Greenlane Academy

Greenlane Academy

Greenlane Academy Greenlane academy is new established private children school founded BY NASSIR I. MNENGE & MSAE R. OMARI

Operating as usual

[09/10/18]   Habari wadau wa Elimu hasa Greenlane Pre & Primary English Medium , Shule yetu imeanza msimu mpya wa kupokea wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2019.

Kuna kila sababu kumleta kijana wako kushiriki nasi katika safari yake ya kitaalum. Shule imekuwa na historia nzuri kitaaluma kwa miaka mitatu mfululizo.

Kwa mwaka wa jana 2017 katika mitihani ya kitaifa darasa la nne shule yetu ilikuwa ya kwanza kiwilaya na ya tatu kimkoa kati ya shule 240.

Nikuthibitishie kwamba taaluma ndicho kipaombele chetu cha kwanza na hutojutia kumleta kijana wako kuungana na timu yetu ya waalimu mahiri na waliobobea katika kuweka sawa maendeleo ya kitaaluma ya watoto wetu.

Mlete kijana aliyeshindikana mahali popote timu hii imeandaa utaratibu maalumu kushape na kufanya vijana wa aina hiyo waweze kucope na mazingira ya taaluma bora na yenye tija.

kwetu sisi maendeleo ya mtoto mmoja mmoja ni ya muhimu zaidi.

Nakukaribisha
ushiriki nasi katika safari ya kitaaluma ya kijana wako
Greenlane Pre & Primary School - Tabora
Mob: 0755 963 663

[01/16/17]   Heri ya Mwaka mpya wa 2017. hope nyoote mko salama . Kwa mara nyingine tumeingia katika msimu mpya wa Masomo kwa Mwaka 2017.

Tunafaraja na kumshukuru mungu kwakuwa tumekuwa tukifanya vyema katika miaka mitatu ya utoaji wa taaluma bora shuleni kwenu.

kwa mara ya Kwanza shule ilikuwa na wanafunzi walliofanya mtihani wa taifa wa darasa la nne NECTA 2016. Ni faraja kwetu na tunamshukuru Mwenyezimungu kwamba vijana wetu wamefanikiwa kufanya vizuri katika mitihani yao. shule imekuwa

YA KWANZA ( 1 ) KIWILAYA KATIKA MANISPAA YA TABORA

YA NANE ( 8 ) KIMKOA KATI YA SHULE 223.

Nachukuwa nafasi hii kuwapongeza sana vijana wangu na staff nzima ya waalimu kwa jitihada kubwa waliyoifanya kufikia mafanikio haya. Haikuwa kazi rahisi kupanda daraja kwa mara ya kwanza na kuwa mshindi.

Niwakaribishe tena Greenlane mahali ambapo tumejizatiti kutoa taaluma iliyo bora.

Mungu awabariki nyoote
Karibuni sana Greenlane

Nassir Mnenge
Director of the school.

[12/25/14]   Habari , brothers and sisters !!! Tunaingia msimu mpya wa elimu kwa Mwaka Mpya wa 2015.Kifupi kwa mwaka 2014 shule imepiga hatua kubwa sana kitaaluma hii imetokana na usimamizi mahiri wa waalimu na Uongozi mzima wa shule , kwa mwaka wa masomo ujao tunaamini kwa uwezo wa Mungu tutafanya miujiza zaidi katika swala zima la utoaji wa taaluma, kwa wale wanaonifahamu naamini wanajuwa naamanisha nini , Ubora wa taaluma kwanza hiyo ndiyo sera yetu kwa sasa.Nakukaribisheni nyote mlete vijana wenu Green Lane Academy Moja ya shule zilizodhamiria kuleta mapinduzi makubwa katika Taaluma.Tarajieni mabadiliko zaidi na mafanikio zaidi katika taaluma.

Nawashukuru nyote kwa michango yenu mikubwa ya kimawazo ambayo imetufanya twende kwa mafanikio kitaaluma katika mwaka huu unaoisha.

Nawakaribisha sana Mchague Green Lane Kwa elimu iliyo bora.

Ahsante sana

Mwl. Nassir I. Mnenge.

25/12/2013

Untitled Album

25/12/2013

Greenlane Academy's cover photo

31/05/2012

Greenlane Academy's cover photo

[05/26/12]   You are most welcome all our member friends to share with us all issues pertaining with education in Tanzania.We all have to rise our voice and making sure that education is going to be the right of every individual in Tanzania.Feel free to drop your comments here.Director

24/04/2012

Greenlane Academy's cover photo

07/02/2012

LEARN FROM THIS PICTURE.It looks like a mop with a face but actually it's Hungarian Puli sheep dog, Fee. In this pic he is jumping over a hurdle during a preview for a pedigree dog show in Dortmund.Nassir I. Mnenge.Director

07/02/2012

Vijana wangu walijifunza kuwa yale mawe ya ROCK CITY kule Jijini mwanza kuwa ni mawe ya ajabu.HAYA NAYO

06/02/2012

ANGALIA HAWA VIJANA,MASIKINI WANALAZIMIAKA KUUFURAHIA UFUKARA WALIONAO NA WANAOUTARAJIA MBELENI.SABABU HATA USOMAJI WAO NI WAMASHAKA KWA KUKOSA MALEZI BORA KATIKA ELIMU KUANZIA MAJUMBANI MPAKA MASHULENI

06/02/2012

Elimu katika jamii zetu nyingi za kiafrica imekuwa inapewa nafasi ndogo sana,na ndiyo maana watoto wetu hawana mazingira mazuri ya kusomea,maandalizi bora wakiwa wanaenda shule lakini pia hata hawapewi kipaumbele kwenye mahitaji yao ya shule k**a mavazi,school bags,na items nyingine mbalimbali.hii inapelekea shule zetu nyingi kuwa na mass failure kwakuwa watoto wanakata tamaa kabisa ya kujisomea.ANGALIA TOFAUTI HII YA VIJANA HAWA WENYE AMANI NA FURAHA NA SHULE lakini sisi leo vijana wetu wamekuwa wanaiona shule k**a kituo cha polisi.ELIMU NI KILA KITU KWAO HEBU TUIPE KIPAUMBELE CHA MWANZO KABISA.

[02/06/12]   Rais Jacob Zuma wa Africa ya kusini amebariki utaratibu wa upimaji wa virusi vya ukimwi mashuleni.Je wafikiri mpango huu unaweza kutusaidia na sisi k**a serikali yetu itaamua kuutumia?

06/02/2012

President Jacob zuma has launched the HIV testing scheme in South Africa which may soon be extended to schools.Do you think this plan will be also beneficial to our schools if our government will decide to copy it.

[02/05/12]   We are students of words: we are shut up in schools, and colleges, and recitation-rooms, for ten or fifteen years, and come out at last with a bag of wind, a memory of words, and do not know a thing.

[02/05/12]   No man who worships education has got the best out of education.... Without a gentle contempt for education no man's education is complete.

[02/05/12]   Hello,friends you are most welcome to our new page,hope you will enjoy having a look on it. Nassir I. Mnenge - Director

Location

Category

Products

LEARNING THROUGH DISCOVERY

Telephone

Address


P.O BOX 1642
Tabora
+255
Other Schools in Tabora (show all)
Chief Ntinginya Secondary School Chief Ntinginya Secondary School
Nzega Town Council
Tabora, P.O.BOX 180

EDUCATION IS INVESTMENT

Nyamwezi Teachers' Collage Nyamwezi Teachers' Collage
TANZANIA
Tabora, +255

Welcome to the best College all over the Western Zone The College that Provides a Diploma in Primary School Education, that recognized by Ministry of Educ

Nkiniziwa Secondary School Nkiniziwa Secondary School
P.O.Box 206
Tabora, NZEGA TABORA

It is the day public school located some kilometers to the southern from Nzega district. Found 200 meters from the Nzega-Tabora road at Nkiniziwa village..