Fanikiwa Tv

Fanikiwa Tv

Comments

TANGAZO TANGAZO TANGAZO!!

ANAHITAJIKA MWANDISHI MZURI WA MAKALA ZA HABARI ZA MICHEZO KWA LUGHA YA KISWAHILI NA KINGEREZA.

KILA MAKALA ITAKAYOANDIKWA IWE YENYE MANENO KATI YA 400 MPAKA 500.

MALIPO YA KILA MAKALA MOJA NI $3 NA MALIPO UTALIPWA BAADA YA KUANDIKA NA KUWASILISHA MAKALA 10.

MAWASILIANO; TUMA BARUA PEPE YENYE KICHWA CHA HABARI “COPYWRITER” KWENYE EMAIL [email protected] au piga namba 0718838393.
Arusha journalism kisima cha mafanikio
naipendasana ,mpand,fm,
hi
TAARIFA ZA HIVI PUNDE: Mkurugenzi mkuu wa chuo cha Uandishi wa Hahari na Utangazaji Arusha Joseph Mayagila amefiwa na mwanae wa kiume Humfrey Mayagila mwenye umri wa miaka 13 usiku wa tare16.7.2017 nyumbani kwake.

Kwa taarifa aliyoitoa kupitia ukurasa wake wa facebook Bwana mayagila ameeleza “Nimefiwa na mtoto wangu wa kiume Humphrey Mayagila (13) Leo, hapa nyumbani kwangu Oldadai.”

Mayagila hajabainisha chanzo cha kifo hicho
Kwaniaba ya Nighty Express ya Mambo Jambo Radio na sumadkisuses.blogspot.com inawapa pole ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo

“innalillah wainnilahi rajiuun
TAARIFA ZA HIVI PUNDE: Mkurugenzi mkuu wa chuo cha Uandishi wa Hahari na Utangazaji Arusha Joseph Mayagila amefiwa na mwanae wa kiume Humfrey Mayagila mwenye umri wa miaka 13 usiku wa tare16.7.2017 nyumbani kwake.
Kwa taarifa aliyoitoa kupitia ukurasa wake wa facebook Bwana mayagila ameeleza “Nimefiwa na mtoto wangu wa kiume Humphrey Mayagila (13) Leo, hapa nyumbani kwangu Oldadai.”
Mayagila hajabainisha chanzo cha kifo hicho
Kwaniaba ya Nighty Express ya Mambo Jambo Radio na sumadkisuses.blogspot.com inawapa pole ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo
“innalillah wainnilahi rajiuun
njhkuu

Ajtc tv is a student broadcasting television based in Arusha Journalism Training College , at Mbauda fild force, Arusha Tanzania. For more than 2 years

For more than 2 years Ajtc tv has produced and transmit tv programs, documentaries, adverts and transformational stories around the College. We ensure that your intended message reaches your intended audience. Ajtc tv is committed to student practical, creativity, ethics and technical excellence. Our TV training includes new media practical, film and video production practical, broadcasting and

28/05/2020
19/03/2020
11/02/2020

Day #02

10/02/2020

Ni wiki ya kuwanoa wanafunzi wetu kwa vitendo wawe watangazaji wazoefu wakiwa bado chuoni

24/01/2020

FANIKIWA JOURNALISM SCHOOL ARUSHA

Chuo bora cha uandishi wa habari na utangazaji Fanikiwa Journalism School Arusha usiache kujiunga nasi kwa mafunzo bora ya uandishi wa habari na utangazaji ....mawasiliano 0756-508071 au www.fjs.ac.tz

24/01/2020

FANIKIWA JOURNALISM SCHOOL ARUSHA

Chuo bora cha uandishi wa habari na utangazaji Fanikiwa Journalism School Arusha usiache kujiunga nasi kwa mafunzo bora ya uandishi wa habari na utangazaji ....mawasiliano 0756-508071 au www.fjs.ac.tz

10/01/2020

Thanks for inspiration to our students

29/11/2019

Thanks for inspiration

21/11/2019

We are Proud of Our Own Students @Fanikiwa_Journalism_School

21/11/2019
13/11/2019

You are welcome/Karibu Sana.

31/10/2019

Wasiliana nasi kwa muhula mpya utakàoanza mapema mwaka kesho tar 15/03. Unaweza kupata fomu ya kujiunga kwenye website yetu ya www.fjs.ac.tz

19/10/2019

How to put wonderfully Slice text with abobe premiere cc 2019 (swahil edition)

For more good things karibu chuoni kwetu ujifunze zaidi
https://youtu.be/dp0lgQ0lgWM

hii si ya kukosa mtazamaji utanufaika nayo sana

18/03/2019

MISA kwa ushirikiano na chuo Cha uandishi wa habari na utangazaji Fanikiwa Journalism school, wameandaa Semina inayotoa fursa ya majadiliano kuhusu uhuru wa vyombo vya habari na Sheria mpya ya huduma ya habari ya mwaka 2016

27/02/2019

Tasnia ya habari Tanzania imepata pigo kwa kumpoteza Mtu muhimu, Mzalishaji wa vipindi wa Cloud's Media Bwana Ruge Mutahaba. Tunatoa pole kwa wadau wa habari,Ndugu na Jamaa walioguswa na Msiba huu.

01/02/2019
01/02/2019
21/01/2019

Fanikiwa Tv's cover photo

21/01/2019

Fanikiwa Tv's cover photo

21/01/2019

Unataka kuwa mtangazaji mahiri wa radio na Tv?? Chuo bora cha Fanikiwa Journalism School kinakutangazia mhula mpya wa masomo unaoanza tar 5/3/2019, wahi jisajili mapema, unaweza kupakua fomu kwenye tovuti yetu ya www.fjs.ac.tz. au piga simu namba 0756508071 kupata maelezo zaidi.

26/12/2018
19/06/2018
19/06/2018
14/05/2018

Najivunia kuwa wanafunzi wa chuo bora cha uandishi wa habari na utangazaji Fanikiwa. Sikujua kupiga picha, lakini sasa nina uwezo mkubwa wa kupiga picha za aina zote.

04/05/2018

Wagombea katika nafasi mbalimbali wakipiga kura mapema leo asubuhi katika uchaguzi wa serikali ya wanafunzi unaoendelea katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Fanikiwa kuwapata viongozi wapya watakao hudumu kwa mwaka wa 2018/2019.

03/05/2018

Siku ya mwisho ya kampeni

Wagombea katika nafasi mbalimbali wakinadi sera zao katika mdaharo wa kuhitimisha kampeni leo hii katika ukumbi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Fanikiwa (FJS).

Na kesho ndiyo ni siku ya uchaguzi ambapo wanafunzi wote chuoni hapo watapiga kura kuwapata viongozi wapya kwa mwaka 2018/2019. www.fjs.ac.tz

20/02/2018
14/02/2018

Camera opareter

14/02/2018
13/02/2018

FANIKIWA TV- subscribe sasa kwenye youtube
https://www.youtube.com/channel/UCkrb7laYu4hkoW9_91TkqOQ

13/02/2018

FANIKIWA TV

Tazama vipindi mbalimbali kupitia youtube channel yetu FANIKIWA TV kwa kubofya https://www.youtube.com/channel/UCkrb7laYu4hkoW9_91TkqOQ
pia Endelea kutusikuliza FANIKIWA RADIO masaa 24hrs kila siku, kwa kubofya http://fanikiwaradio.myl2mr.com

"LIKE,SHARE NA COMMENT SASA"

23/01/2018

FANIKIWA TV

fuatilia vipindi vyetu bora

23/01/2018

Fanikiwa Tv

Videos (show all)

FANIKIWA JOURNALISM SCHOOL ARUSHA
FANIKIWA JOURNALISM SCHOOL ARUSHA
FANIKIWA TV
AJTC TELEVISION ARUSHA
VOICE FOR VOICELESS
AJTC TV ARUSHA
TANGAZO LA CHUO

Location

Usa

Category

Address

Kwamrombo
Usa
Other Education in Usa (show all)
Keep Information Keep Information
USA
Usa, 00000

Information about all new technologies and technology news.

Arusha Arusha
62 DULUTI
Usa, 052OOO

this ine is meant for arusha people