Bin Jalala

Bin Jalala

Share

Building disciplined men with purpose. Mindset | Growth | Self-Mastery
Become the man you respect.

04/05/2026

Sio kila anayekupinga amekosea. Mara nyingi anaona tofauti na wewe unavyoona usikasirike tena Kwanini twende sawaa....

Kuna siku utagundua kuwa tatizo halikuwa watu waliokuzunguka…

tatizo lilikuwa unajaribu kuwafanya waishi ndani ya kichwa chako.... Utasema kivipi😁 lakini jua kwamba...

Watu wanaokuzunguka hawaishi ndani ya kichwa chako.
Na hapo ndipo safari inaanza sio ya nje tu, bali ya ndani pia...

Unakaa nao, unasikiliza wanachosema, unaona wanavyofanya maamuzi, halafu ndani yako unajiuliza
Hawa watu wanafikiria kweli....

Lakini ukweli wa ndani zaidi ni huu....
Sio kwamba hawafikirii
Wanafikiria tofauti na wewe unavyofikiria... Au kuwaza

Na sio tu tofauti ya akili au mawaz.. Bali...
Ni tofauti ya nafsi, majeraha, malezi, na hata namna roho zao zimejengwa wanasema background....

Hapo ndipo wengi tunapokosea
Badala ya kuelewa tofauti, tunahukumu....

Badala ya kusoma mioyo ya watu, tunawahukumu kwa maneno yao au minendo yao....

Au tunajinyamazisha ili tukubalike, tukipoteza sauti ambayo tulipewa kwa kusudi na Mungu....

Sasa swali linabadilika
Unafanya nini pale ambapo roho yako haisikilizani na roho za watu wanaokuzunguka au mawaz yako hayakubalikia au kulandana na wengine katika familia darasa au kundi lolote ulilop.....

Kuna mtu aliwahi kupitia hali hii
Aliingia kazini kila siku na ukweli wake, maono yake, na namna yake ya kuona maisha.... Ilikuwa tofauti na ya wengine

Na hii ilifanya kila alipoongea, hakueleweka
Kila aliposimama kwenye msimamo wake, alionekana tofauti...
Na polepole akaanza kujiuliza🤔
Tatizo ni mimi au wao....

Mpaka siku moja alipokutana na boss mmoja wa kampuni tofauti na alipokuwa anafanya kazi.....

Boss huyu alikuwa na tabia moja tuseme mbaya....
Kila mtu ambaye hakukubaliana naye, alimchukulia k**a mjinga...

Hakusikiliza
Hakujifunza
Alijiona yeye ndiye kipimo cha ukweli
Ndipo swali likazaliwa.... Jamaa akamuuliza yule boss... Hivi bro...
Kati ya hawa waajiriwa wako na wewe ambaye ndiyo umewaajiri nani a napaswa kuitwa mjinga....

Swali hilo lilikosa jibu maana ilikuwa somehow rhetoric halikuhitaji jibu.... Au wewe ungejibuje😁
Lakini muuliza Swali alipata somo pia kwamba siku zote tunawaona wengine wanaokosea au wajinga kwa sababu tunataka wakubaliane na sisi kitu ambacho sio sahihi maana tunatofautiana....

Basi bana jamaa..
Akarudi kazini kwake akiwa tofauti
Hakubadilisha watu
Alibadilisha mtazamo wake wa ndani.....

Hapo ndipo hekima inaanza
Kuelewa kwamba watu hawawezi kuwa k**a unavyotaka
lakini unaweza kujifunza kuishi nao bila kupoteza kile ulicho....

Mwanasaikolojia Carl Jung aliwahi kusema
Tunachokiona mara nyingi ni kile tunachofanya lakini hatuoni kwanini tunakifanya.... 🤔Ngumu e hapana....
hapa ndipo saikolojia inakutana na Roho na mwili....
Kwa sababu kabla hujaelewa watu
lazima ujitambue wewe
Na kujitambua sio tu kujua unavyofanya
ni kujua ndani yako kuna nini kinachokusukuma kufanya hivyo reason behind au purpose ya kufanya na hii ndio why yako...

Hapo ndipo wewe halisi unapoishi....

Lakini hata huyo wewe
Hakuja tu
Uliundwa
Kupitia malezi, mazingira, watu, na uzoefu
Uliiga Ulichukua Ulijenga....
Kutoka Utotoni au tuseme tumboni mwa Mama yako... Lakini zaidi utotoni through imitation....

Sasa jiulize kwa undani zaidi
Ni vitu gani ulivyovichukua ambavyo sio wewe halisi bali ni matokeo ya mazingira....
Hapo ndipo safari ya kiroho inaanza....
Kwa sababu kiroho ni kurudi kwenye ukweli wa ndani....

kuondoa tabaka zote ambazo sio wewe na kubaki na kile kilichowekwa ndani yako tangu mwanzo....

Lakini kuna ufunguo mwingine muhimu sana
Kuelewa watu
Sio kwa macho ya hukumu bali kwa macho ya ufahamu....

Hapo ndipo mfumo wa DISC unaingia k**a ulivyoelezwa kwenye kitabu cha Surrounded by Idiots cha Thomas Erikson....

Lakini hapa usiuone tu k**a personality
uone k**a namna tofauti za uumbaji wa binadamu....

Anasema binadamu tunaongozwa na hili neno DISC

D Dominance Utawala
Hawa ni watu wa hatua wanapenda matokeo wanasukuma mambo wanataka kuona kitu kinatokea
Kiroho hawa ni wapiganaji LAKINI bila hekima wanaweza kuumiza wengine bila KUJUA....

I Influence Ushawishi
Hawa ni watu wa mahusiano wanavuta watu wanajenga connection wanaishi kupitia MAWASILIANO....

Kiroho hawa ni waunganishaji lakini bila mizizi wanaweza kupotea kwenye kutafuta KUKUALIKA....

S Steadiness Utulivu
Hawa ni watu wa amani wanatunza wanavumilia wanajenga UTHABITI....

Kiroho hawa ni walinzi wa amani lakini bila msimamo wanaweza kubaki kimya hata wanapopaswa KUSEMA...

C Conscientiousness Umakini
Hawa ni WACHAMBUZI....

wanatafuta ukweli wanapenda usahihi na utaratibu
Kiroho hawa ni watafuta ukweli lakini bila upendo wanaweza kuwa wakosoaji wa kila kitu
Sasa ukweli huu ukikaa ndani yako VIZURI.....

Utaacha kupambana na watu
utaanza kuwaelewa
Utaacha kuwabadilisha
utaanza kuwafikia
Na hapo ndipo maisha yanaanza kuwa MEPESI......

Lakini kuna swali moja ambalo huwezi kulikimbia
Wewe ni nani kabla ya dunia haijakuambia uwe NANI.....

Na ukiamua kukaa kimya leo bila kelele za watu bila pressure ya mazingira
Ni sauti gani ya ndani itaanza KUONGEA.... NDANI YAKO..

Na elewa kwamba
*Sio kila anayekupinga amekosea. Mara nyingi anaona tofauti na wewe unavyoona usikasirike tena Kwanini twende sawaa....*

Na elewa kwamba...

Maisha ni mafupi mno hivyo kuishi kwa hasira na migogor
Haitakiwi... kwenye familia jumiiya darasan na popote..... Ulipo hivyo unapaswa kujijua wewe Unatabia gani kutoka. Katika framework yetu na DISC na ujifunze Kuishi na kila Mtu kadiri ya character yake....

Na kwa kufanya hivi mahusiano yetu na wengine yatakuwa mazuri na bora Kuliko Iliyokuwa. Mwanzo.

Hope umepata kitu...
C&P
Empowering you to rise.

25/04/2026

🔐 ANDIKA GATE LOCK

🚪 Milango yako haihitaji kubadilishwa — inahitaji lock sahihi.

🔐 ANDIKA Lock
💰 Bei kwa piece: Tsh 28,500

✔ Suluhisho la kuongeza usalama kwa gharama nafuu
✔ Inafaa kwa matumizi ya kila siku

📦 Stock ipo ya kutosha
🚚 Delivery ya haraka

📞 0714 592 047
Tunauza jumla & rejareja

23/04/2026

🔐 AHADI GATE LOCK

🚪 Geti lako halikupi usalama unaostahili?
Tatizo mara nyingi ni lock isiyolingana na uzito wa geti na material yake.

🔐 AHADI Gate Lock
💰 Bei kwa piece: Tsh 27,000

✔ Suluhisho kwa mageti ya chuma na mazito
✔ Inazuia uharibifu wa mara kwa mara
✔ Inakupa amani ya kweli ya usalama

📦 Mzigo IPO NYINGI sana – hatuishiwi
🚚 Delivery ya haraka popote ulipo

📞 0714 592 047
Tunauza jumla & rejareja

22/04/2026

🔩 Unahangaika na gypsum kuachia, kupasuka au kushindwa kushikilia vizuri?
Hiyo sio tatizo la fundi… mara nyingi ni aina ya screw unayotumia.

✅ Tumia Gypsum Screws zenye uwezo wa kushikilia imara kwenye board bila kuharibu material
✅ Hakuna tena kurudia kazi (gharama zinaongezeka)
✅ Inatoa finishing safi na ya kitaalamu
✅ Inapunguza muda wa kazi site

💰 Bei ni rahisi kabisa:
👉 Size zote – Tsh 5,200 kwa box

📦 Tunauza jumla na rejareja – iwe unafanya project kubwa au ndogo, tupo kwa ajili yako.
🚚 Delivery ipooo.

📞 Wasiliana nasi sasa:
0714 592 047

🚀 Fanya kazi yako iwe rahisi, haraka na yenye matokeo bora – chagua suluhisho sahihi kuanzia kwenye screw!

22/04/2026

Haufanyi kitu kwa sababu unajisikia kufanya… unafanya kwa sababu unajua unapaswa kufanya.

10/04/2026

SIFA ZA WANAUME WENYE THAMANI KUBWA [ HIGH VALUE MEN ].

K**a mwanaume wako ana sifa zifuatazo basi jua una mwanaume mwenye thamani kubwa sana, na mwanaume mwenye thamani kubwa maana yake ni mwanaume bora.

1. Hazoeleki kiurahisi.

Moja ya sifa za wanaume wenye thamani kubwa ni wao kutozoeleka kiurahisi, hadi kumzoea mtu wa aina hii ni lazima uwe na sababu maalumu.

2. Wana roho nzuri ila wana maamuzi magumu sana.

Siku zote watu wa aina hii huwa na roho nzuri sana, huwa na huruma lakini wapo vizuri kufanya maamuzi mazito pale inapobidi.

3. Haishi maisha ya kuigiza.

Siku zote huishi maisha yake halisi, haigizi maisha.

4. Anajua vitu vingi.

Watu wa aina hii huwa na uelewa wa vitu vingi sana, ni ngumu kumuuliza kitu fulani akawa hakijui kabisa.

5. Anasimamia mipango yake bila kuyumbishwa.

Akishaamua kufanya kitu huwa hayumbishwi tena, haijalishi anaambiwa na nani, k**a anahisi ni muhimu kwake kukitekeleza basi atafanya kwa vyovyote vile.

6. Haoni shida kuanza upya.

Ni watu wepesi sana kuamua kuanza upya, k**a ni mahusiano yakilegalega ni rahisi tu kuachana nayo na kuanza upya, kwenye chochote kile k**a hakiende sawa huamua kuanza upya.

7. Jasiri sana.

Hawa huwa hawaogopi kitu, ni majasiri kwenye kila kitu, wanajiamini sana.

8. Hawapendi mikopo.

Huwa hawapendi mikopo na hawapendi watu wanaopenda mikopo pia.

9. Hana cha kuongea na x wake.

K**a hajazaa nae huwezi kuwa na muda na x wake, yakiisha yameisha kweli.

10. Hawezi kuwa chawa.

Huwezi kumkuta anatafuta ukaribu na mtu mwenye pesa au maarufu.

11. Huwa hana cha kujadili na mwanamke msaliti.

Huyu ni mtu ambaye ukimsaliti basi kwa asilimia kubwa hayo mahusiano yanavunjika.

12. Hababaishwi na muonekano wa mwanamke.

Haijalishi wewe ni mrembo kiasi gani, haijalishi wewe ni fundi kitandani kwa kiasi gani, yeye ni mtu ambaye hababaishwi na vitu hivyo, kwa kifupi huwezi kumuendesha kwa uzuri wako.

13. Haoni shida kuondoka.

Iwe ni kazini wakimzingua ataacha hiyo kazi, iwe kwenye mahusiano ukimzingua ataondoka, kwa kifupi anapenda vitu vilivyonyooka, hataki longo longo.

14. Hapendi mwanamke mwenye drama, mapicha picha mengi.

Watu hawa huhitaji wanawake wanaojitambua na wasio na mambo mengi, yani hawataki mapicha picha kwenye mahusiano.

15. Mwanamke ukikosea atakuwajibisha.

Hawafumbii macho mambo, ukikosea atakuchana live kabisa bila kupepesa macho.

16. Wanajiamini sana.

Sababu ya kujiamini ni kwakuwa wanajua vitu vingi, wanajua kipi sahihi na kipi sio sahihi.

17. Hawaoni shida kuwa wenyewe.

Uwezo wao wa kuishi wenyewe bila kuhisi upweke ni mkubwa sana.

18. Hapendi uonevu.

Huweza kumsaidia hata mtu asiyemjua pale tu anapohisi mtu huyo anaonewa.

19. Kwenye mahusiano sio watoaji sana ila atahakikisha anakupa mahitaji yako ya msingi.

Huwa hawapendi kutoa toa hela bila mpangilio, na hii ni kutokana na mipango yao katika maisha, ila siku zote atajitahidi kukupa mahitaji yako muhimu.

20. Huwa hawapo romantic.

Hawa ni wanaume ambao wanalalamikiwa sana kwenye mahusiano, hawapo romantic ila ni wanaume bora sana, hasa kwenye kulea familia.

21. Wana huruma sana.

Muda pekee utakaojua wana huruma ni pale utakapokuwa na shida, k**a ni mwanamke wake ni pale utakapokuwa unaumwa au unapitia jambo lolote gumu, hawa ni wanaume ambao wana uwezo wa kupika, kufua, kuogesha watoto, kulisha na kufanya kila kitu kuhakikisha wanakusaidia.

22. Sio waongeaji sana.

Moja ya sifa yao kuu ni ukimya, muda mwingi wanahitaji kuwa kimya wakifanya mambo yao, ukiwa mwanamke muongeaji sana muda mwingi atautumia kutabasamu unavyoongea na kukujibu kwa kifupi, na mara nyingi hunyamaza bila kujibu k**a hiko ulichoongea atakiona hakina maana yoyote.

23. Hana marafiki wengi.

Tafiti zinaonyesha watu hawa huwa hawana marafiki wengi, wanachagua sana marafiki.

24. Hupenda kukataza na kuonya mara nyingi.

Kwa mwanamke ukiwa na mwanaume wa namna hii, jiandae kukutazwa na kupata maonyo kwa wingi, lakini jambo zuri kuhusu hilo huwa wanakukataza au kukuonya kwa jambo ambalo linaweza kukuletea shida. Mara nyingi ukifatilia vitu anavyokukutaza au kukuonya utagundua vitakuletea shida huko mbele.

25. Anajua vitu vingi kukuhusu kuliko unavyodhani.

Uwezo wao wa kukutafiti ni mkubwa mno, anajua mambo mengi kukuhusu ila hawezi kukwambia, na siku akikwambia utashangaa alijua lini? Na alijuaje?

25/10/2025
21/10/2025

You can’t run in the
Olympics until you’ve learned to tie your sneakers

20/10/2025

‘Do a common things in
uncommon way’

13/03/2025

🚀 Biashara Yako Inafika Mbali? K**a Bado, Tunakusaidia! 🌍💼
Unatoa huduma bora lakini unashindwa kuwafikia wateja wa maeneo ya mbali? 🤔 Bila tovuti, biashara yako inakosa nafasi ya kupanuka na kufikia wateja wa mikoa mingine au hata nje ya nchi! 🚫
✅ Suluhisho la Selash Technovation:
🔹 Tunakutengenezea tovuti ya kisasa yenye taarifa zote muhimu za biashara yako.
🔹 Huduma za miadi mtandaoni – wateja wanaweza kuweka miadi moja kwa moja! 📅✨
🔹 Biashara yako inakuwa inapatikana muda wote, popote pale! 🌐
Kwa mfano, kampuni ya "Jasiri Consult" sasa inaweza kuweka ratiba ya mashauriano moja kwa moja kupitia tovuti yao! Na wewe je?
📩 Wasiliana Nasi Leo:
📞 +255 714 592 047
📧 [email protected]
🌐 www.selashtech.co.tz
👉 Usiachwe nyuma! Jenga uwepo wako mtandaoni leo! 🚀🔥

06/03/2025

Gari Likiibiwa, Utafanya Nini? 🚨😱

Tafakari hili: Unatoka kwenye duka na unakuta gari halipo tena!

Ndani ya dakika chache, linaweza kuwa limepita mipaka ya mji au hata nchi!

❌ Bila GPS Tracker:
🚫 Huwezi kujua lipo wapi
🚫 Utaanza kuhangaika na polisi bila uhakika wa mafanikio
🚫 Unaweza kupoteza mali yako milele

✅ Kwa kutumia GPS Tracker:
✔️ Unapata taarifa ya eneo la gari lako mara moja
✔️ Unaweza kulizima kwa mbali ili lisitembee
✔️ Polisi wanapata msaada wa haraka kulipata

Usisubiri gari lipotee! Linda mali yako sasa. 🚗🔒

📲 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi:
📞 +255 714 592 047

Want your school to be the top-listed School/college?

Telephone

Website