Makuku youth education tours

Makuku youth education tours

Ni taasisi ya vijana kufahamu vivutio vya utalii vyao vya ndani tanzania visiwani zanzibar.

Operating as usual

Photos from Makuku Tours & Safaris Ltd's post 16/07/2021

Zanzibar

30/06/2021

Culture

Culture

08/08/2017

utalii wa ndani ni muhim kwa taifa letu...kwa pamoja tuvijue vivutio vyetu..

26/02/2016

Makuku youth education tours

magofu ya mruhubi zanzibar

02/10/2015

magofu ya mruhubi zanzibar

02/10/2015

Timeline Photos

02/10/2015

man on the mission

najivunia zanzibar yangu yenye Amani

20/09/2015

Tukiwa katika bahar ya nungwi kuelekea fukwe za kijiji cha kilindi kendwa..tukifanya utalii wa majini kutumia boat..utali kwa wote

03/09/2015

Amani yetu Zanzibar

ALI HEMED ALI (MAKUKU)

03/09/2015

kisiwa cha unguja ni miongoni mwa visiwa vyenye fukwe nzuri za bahari na hali ya hewa nzuri sana.

wanafunzi baada ya kutembelea sehemu mbali mbali za kihistoria pia hupata fursa ya kutembelea fukwe na pwani zenye mvuto wa kipekee kwa kustarehe na kuogelea ndani ya pwani hizo.
na pia wakiwa nafura na kupatacha chakula kwa wakati wa mapumziko

03/09/2015

Timeline Photos

03/09/2015

katika harakati za kujionea na kufahamu vivutio vyingi vya kihistoria zanzibar, wanafunzi wa shule ya LOYOLLA SEC SCHOOL wakifaidika sana na mafunzo hayo na kujionea wenyewe uhalisia wa magofu ya maruhubi, zanzibar.

31/08/2015

Makuku youth education tours's cover photo

31/08/2015

Habari za asubuhi ndugu vijana na wapenda utalii.

tukiendelea ha harakati zetu za kuelimisha vijana katika utalii wetu wa ndani wanafunzi wa shule tofauti nchini wakishiriki na kuchangia utaalam wao kuhusu historia.

ni historia ya pekee visiwani zanzibar kupitia sayansi ya wanyama wa baharini ambao walikuepo karne zilizopita, wanayama k**a pomboo "dolphins" na nyangumi "whales"

30/08/2015

pia wanafunzi hao walipata kutembelea mji wa nungwi kuweza kujionea aina tofauti ya wanyama k**a KASA na wanyama wengine.

30/08/2015

wanafunzi wa shule ya TUSIIME SECONDARY SCHOOL ilioko TABATA mjini DAR ES SALAM wakitembelea moja ya kivutio kikubwa cha kihistoria cha ZANZIBAR

ni jengo la kihistoria lijulikanalo kwa jina laTHE PALACE OF ZANZIBAR lilioko forodhani mjini zanzibar.

wanafunzi wakifaidika na mafunzo hayo na kua ni miongoni mwa historia yao

30/08/2015

Makuku youth education tours

Location

Category

Telephone

Address


Zanzibar Town
Stone Town
+255
Other Education in Stone Town (show all)
Zanzibar Built Heritage Group Zanzibar Built Heritage Group
Stone Town

In our Project (Zanzibar Built Heritage Job Creation) we are commited to conserve Stone Town, World Heritage Site.

Zanzibarimages Zanzibarimages
Zanzibar
Stone Town, +255