Kituo cha walimu ubungo

Kituo cha walimu ubungo

Comments

Nimewaona walimu naomba tubadilisha kituo nko morogoro mvomero
uc4c2fa8

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kituo cha walimu ubungo, Education, P.o.box 62923 dsm, Ubungo.

Operating as usual

[09/20/17]   KITUO CHA WALIMU UBUNGO KINAWATANGAZIA PRE-FORM COURSE KWA BEI NAFUU KABISA, MLETE MWANAO APATE ELIMU BORA KWA WALIMU WENYE UZOEFU KATIKA UFUNDISHAJI KWA MASOMO YA SAYANSI NA SANAA, OFISI ZIKO WAZI SIKU YA JUMATATU MPAKA IJUMAA KUANZIA SAA 2 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. WOTE MNAKARIBISHWA

09/08/2017

Mlete mwanao kwa habari ya pre form one bei zetu ni nafuu sana, atasoma course ya pre form one kwa miez mitatu kwa sh. 40,000/= tu

13/01/2017

Mapinduzi day wameamua kupindulia shule

05/01/2017

wakimakinika kupata maelezo ya tour guide

05/01/2017

sijui hawa students wanapatikana kipande gani saizi dah!

03/01/2017

Kituo cha walimu ubungo

03/01/2017

Karibuni wote

03/01/2017

BAGAMOYO SEASON 2 2016

03/01/2017

Timeline Photos

[01/02/17]   KWA WANAFUNZI WA QT NA FORM FOUR 2017 SHULE TUNAFUNGUA TAREHE 9/1/2017 WOTE MNAKARIBISHWA FORM ZINAPATIKANA KITUONI KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0742578406/0717061064

[01/22/16]   Tangazo......Tangazo......Tangazo
Habari njema kwa wanafunzi wenye nia ya kusoma form four miaka miwili kwa darasa la jioni masomo yamesnza rasmi tarehe 21/1/2016 wahi mapema nafasi bado ipoo

[01/22/16]   Darasa la jioni kwa QT wanaohitaji limeanza wahi masomo mapema upate elimu bora kwa mafanikio makubwa

15/01/2016

Photos from Kituo cha walimu ubungo's post

13/01/2016

Photos from Kituo cha walimu ubungo's post

13/01/2016

Wanafunzii wakijisomeaa

13/01/2016

Photos from Kituo cha walimu ubungo's post

13/01/2016

Darasa la practical kwa chemistry na biology limeanza wahi mapema

12/01/2016

NJOO UKUTANE NA WALIMU WENYE PASSION YA KUFUNDISHA

12/01/2016

This is kiwau mwalimu katika pozii

12/01/2016

Kituo cha walimu ubungo's cover photo

Location

Category

Address


P.o.box 62923 Dsm
Ubungo