Elohim Boys' Secondary School

Elohim Boys' Secondary School

Elohim boys' sec School is a complete boarding facility for boys which is located in Mwambani area 12km from Tanga city council. We are among best boys' boarding school which offers quality education for the future generation.

Elohim secondary school is a private boys’ only secondary school located in Mwambani area just 200 meters from the Indian Ocean shore in Tanga city. At Elohim we work to equip students with knowledge, skills and attitudes useful in their future life. Our aim is to create excellent future professionals with good morals and values; men who can become role models for the entire society.

Operating as usual

01/10/2020

Habari Ndugu wa Wazazi na Walezi. Elohim boys' secondary School inawatangazia wote. Nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2021 pamoja na nafasi za kuhamia kidato cha pili, tatu na nne mwaka 2021. Fomu za kujiunga zinapatikana maeneo yafuatayo.
Dar - Msimbazi Center room namba 9.
Tanga- shuleni Elohim
Dodoma. Kanisa la cathdral katoliki
Morogoro. Social education center.

Mitihani itafanyika tarehe 10.10.2020
17.10.2020 na 31.10.2020

01/07/2020

Dictionaries are like watches; the worst is better than none, and the best cannot be expected to go quite true."

14/06/2020
07/06/2020

" Without laboratories men of science are soldiers without arms". #elohimboys

20/05/2020

Sports plays an important role in educating students as it teaches them to become strong from inside and aslo develop fit and sound body. #elohimboys #hakielimutanzania#michezofuraha.

[05/19/20]   " You learn something everyday if you pay attention".

16/05/2020

Je wewe ni Mzaz/ Mlezi au Mwanafunzi ambae unatafuta nafasi yakusoma kwenye shule bora kwa nidhamu na Taaluma! Karibu#elohimboys

15/05/2020

Intellegence plus character that is the goal of education.#elohimboys # hakielimu#elimukwawote

12/05/2020

Kujifunza kwa vitendo, kujifunza kwa malengo. Elimu ya kujitegemea ni msingi wa maendeleo.#hakielimutanzania#elohimboy #elimikawikiendi#

09/05/2020

Ubora wa Elimu ndio chachu ya maendeleo katika kila jamii. Kusoma vitabu na majarida mbalimbali kunaongeza uwezo wa kuijua jamii pamoja na kuongeza uwezo wa kutatua matatizo mbalimbali katika jamii. #elohimboy#hakielimutanzania #fezaboyssecschool

07/05/2020

Umakini na nidhamu ni nguzo kuu katika kujifunza.
Tuongeze nidhamu kwa kufuata maelekezo ya WHO na wizara ya afya jinsi ya kujikinga na cobid 19.

[04/24/20]   Nawatakia Waislam wote nchini Mfungo mwema wa Mwezi mtukufu wa Ramadhan. Nawasihi sana mzingatie maelekezo ya Wataalamu kuhusu virusi vya Korona. TUFANYE IBADA NYUMBANI.

Zingatia yafuatayo kupambana na korona.


#3M - #Miguu, #Mikono na #Mdomo

#Miguu - Kaa umbali wa Mita 1 kati yako na mtu Mwengine

#Mikono - Nawa mikono mara kwa mara kwa kutumia Sabuni na Maji yanayotiririka

#Mdomo - epuka kushika Mdomo, Pua na Macho. Pia Vaa Barakoa

22/04/2020

Wakati tunakwenda kulala tukumbuke kitanda chetu bwenini kiwazi sababu ya covid 19. Shuleni ni nyumbani kwetu pia. Kumbukumbu nyingi za furaha na maarifa mengi tunayapata tukiwa shuleni. Tuambie wewe ulilala bweni lipi!? Mwaka gani. Nani alilala chini au juu ya kitanda chako. Sisi elohim tunalala bweni safi.

22/04/2020

Leo tujikumbushe. Unaweza kutaja majina ya watu wanao onekana kwenye picha?!
Sisielohimboys'

[04/22/20]   Ndugu Wazazi, walimu pamoja na wanafunzi wetu wapendwa. Covid 19 kirusi hatari kinachoambukiza ugonjwa wa corona sasa kimetawala eneo kubwa la nchi yetu. Tunapenda kuwapa tahadhari pale mnapo tembelea maeneo ya mikusanyiko.
1. Kuvaa barakoa(mask)
2. Kuvaa gloves kwa wale wanaopokea fedha muda wote.
3. Kunawa mikono
4. Kutoshika sehemu za uso.
5. Kutumia kitakasa mikono(sanitizer) kufuta maeneo hatarishi kama vitasa vya nyumba kujikinga na maambukizi.

Tunawakumbuka katika kipindi hiki kigumu tunachopitia.

Siku njema.
Tunawapenda.

[12/27/19]   kwa wanafunzi wote wa elohim! kumbukeni holiday package ni muhimu kuzifanya kwa wakati. kumbukeni shule ndio nyumbani kwenu wakati ukiwa mwanafunzi. tunafungua nyumba tarehe 9.1.2020

07/06/2019

Here is the school calender for the remaining term at ELOHIM BOY'S SECONDARY SCHOOL.. (July -December) 2019

[06/04/19]   A good head and a good heart are always a formidable combination. But when you add to that a literate tongue or pen, then you have something very special. Let your child be taught and given quality education here at ELOHIM BOY'S SECONDARY SCHOOL.

19/06/2018

Unajua maana ya logo yetu sisi elohim boys' secondary school?. Njiwa mweupe ni kielelezo cha amani, alama ya jua na bahari ni ukaribu wetu na bahari ya hindi. Na wanafunzi wanaojisomea wanawakilisha utofauti wetu. Karibu elohim. #shuledirect #hakielimu

19/06/2018

Utofauti wa rangi,Kabila na Dini. Njiwa wa Amani pamoja na ukaribu wetu na pwani ya bahari Hindi. Sisi elohim tunajivunia yote haya.

12/05/2018

Wanafunzi wetu wakitembelea Wilaya ya Pangani, mahali ambapo ndipo sherehe za Uhuru zilipofanyika kwa Wilaya hio.

Juhudi yetu ni pamoja na kuhakikisha wanafunzi wanapata ufahamu mkubwa kuhusiana na historia ya nchi yao wakiwa ndani na nje ya darasa. #elimu #Tanzania

[05/11/18]   Tutakuwa na Mtihani wa kujiunga na kidato cha kwanza, pili na tatu kwa wale watakaopenda kuhamia kwenye shule yetu wakati wa likizo ya mwezi wa sita.

Tarehe:4.6.2018 - 22.6.2018
Muda: Saa mbili na nusu asubuhi.
Mahali: Shuleni Elohim Tanga.

Fomu za maombi zinapatikana shuleni Elohim Tanga, Msimbazi center Dar es Salaam.

Tafadhali fikisha ujumbe huu kwa marafiki wote wenye uhitaji.
Kwa mawasiliano zaidi.

Piga simu namba
0717-018283
0767-018282

[email protected]

KARIBUNI SANA.

11/05/2018

Elohim Boys' Secondary School

Uongozi wa shule ya sekondari kwa wavulana Elohim. Walimu,wazazi na wanafunzi kwa pamoja. Inapenda kuwashukuru marafiki wote waliyowezesha leo kufikisha wafuasi 1000 waliotembelea page yetu ya ELOHIM. Tunawatakia Ijumaa kareem.😘

The school is located at Mwambani in the eastern side of Tanga. It is one of the Tanga city suburb placed 8km away from Tanga town center.

10/05/2018

Shule yetu ya Elohim inamazingira mazuri ya kujifunzia, Walimu hodari wenye kujali na miundombinu rafiki. Wanafunzi wetu wote wananidhamu na ni marafiki wa kudumu. karibuni wote Elohim

09/05/2018

Je wewe umesoma Elohim?. Unakumbuka tukio hapo chini ilikuwa ni siku gani?.

27/04/2018

Wazazi,walimu na wanafunzi wetu wanashirikiana kwa pamoja kufikisha malengo ya mzazi,wanafunzi na shule. Shule yetu ni ya Wazazi, wanafunzi na walimu.

27/04/2018

Sisi tunapenda kusoma na kujifunza kwa vitendo. Vitendo huongeza hamu na hamasa ya kujifunza.

21/09/2017

Happy birthday to our school director 😍😍😍😍

08/03/2017

We at Elohim are happy to celebrate the woman who inspires us: the school director mama Elingaya Mungure. #happywomensday

17/02/2017

Elohim Boys' Secondary School's cover photo

Graduation ceremony 13/11/2016

It was a glorious day for both the children and the staff. The children were happy to finally graduate from secondary school and the teachers and the staff as a whole were proud to see the fruition of their work during the four years they have spent with the boys.
We wish our boys the best possible success in the future endeavors!

It was a glorious day for both the children and the staff. The children were happy to finally graduate from secondary school and the teachers and the staff as a whole were proud to see the fruition of their work during the four years they have spent with the boys.
We wish our boys the best possible success in the future endeavors!

13/10/2016

Karibu Elohim.

Saadani tour 2016 04/10/2016

Form IV students with looks of ecstasy during a recent trip to Saadani National park

Form IV students with looks of ecstasy during a recent trip to Saadani National park

Parents day 2012 02/10/2016

Parents day 2012

Study tour of Tanga Fresh factory 02/10/2016

Study tour of Tanga Fresh factory

Videos (show all)

Je wewe ni Mzaz/ Mlezi au Mwanafunzi ambae unatafuta nafasi yakusoma kwenye shule bora kwa nidhamu na Taaluma! Karibu#el...
Wanafunzi wetu wakitembelea Wilaya ya Pangani, mahali ambapo ndipo sherehe za Uhuru zilipofanyika kwa Wilaya hio. Juhudi...
Shule yetu ya Elohim inamazingira mazuri ya kujifunzia, Walimu hodari wenye kujali na miundombinu rafiki. Wanafunzi wetu...
E-learning at Elohim

Location

Category

Telephone

Address


Mwambani
Tanga
580

Opening Hours

Monday 07:30 - 23:30
Tuesday 07:30 - 23:30
Wednesday 07:30 - 23:30
Thursday 07:30 - 23:30
Friday 07:30 - 23:30
Other Schools in Tanga (show all)
Tongani High School Tongani High School
Pangani
Tanga, SLP 130 , 75 KM FROM PANGANI TOWN .

Tongani high school is in mkaramo village located in pangani district in Tanga. The school serves day and boarding for both O level and Advanced level.

St. Basil Day Care Centre And Nursery School St. Basil Day Care Centre And Nursery School
P. O. Box 5919
Tanga, 0712244871

Education

St.christina Girls' SEC School St.christina Girls' SEC School
Kange
Tanga, P.O.BOX 5733

St. Christina Girls' Secondary School is a Girls' Boarding school situated in Tanga Municipality 5 kilometers from Tanga town along the Dar-es-salaam road.

Tanga Elite Teachers College Tanga Elite Teachers College
PO Box 5555
Tanga

Tanga Elite Teachers College, is a private teachers college located in Pingoni, Tanga District

Kongei secondary school Kongei secondary school
Lushoto
Tanga