauti na ile iliyozoeleka katika miaka iliyopita kwa kawaida washiriki katika maadhimisho haya huwa ni taasisi mbali mbali za kiraia lakini mwa mwaka huu ZACCA wameamua kuadhimisha kwa kushirikiana na taasisi mbali mbali za Vijana zikiwemo za waandishi wa habari ili kuwahamasisha kusaidia kuhifadhi mazingira na kutambua furasa mbali mbali zinazopatikana katika kufanya shughuli za uhifadhi wa mazingira.

Maadhimisho haya yaliambatana na shughuli kuu tatu:-

*Usafi wa mazingira.
*Kuanzishwa kwa kitalu cha miche mbali mbali.
*Majadiliano juu ya mchango wa shughuli za kimazingira kwa vijana katika kuadhimisha siku ya mazingira duniani.

Nifaraja kubwa kuona vijana wamepata muamko katika masuala mazima ya utunzaji na uhifadhi wa mazingira kwa maslahi ya viumbe hai ambao wanategemea uhai wao kutoka na mazingira yalio safi na salama.

Matarajio yetu Vijana wataweza kuzitafuta fursa mbali mbali zinazopatikana katika shughuli za uhifadhi wa mazingira ili kuweza kufanikisha malengo ya kimaendeleo waliojiwekea.

KWA PAMOJA TUTAWEZA.

26/04/2020

Tahadhari

Baki nyumbani, jikinge na umkinge umpendae

Videos (show all)

ZACCA
ZACCA -2020
Tahadhari

Location

Category

Telephone

Address


Mwanakwerekwe
Zanzibar
Other Education in Zanzibar (show all)
American Corner Zanzibar American Corner Zanzibar
PO BOX/ SLP 4270
Zanzibar

American Corners is a service to provide the citizens of Zanzibar with information about the United States through book collections and Internet access.

Karume Institute Of Science And Technology Karume Institute Of Science And Technology
Karakana
Zanzibar, P.O. BOX 476

Karume Institute of Science and Technology (KIST), is a parastatal organisation under the Ministry of Education and Vocational Training.

Flora primary school Flora primary school
Zanzibar, +255

Acme nursery and primary school Acme nursery and primary school
Fuoni, Mtundani
Zanzibar

Acme Nursery and Primary school - ANPS Was established in 2015, a good progress and with increase in number of students between 10% 25% each year

IQRAA islamic IQRAA islamic
Amani
Zanzibar

" Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba " (96.1 Qur an )

Dhow Countries Music Academy (DCMA) Dhow Countries Music Academy (DCMA)
Old Customs House, Mizingani Rd
Zanzibar, 255

The school provides a unique opportunity for the inhabitants of Zanzibar and the Dhow Regions.

Mr.fundi Mr.fundi
Mwera Mtofaani
Zanzibar

Hii ni page kwa ajili yako kwa kupata elimu, michezo na burudani bila kusahau kutangaza biashara yako.

IQRAA Islamic International IQRAA Islamic International
Darajani
Zanzibar, 09777

" Read in the name of Lord who created " {Qur an 96.1}

Zanzibar adventure Zanzibar adventure
Nungwi Zanzibar, P.o Box 2591
Zanzibar

Zanzibar adventure is an organization deals with arrangement for accommodations, tours and transfers

Golden tree academic Golden tree academic
MTOFAANI KIGOROFANI-ZANZIBAR
Zanzibar

Welcome golden tree academic

Treasure Education Institute Treasure Education Institute
MASINGINI - ZANZIBAR
Zanzibar

we help orphans, homeless children and miserable children for free. We welcome any body who wants to volunteer in teaching them, helping material, supporting financial or else to save the children.