Tanga Technical School

Tanga Technical School

Comments

inafundish masomo yaaina gani
Nikotanga tanzania nimesomea arusha tanzania karibunsana tanga
Is @mazing
Je vie a paris aime c'est photo les ami
Je, unawaza nini?
Salaam,
Leo "steering committee " yetu imekutana kupanga mipango ya mkutano wa tarehe 26 juni 2021.
Kikao ambacho kiliongozwa na maj. Gen. Semfuko kilifanyika protea Hotel St. Peters kiliweka mikakati ya awali ambapo pamoja na yote tuliazimia kuwashirikisha wote humu kwenye group kushiriki kutangaza kwa wenzetu wengine kuwepo kwa mkutano wa tar 26 pale Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam ambapo wadau mbalimbali wa Tanga School wakiwepo Viongozi wa mkoa wa Tanga, Mbunge( Waziri wa Tamisemi), wakuu wa shule wa Zamani na Walioopo sasa etc wataambatana na Mhe Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete kujumuika pamoja nasi.
Pamoja na kuwa mjumuiko huu wa kihistoria utakuwa ni fursa nzuri kukutana na wenzako mliopoteana miaka mingi, lakini tutapata fursa ya kuasisi umoja wetu Rasmi na kujadili namna ya kuisaidia shule yetu kwa utaratibu endelevu.
Tukio hilo kubwa la kihistoria hakuna anayepaswa kulikosa.
Usikose na sote tusambaze taarifa za mwaliko kwa wenzetu.
Dodoma
Em que estás a pensar?
MARAFIKI HABARI ZENU
W

THE FIRST SECONDARY SCHOOL IN TANZANIA ,OUR MOTTO IS "SERVICE NOT SELF"welcome //

09/06/2019

We are champions...

09/06/2019

We are champions.. Hellow Our Headmaster we made its...thanks

16/12/2018

TANGA TECH

we come back soon for more infomation ....stay tune and welcome to our school TANGA TECH

01/04/2018

Waziri M.h Jof... Akikagua maendeleo ya ukalabati wa shule....

01/04/2018

Mkuu akihutubia baada ya uchaguzi wa viongozi_wanafunzi...

30/11/2017

TTS

30/11/2017

ILERAND _TANZANIA SECONDARY SCHOOL NETWORK..... there we go...

[09/10/17]   Long live TTS

17/08/2017

.....
We sheen!!!!!!

11/08/2017

Form four 2017______we sheen ....... What's year were you on that's level???

06/07/2017

Timeline Photos

01/11/2016

Same of Talent at Tanga Technical school.......

01/11/2016

ALL THE BEST FORM FOUR 2016 to NECTA... GOD BLEES YoU

16/10/2016

Timeline Photos

10/07/2016

Out side front at TTS

19/06/2016

Wanafunzi wengi wamepitia shule hii ya sifa yenye walimu wengi wenye tahaluma za kutosha ..k**a wewe ni #mwalimu yupi hutamsahau katika maisha yako hapa Tanga TS school?

(subcbby: Michael M exclusve ¿ #Bob-tem)

29/05/2016

Eneo la Assemble katika shule ya Tanga Technical School VIDEO ikionesha mazingira (prep by Mishell Exclusve and Bob ten)

[04/18/16]   TAHARIFA YA MAHAFARI TANGA TECHNICAL SCHOOL
Tarehe 21/04/2016 Thusday Yatafanyika Mahafari ya kuwaaga Kidato Cha Sita #2014_2016 Hapa Shuleni Yatakayo Fanyika ukumbini Uliupo Tanga Technical School Hapa Shuleni Ndugu;
_Wanatangaschool
_Wazazi
_Walezi
_Wageni waharikwa
Mnakaribishwa Kuungana Na
_Mkuu Wa Shule SIR E.MWAKANYAMALE
_Waalimu
_Wanafunzi
Ili Kufanikisha Tukio Hili
Alamsik...

(orgaz:MichaelM_ #MishellExclusve)

31/03/2016

www.tangashool.com

TANGA TECHNICAL SHOOL
service not self
THE FIRST GOVERNMENT SECONDARY SCHOOL IN TANZANIA
HOME
CALENDER
ACADEMIC
ACHIVEMENT
ABOUT US
SINCE 1895-2016
HISTORIA YA TANGA SHOOL
1.KUANZISHWA KWAKE.
Ilianzishwana CHAMA CHA MAKOLONI YA KIJERUMANI [THE GERMANY COLONIAL SOCIETY] TAREHE 14MEI1895 na bwana PAUL BLANK akiwa ni mkuu wa shule wa kwanza
2.AINA YA WANAFUNZI .
Shule ilipokea wanafunzi wengi kutoka mjini Tanga na vitongoji vyake vilivyo zu nguka mji waTANGA wanafunzi hao waliwakilisha takribani makabira 4o k**a ifuatavyo
[i]Wadigo wanafunzi-15
[ii]wasondei wanafunzi-50
[iii]wasegeju-wanafunzi-4o
[iv]makabila mengine yaliyobaki yalikuwa na wanafunzi kati kumi na ishirini tkwimu hiyo hizo ni mwaka 1922
3.IDADI YA WANAFUNZI.
Shule ilikuwa na wanafunzi 350 na wastani wa maudhurio yalikuwa ni 320 kwa siku [huo ulikuwa mwaka 1924]
4.MABWENI.
Ilikuondoa tatizo la ukabila wanafunzi waligawanywa kimabweni na kila bweni ilikuwa na wanafunzi 40-5o na majina ya mabweni yalikuwa ni yawanyama mbalimbali k**a ifuatavyo;
[i]Twiga-njano
[ii]Nyati-kahawia
[iii]Faru-bluu ya bahari
[iv]Chui-nyekundu
[v]Tembo-blue
[vi]simba-kijivu
Utalatibu wa mabweni ulianza Tanga school mwezi wa kumi 1896 kabla ya hapo hapakuwa na utaratibu huo kwenye shule zingine TANGANYIKA
5.AINA YA MASOMO
Aina ya masomo yaliyofundishwa ni pamoja na kijerumani[kuandika na kusama] hesabu pamoja na ufundi
6.VYUMBA VYA MADARASA
Wanafunzi walikuwa wanakaa chini [hapakuwa na madawati wala kiti]
7.UJENZI WA MAJENGO
Jengo kubwa la mbele lilijengwa mwaka 1899 ujenzi ulifanywa na wanafunzi wenyewe kw kubeba mawe kutoka baharini juu ya vichwa vyao zoezi hilo lilifanywa wakati wa maji kupwaa
8.KUONGEZEKA KWA WANAFUNZI
Wanafunzi wa bweni waliongezeka kutoka 110 hadi 407 mwaka 1899 kati yao walifundishwa ualimu pia shule ilitoa mafunzo ya ufundi na elimu ya msingi
9.ORODHA YA WAKUU WA SHULE
[I]PAUL BLANK 1892-1910
[II]BRANDIT 1920-1914
[III]LORENZ 1914-1920
[IV]PETRO RICHARD 1920-1922
[V]R.S BAKER 1922-1924
[VI]SIRN BAKER 1922-1924
[VII]CECILI JULIAS TYNDALE 1924-1958
[VIII]HURNSBY 1958-1965
[IX]PENDAEL 1965-1968
[X]LEMA A 1968-1972
[XI]KAJUMULO F 1972-1974
[XII]KIWELE 1974-1980
[XIII]MREMA .Z 1980-1988
[XIV]TETI S M 1988-2005
[XV] KINALA T Z 2006-2009
[XV]MWAKANYAMALE AM 2009-2026[add]
ORGAN'S www.tangashool.sc.com
www.tangatechnicalschool.com/fb
prep by Mishell Exclusve
suppoter by Kelvin Bongole

tangashool.com

25/03/2016

Tangu miaka ya 1995 mnara wa miaka miamoja uliowekwa katika shule ya kwanza Tanzania 👦👧 Tanga Technical school ambayo inasifa kedekede ..sehemu hii ni ukifika tu lango kuu utapaona moja kwa moja Na hii ndio #video ya kwanza kutoka hapa.. For more information click at our website www.tangaschool.50net.com (prep by 👮 mishell exclusve.... Karibuni sana

[03/18/16]   TAHARIFA FUPI KUTOKA TANGA TECHNICAL SCHOOL

Now we available to the websites that known follow us at
www.tangaschool.50net.com / www.tangaschool.sc.com
kupata ;Ratiba ya shule yetu, matokeo ya vidato vya mitihani,picha za walimu na wanafunzi ,mazingira pamoja na ramani ya shule yetu ya sifa #TTS ..."@Shule yetu ya Tanga maharafu Tanzania Imekuwa ni Nyota...!!!" (prep by #michaelexclusve)

01/11/2015

All the best to form four class-2015 to your NECTA examination that starts at 2 November 2015 .Always we appreciate something whats we doing academically at our school and we predicts the wonderfully effects ."OUR GOD HELP US.......,"

30/10/2015

011 form 4graduation 2015 some of student at TTS showing their talent(prep by Franc Domi)

30/10/2015

010 one of teacher from TTS showing his talent at form 4 graduation-2015

30/10/2015

0008form four2015 graduate-lets see the talent at tts(prep by Mishell Exclusve)

30/10/2015

0007 form four graduate 2015-lets see the talent from tts

30/10/2015

0006 form four graduate 2015-ones of form six said good by as aways (prep by Mishell Exclusve)

30/10/2015

0005 first vission form four graduate 2015-mwanafunzi wa kidato cha tatu akionesha tarent katika mahafari ya kidato cha nne (prep by Mishell Exclusve

30/10/2015

0004first vission kidato cha nne-2015 (prep by Mishell Exclusve)

30/10/2015

0003first vission see you again All the best to exam form four-2015(prep by Mishell Exclusve)

30/10/2015

Mahafai ya kidao cha nne-2015(prep by Mishell Exclusve)

30/10/2015

[10/09/15]   How about creating TTS whatsapp group ??like if u agree.weka na namba wakifika 50 tunaunda group

02/10/2015

MAHAFARI YA KIDATO CHA NNE 2015.
Wazazi,Walezi, ,Wanatangaschool,Ndugu, Jamaa Na Wageni Waharikwa Mnakaribishwa katika Mahafari ya Kidato Cha Nne Mwaka Huu Ambayo Yatafanyika 22 October (mwezi Wa kumi) Mnakaribishwa sana Kuhudhuria .Je Mwanatangaschool Unakumbuka Siku Ya mahafari Yako Yalikuwaje..? ...Elezea!!! [prep by Mishell Exclusve]

01/10/2015

Tanga Technical School

Videos (show all)

TANGA TECH

Location

Address


P.O.BOX 5002 TANGA
Tanga
Other Tanga schools & colleges (show all)
St. Basil Day Care Centre And Nursery School St. Basil Day Care Centre And Nursery School
P. O. Box 5919
Tanga, 0712244871

Education

IJUE DINI YA Kiislam IJUE DINI YA Kiislam
Tanga, 53

IJUE DINI YA KIISLAM

Soni Falls Pre and Primary School Soni Falls Pre and Primary School
Lushoto
Tanga, +255

An English medium Primary school located in Soni,Bumbuli, Tanga Region . The vision of this school is to be the best Primary school in Tanzania by prioritizing the quality and personality to suit the national culture.

Giving Back: "NEW HOPE" Giving Back: "NEW HOPE"
Ngomeni- Korogwe
Tanga, +255

Aiming to ."creates school readiness" for kids living in rural areas where there is lack of accessible education. LIGHT INTO AFRICAN VILLAGE

Sir. John Schools Sir. John Schools
Raskanzone
Tanga, 5181

Sir. John Schools is a community of approximately five hundreds student from Nursery to Secondary.

Usagara Secondary School Usagara Secondary School
330
Tanga, 255

Elohim Boys' Secondary School Elohim Boys' Secondary School
Mwambani
Tanga, 580

Elohim boys' sec School is a complete boarding facility for boys which is located in Mwambani area 12km from Tanga city council. We are among best boys' boarding school which offers quality education for the future generation.

Caveman Memes Caveman Memes
13
Tanga, OOG

Fucj off dad woogie boogie is my life

Empower the Community and Environmental Conservation Organization Empower the Community and Environmental Conservation Organization
80502
Tanga, 255

E.C.E.C.O is Non – Governmental organization established in 2011 and get full registration in 2014 with registration number 00007207.

Academic revolution Academic revolution
Chanika- Handeni
Tanga

David Togolani Mashambo David Togolani Mashambo
P.O BOX 5395 SAHARE
Tanga, +255719992280

sharing social,economic and religious experience