Cwic-Tech-T

Cwic-Tech-T

Comments

Thqnks
poa

THE CHANGE IN INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY ARE ANOMALOUS CHANGE MAKE SURE YOU COPE WITH IT FOR DEVELOPMENT OF TOMORROW`S WORLD CWIC TECH T are created by five young people who study Information and Communication Technology at VETA KIPAWA.

The aim of establishing this company is to provide services and training to Tanzania community on ICT issue. Company are independent work and registered at BRELA and get registration number 406145.

Operating as usual

08/03/2019

Ifanye harusi yako iwe na muonekano wa kipekee.karibu tukudizainie kadi zaidi ya unayoiona.ulipo tupo mawasiliano yametufanya kuwa karibu nawe zaidi.0712 869 363 tegeta kwa ndevu

07/03/2019

Habari za muda wapendwa.karibu tukudizainie vipeperushi ,mabango ya matangazo,kadi za mialiko ya sherehe ,vitambulisho vya kazi, na mengine mengi ni wewe tu karibu tukuhudumie.0712 869 363 au pitia e-mail yangu [email protected] huduma zote hizi ni kwa gharama nafuu zaidi.tupo tegeta kwa devu

26/02/2019

Ni k**a kawaida ndani 0712 869 363 unapata kila unalohitaji kutengenezewa.tupo tegeta kwa ndevu

25/02/2019

Ni baadhi ya vipeperushi tulivyo design.karibu tukuhudumie 0712 869 363 tupo tegeta kwa Devi.hata k**a upo WAP ndani ya Tanzania tunaweza kukuhudumia.your are welcome!!!!!!!!!!

24/02/2019

Hi wapendwa unajisikiaje ukipewa kadi k**a hii ya mwaliko.inapendeza sana.sasa tunakuletea kadi za harusi zaidi ya hii ni wewe tu.tunapatikana tegeta kwa ndevu.0712 869 363.ipambe harusi yako iwe na muonekano wa kipekee zaidi.

23/02/2019

Hi wapendwa.Tuna design logo za makapuni,vikundi,shule,taasisi za dini na binafsi.kadhalika hats za office yako.unachotakiwa kufanya ni kutu call through 0712 869 363.utakuyana na designer wako Yasini omari shida yako itaishia hapo.welcome!!!!!!!!!!!

22/02/2019

Tuna design Business card kwa yeyote anayehitaji kwa bei nafuu zaidi.
Haijalishi upo wapi .Tutakutengenezea na baadaye kukutumia.Ni kupitia 0712 869 363 au email [email protected] kikamilifu.

21/02/2019

Habari wapendwa.Tuna design vitambulisho vya aina mbalimbali,k**a vile vitambulisho vya kazi,shule na vya maktaba.yote haya yanapatikana kwa gharama nafuu zaidi.nitafute kupitia 0712 869 363.

20/02/2019

Katika mwaka huu cwic-tech-t tumejipanga kukuhudumia katika hali ya ubora kabisa katika masuala ya ICT.Tuna design matangazo ya shule au chuo,tunatengeneza kalenda za makapuni na familia,business card,logo,kadi za mialiko aina zote .pia tunatengene computer yenye tatizo .ukitaka yote hayo plz call 0712 869 363 au e-mail [email protected] ahidi kukuhudumia popote.

20/02/2019

Cwic-Tech-T

19/02/2019

Tunatengenize kadi za kila aina,matangazo,vipeperushi na mengine mengi nitafute ukiwa na kazi yako 0712 869363

22/12/2017

Zipo kwenye mnada
Specification zake:-
HP CORE i 5
CPU 2.8 GHZ
RAM 4GB
HDD 320GB
Inakaa na charge masaa 3 hadi manne kutegemea na matumizi yako.
Bei ni Tsh 450,000/=
Tuwasiliane kupitia 0712 869 363

29/07/2017

Tuzo kutoka mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE) bĂ ada ya kufanya vizuri.

22/07/2017

Cwictech-t imeanzisha mfumo mpya wa utoaji wa huduma kwa wateja wetu ijulikanayo k**a "mobile computer training" ikiwa na maana k**a unatatizo lolote hasa katika mambo ya ICT unaweza kuwasiliana nasi kupitia 0712869363 tutakufata hapohapo ulipo bila ya wewe kusumbuka na kukutatulia tatizo lako linalohusiana na mambo ya tehama .huduma hii ni Kwa wakazi wa DAR ES SALAAM pekee.karibuni sana tuijenge nchi yetu kupitia Tehama.

11/07/2017

That's all about 41st international Fair trade known as maonesho ya sabasaba.u are well come to share idea with as about technology especially in ICT

28/06/2017

Welcome to 41st dar salaam international trade fair from 28 june-8 July.we need your contribution,opinion and your advice in order to improve our services that provide to our society especially in ICT sector. Plz welcome!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
R

23/04/2017

Tunamshukuru mungu kila halo.imradi tu hatujakata tamaa ndio maana bado tunapambana k**a wapambanaji.vuta subra kwa lililo kupata.Rudi nyuma angalia wapi umekosea .poa next time

25/12/2016

wana cwic-tech-t wanawapongeza wote waliohitimu katika chuo cha VETA kipawa mwaka 2016.

04/11/2016

Cwic-Tech-T

Ndugu watanzania wenzanguukiwa na kazi yako inayohusiana na masuala ya tehama k**a laptop au una internet cafe tuite tukufanyie installation ya kiwango cha juu unaweza kutuandikia kwenye account yetu au tupigie kupitia 0712 869363,pia unaweza kutuandikia [email protected]

04/11/2016

Cwic-Tech-T

Ndugu watanzania wenzanguukiwa na kazi yako inayohusiana na masuala ya tehama k**a laptop au una internet cafe tuite tukufanyie installation ya kiwango cha juu unaweza kutuandikia kwenye account yetu au tupigie kupitia 0712 869363,pia unaweza kutuandikia [email protected]

04/11/2016

Ndugu watanzania wenzanguukiwa na kazi yako inayohusiana na masuala ya tehama k**a laptop au una internet cafe tuite tukufanyie installation ya kiwango cha juu unaweza kutuandikia kwenye account yetu au tupigie kupitia 0712 869363,pia unaweza kutuandikia [email protected]

04/11/2016

Cwic-Tech-T

wana CWICTECH T wakiwa katika sehemu ya kazi

04/11/2016

wana CWICTECH T wakiwa katika sehemu ya kazi

07/09/2016

mkurugenzi wa cwictech-t akiwa katika shughuli maalum k**a sehemu ya kutimiza majukum yake ya kikazi.ikiwa ni pamoja na kuhakikisha tunasonga mbele k**a kampuni

19/07/2016

Cwic-Tech-T

Hizo ni zawadi za ushidi baada ya kuibuka washindi katika maonesho ya 40 kimataifa ya biashara.Ushidi huu ulipatikana tarehe 30 june 2016 mara baada ya mamlaka ya vyuo vya ufundi VETA kuonesha ubunifu wa hali ya juu pamoja wa wahudum wake ambao walikuwa makini sana katika utoaji wa huduma zao.katika ushidi huu CWIC-TECH-T ilikuwa na jukumu la kukusanya maoni na kuratibu idadi ya watu ambao waliofika katika banda la VETA kwa kutumia database system.Kama unakazi yako inayohusiana na mambo ya teknologia ya Habari na mawasiliano (ICT)

19/07/2016

Hizo ni zawadi za ushidi baada ya kuibuka washindi katika maonesho ya 40 kimataifa ya biashara.Ushidi huu ulipatikana tarehe 30 june 2016 mara baada ya mamlaka ya vyuo vya ufundi VETA kuonesha ubunifu wa hali ya juu pamoja wa wahudum wake ambao walikuwa makini sana katika utoaji wa huduma zao.katika ushidi huu CWIC-TECH-T ilikuwa na jukumu la kukusanya maoni na kuratibu idadi ya watu ambao waliofika katika banda la VETA kwa kutumia database system.Kama unakazi yako inayohusiana na mambo ya teknologia ya Habari na mawasiliano (ICT)

13/07/2016

ni katika harakati za utekelezaji wa majukum ya kampuni

wakati wa kazi tufanye kazi watanzania ili tuifikishe nchi katika uchumi wa kati

26/06/2016

wakati wa kazi tufanye kazi watanzania ili tuifikishe nchi katika uchumi wa kati

22/06/2016

Huu ni wakati wa kazi.Tufanye kazi tuache maneno.Lakini yote hayawezekani k**a Tutaburuzwa na Technology Hivyo COPE WITH INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (cwic-tech-t) itakufikisha kwenye lengo.

21/06/2016

Timu ya CWIC-TECH-T inawakaribisha sana katika maonesho ya sabasaba.karibu sana katika banda la VETA upate kujionea huduma zetu tunazotoa kwa jamii.Nia ni kuifanya jamii iweze kuendana na mabadiliko ya Technology ya Habari na mawasiliano katika kujiletea maendeleo na kupambana na umaskini.Hili linawezekana k**a jamii yetu hususani vijana tutatumia vizuri mitandao ya kijamii.Pia watanzania tuwe tayari kuendana na Technology.

20/06/2016

Timu ya CWIC-TECH-T wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutekeleza shughuli nyeti

[06/14/16]   CWIC-TECH-T inawaletea huduma mbalimbali ambazo zinahusiana na masuala ya Technology ya habari na mawasiliano wasiliana nasi kupitia e-mail yetu [email protected]

14/03/2016

Cwic-Tech-T's cover photo

14/03/2016

Cwic-Tech-T

Location

Products

Training.
Services
Consultation on ICT
Selling of Computer Accessories
Selling of Network Accessories

Telephone

Address


Temeke
+255
Other Temeke schools & colleges (show all)
Saku Secondary School Saku Secondary School
P.O Box 104359
Temeke

Highridge Training College Highridge Training College
P.O. BOX 8541
Temeke, +255

kozi zetu zote zinatolewa kwa gharama nafuu. certificate level 600,000/=, diploma 1,200,000/= unalipa kwa mwezi 100,000/= hadi umalize bila usumbufu wowot

Institute of Sales Promotion Institute of Sales Promotion
BOX 616 Temeke
Temeke, +255225655658

Registered training institute under government boards: NBAA, PSPTB & VETA