Chinongwe Secondary School

Chinongwe Secondary School

sharing different about Education development about chinongwe secondary school

Operating as usual

[12/06/17]   Habali za Kazi/Majukumu waungwana
Kuna group lipo Wattsapp ukiwa mdau tunaomba namba yako tukuuunge kuna mambo ya msingi ya kuyajadili mchango wako wa hali na Mawazo
Karibu sana Nitafute
+255 718 295 930
+255 783 036 637 Wattsapp

[02/12/17]   WANAFUNZI KIDATO CHA I 2017
KUFANYA TENA MTIHANI 28.02.2017
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema kuwa
wanafunzi ambao walichaguliwa kujiunga na kidato
cha kwanza katika shule za serikali nchini wanahitajika
kufanya mtihani wa udahili tarehe 28 mwezi huu na
wale watakaofaulu wataruhusiwa kujiunga na kidato
hicho.
Taarifa hii ilitolewa kwa mara ya kwanza na Katibu
Mkuu wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt.
Charles Msonde lakini kwa mujibu wa barua kutoka
NECTA iliyosainiwa na Edgar Kasuga kwa niaba ya
Katibu Mkuu kwenda kwa Makatibu Tawala wote wa
Tanzania Bara siku ya Jumatatu, wale ambao
hawatafaulu hawataruhusiwa kuendelea na masomo
hayo ya sekondari.
NECTA inakusudia kutumia mtihani huo kuhakiki
uwezo wa wanafunzi waliounesha katika kiwango chao
cha ufaulu katika Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu
ya Msingi uliofanyika mwaka jana. “Watakaofeli
hawataruhusiwa kuendelea na masomo,” inasomeka
sehemu ya barua hiyo. Makatibu Tawala wote, maafisa
elimu na walimu wakuu wote wa shule za sekondari za
serikali waliombwa kufikia leo wawe wamewasilisha
orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa
kujiunga na shule zao ili maandalizi yafanyike.
Afisa mmoja wa NECTA amesema maandalizi kwa ajili
ya mtihani huo yanaendelea na kwamba wanafunzi
wajiandae. “Maandalizi yanaendelea vizuri na tutatoa
taarifa kwa umma kuhusu mabadiliko yoyote
yatakayojitokeza,” alisema.
Katika Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu ya Msingi
uliofanyika mwaka jana, watoto 789,479 waliofanya
mtihani huo ambapo wanafunzi 555,291 walifaulu. Idadi
hii ya waliofaulu ni sawa na asilimia 70 ya wanafunzi
wote waliofanya mtihani huo.

Nipate Instagram Hamisi_hamisi_jr
Twitter Hamisi1991
Facebook Hamisi hamisi jr
Wattasp 0783036637

24/02/2016

Chinongwe Secondary School

04/10/2015

Chinongwe Secondary School

[08/09/15]   KWA WOTE WANACHINONGWE SECONDARY TUFAHAMIANE TULIPO KWA SASA KOMENTI ULIOPO MTU WANGU.TAFADHALI UKIWEKA NO.YA SIMU NA SHUGHULI YAKO ITAKUWA POA ZAIDI

17/06/2015

Ni matukio mazuri kuyakumbuka sana! like zsa kutosha ilikuwa October 2010 Amazing!!!

17/06/2015

Chinongwe Secondary School

[04/25/15]   Habali zenui wadau, wakereketwa na wafurukutwa wa Elimu hasa kwetu sisi wanachama/marafiki wa page yetu pendwa ya chinongwe Secondary School.

shule ambayo kwetu sisi imekuwa k**a daraja kutuleta hapa tulipo kiuchache tunasema ahsante sana Chinongwe secondary ama kweli wastahili sifa.

napenda kuchukua nafasi hii k**a Admin mpenda maendele ya kielimu mwenye mtazamo wa kuinua elimu popote, niwapo niliejielimisha kwa kutumia uwezo wangu, kadri ya uwezo wangu kwa faida ya wote napenda kuwatakiwa maandalizi mema watahiniwa wa kidato cha sita waliotoka Chinongwe secondary au mahala popote katika \nchi yetu.

aidha napenda kuwatakiwa masomo mema wanafunzi, walimu na wafanyakazi wengine waliopo sasa chinongwe secondary poleni kwa kazi ya kutulelea ndugu zetu kiujumla kazi ni ndefu sana.

nipende kuwakumbusha kuwa Elimu haina mwisho itafute elimu popote kwa gharama yoyote kwani elimu ni urithi pekee kwa mtoto jamii hata taifa kwa ujumla kizazi hadi kizazi.

nawashukuru sana
Mr. Hamisi Chole

25/04/2015

Chinongwe Secondary School

06/03/2015

Chinongwe Secondary School

[03/06/15]   MATOKEO YA KIDATO CHA PILI CHINONGWE SEKONDARI HAYA,
PATA KILA KILICHO BORA KUTOKA KWA

CHINOGWE SEKONDARI SCHOOL

THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
FORM TWO SECONDARY EDUCATION EXAMINATION (FTSEE) 2014 RESULTS
SOUTHERN ZONE
CENTRE: S2674 - CHINONGWE
School Overall Grade Summary
A B+ B C D E F
F 0 34 51 46 89 53 33
M 1 30 33 44 49 40 19
TOT 1 64 84 90 138 93 52

C H G K E P C B B
R I I E I N H H I /
E V S O S G Y E O M
P I T G W L S M L A
E C O R A I I I O T
A S R A H S C S G H
T S . Y P I H S T Y .
E E . . H L . . R . .
CNO R NAME OF CANDIDATE X . . Y I . . Y . . GPA CLASS
0001 ANITHA G TAMBA F B+ B+ B C B E E D F 2.4 CREDIT
0002 AMINA M LUKANDA F B C C D B E E D F 1.7 CREDIT
0003 ASHA H MBAYOLI F B B+ C D B+ D E D F 2.3 CREDIT
0004 ASHA O ABDALA F C B+ D D B E E D F 1.7 CREDIT
0005 ASHA R AYUBU F B B+ C C B+ E D D F 2.4 CREDIT
0006 DAYANI N ALLY F B B+ D C B+ D D C F 2.4 CREDIT
0007 FADHILA S MATAKA F C B+ D D B+ D E D F 2.0 CREDIT
0008 FARIDA A MPOTA F Absent ABS
0009 FAUDHIA J M***A F C B+ D E B D E E F 1.6 CREDIT
0010 FATUMA S AHMADI F C B C E B D E E F 1.6 CREDIT
0011 FATUMA A TABU F C B+ C D B+ D D D E 2.1 CREDIT
0012 FROLIDA L CHILEMBA F C B D D C E E E F 1.3 PASS
0013 HADIJA R YUSUPHU F C B+ C D B D E D F 2.0 CREDIT
0014 HALIMA M ABDALA F D B+ C E B E E E F 1.4 PASS
0015 HILALIA J MNONJELA F D B+ C D B E E E F 1.6 CREDIT
0016 JOSEPHINER G BEATUS F B B+ D C B+ D E D F 2.3 CREDIT
0017 KOLETHA E ANGELUS F C B D E C D E E F 1.3 PASS
0018 LETISIA K PAUL F C B+ C C B D E D F 2.1 CREDIT
0019 MERISELINA W MARIBICHE F B+ B+ C C B+ D D C F 2.7 MERIT
0020 MWANAIDI R ABDALA F B B+ D D B D E D F 2.0 CREDIT
0021 NASRA H SELEMANI F D C C D B D E D F 1.6 CREDIT
0022 ORESTA A CHIAMBA F B B+ B C B+ E D D F 2.6 MERIT
0023 RAHIMA A ISSA F B B+ B C B+ E D D F 2.6 MERIT
0024 SALAMA A LITAMBA F D C C D B D E D F 1.6 CREDIT
0025 SALMA F RAFAEL F B B+ C C B E D D F 2.3 CREDIT
0026 SHANIFA M MKANDU F B B+ D D B+ D E D F 2.1 CREDIT
0027 SIFA J LUPENE F B B+ D D B E E E F 1.7 CREDIT
0028 SOMOE A SAIDI F B B D D B E E D F 1.7 CREDIT
0029 SOMOE J NAMKAMI F B B+ D D B E E C F 2.0 CREDIT
0030 SUBIRA A ALLY F B B C D B D E D F 2.0 CREDIT
0031 ZAINABU S TABU F B B B D B D E D F 2.1 CREDIT
0032 ZANIFA M KAISI F C B+ D D B E E D F 1.7 CREDIT
0033 ZUHURA N ALLY F C B C D B D E D F 1.9 CREDIT
0034 ZULFA H ALI F B B C D B D D D F 2.0 CREDIT
0035 ZUWENA S MOHAMEDI F C B C D B E E D F 1.7 CREDIT
0036 ALLY A SHAIBU M Absent ABS
0037 ASHRAF H JUMBE M A B+ B+ B B+ E E C F 3.1 MERIT
0038 AZIZI H MMAKAYA M Absent ABS
0039 DISMAS A MTENG'ENDE M B B+ C D B D D C F 2.3 CREDIT
0040 FARAJA M NJENJEMA M C B+ B B B+ E D D F 2.6 MERIT
0041 HAMISI A BINARI M C B C D B E E D F 1.7 CREDIT
0042 HAMISI R DADI M E D C D C E E E F 0.9 PASS
0043 HASSANI S HAMISI M D C C D B+ E E E F 1.4 PASS
0044 JOHN P MKUNDA M C B C C B E D C F 2.1 CREDIT
0045 JUSTINE J SALUMU M C B C C B E E D F 1.9 CREDIT
0046 MOHAMED R HASSANI M E C C E C E E D F 1.0 PASS
0047 MUDHIHIRI M HATIBU M B+ B+ B C B D D C E 2.7 MERIT
0048 MUIDINI A CHAKINJA M Absent ABS
0049 MUSA J NAMWEMBE M B B+ C C B D E D F 2.3 CREDIT
0050 MUSA S MANALA M B C B C B D D D F 2.1 CREDIT
0051 NASHIRU K NALUNDE M C B C C B+ D E D F 2.1 CREDIT
0052 NDEE M MOHAMEDI M Absent ABS
0053 OMARI B MILANZI M Absent ABS
0054 PAUL G DOMINICUS M Absent ABS
0055 RAJABU M SAIDI M Absent ABS
0056 RAZAKI M JUMA M C B C D B E E D F 1.7 CREDIT
0057 RASHIDI R CHIMALE M Absent ABS
0058 RICHARD A SAIDI M C B+ B E B+ E D D F 2.1 CREDIT
0059 SAIDI K JAFU M Absent ABS
0060 SAID S AHAMADI M B+ B+ B+ C B+ D D D F 2.9 MERIT
0061 SALUMU K CHIMALE M B B D D B D D D F 1.9 CREDIT
0062 SHABANI K SALUMU M C B B C B D E E E 2.0 CREDIT
0063 SHAFILU M HARIDI M B+ B+ B+ C B+ E D D F 2.9 MERIT
0064 SHAIBU I ABDARA M Absent ABS
0065 SHANIBU S KALEMBO M B+ C B C B+ D E C F 2.6 MERIT
0066 SHARACK M ISMAIL M B+ B B C B+ D E D E 2.6 MERIT
0067 SHAZIRY R MWAYA M B+ B+ B C B+ E D D E 2.7 MERIT
0068 SHURAKI J THOMAS M C C D E D E D E F 1.0 PASS
0069 YAHAYA B KASSIMU M Absent ABS
0070 YASINI I NATIMA M Absent ABS
0071 YUSUFU R LIHUMBO M B B+ C D B+ E D D E 2.3 CREDIT
A F 0 0 0 0 0 0 0 0 0
M 1 0 0 0 0 0 0 0 0
B+ F 2 22 0 0 10 0 0 0 0
M 6 10 3 0 11 0 0 0 0
B F 16 9 4 0 22 0 0 0 0
M 5 8 8 2 10 0 0 0 0
C F 12 3 17 9 2 0 0 3 0
M 9 5 11 12 2 0 0 5 0
D F 4 0 13 21 0 19 8 24 0
M 1 1 2 7 1 10 12 15 0
E F 0 0 0 4 0 15 26 7 1
M 2 0 0 3 0 14 12 4 5
F F 0 0 0 0 0 0 0 0 33
M 0 0 0 0 0 0 0 0 19

[03/06/15]   MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014 CHINONNGWE SEKONDARI HAYA APA TAKE YOUR TIME

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2014 EXAMINATION RESULTS

S2602 CHINONGWE SECONDARY SCHOOL
DISTINCTION = 0 MERIT = 0 CREDIT = 0 PASS = 6 FAIL = 11

CNO S*X GPA CLASS DETAILED SUBJECTS
S2602/0001 M 0.0 FAIL CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' AGRI - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0002 M 0.3 PASS CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'E' AGRI - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0003 M 0.0 FAIL CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0004 M 0.3 PASS CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0005 M 0.0 FAIL CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0006 M 0.1 FAIL CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0007 M 0.0 FAIL CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0008 M 0.0 FAIL CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0009 M 0.3 PASS CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0010 M 0.0 FAIL CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0011 M 0.1 FAIL CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
S2602/0012 M 0.1 FAIL CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0013 M 0.0 FAIL CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0014 M 0.3 PASS CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0015 M 0.3 PASS CIV - 'F' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S2602/0016 M *E *E ---
S2602/0017 M 1.0 PASS CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
S2602/0018 M 0.1 FAIL CIV - 'E' HIST - 'E' GEO - 'E' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'

#ENJOY,

10/02/2015

Duh unambuka kwa lepi uyu jamaaa.mi namwita #amazing

06/02/2015

Chinongwe Secondary School

23/01/2015

Chinongwe Secondary School

[12/30/14]   uongozi wa page yetu chinongwe secondary school unapenda kuwatakia kheri ya mwaka mpya sherehe za kuuwaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 . tunawatakia Maisha marefu yenye upendo na amani tujipange upya kwa maendeleo yetu na taifa kiujumla. changamoto zipo cha msingi ni kufanya kazi kwa bidii. kwa kuwa chachu ya kuyafikia malengo yako.
ahsante sana
CHOLE h
admin

[12/11/14]   habali zenu Wapendwa na wadau wa page yetu #chinongwe secondary school inapenda kuwashukuru wote kwa kumaliza muhula wa pili salama. nawatakia likizo njema.

24/11/2014

established to liberate community" play your part

24/11/2014

Chinongwe Secondary School

[10/25/14]   Leo ni jumamosi ya tarehe 26/10/2024 k**a tulivyokwisha julishana apo awali kwamba ndugu Yetu enock kambona #TK anafanya mahafali yake k**a ishara ya kuhitimu stashada elimu pale Teofil kisanji. mbeya mda si mrefu wahitimu wataanza kwa shughuli mbali mbali. nakusihi kwa ma*****na upate pcha na matukio mengine. #chole.team

[10/23/14]   Congulation in your Guadration sir ndugu wapendwa wadau wa chinongwe. kila. mwenye mapenzi mema na shule yetu hatosahau mchango wa mwalimu kijana mwenzetu ENOCK KAMBONA kijana mwenzetu anafanya maafali ya kumaliza degree yake ya kwanza kwenye chuo Cha Teofil kisanji kilichopo Mbeya. akiwa k**a mtu wa kalibu kwetu tunatakiwa kuonesha upendo wetu kwake tuongozane kumpa kampani mwalimu/kijana mwenzetu. maafali yanyika kwenye viwanja vya chuo block T Soweto tarehe 25 jumamosi hii. dhihirisha upendo wako. taarifa hii kwa mujibu na enock. kudyanga.ltd with Chole team

04/09/2014

Chinongwe Secondary School

[09/04/14]   mpo sana wadau mbona kimya tupeane updates uko
aka UKO KWENU VIPI

[07/27/14]   kila sifa njema inastahiki kumsifu mwenyezi mungu mwingi wa rehema,,mtukufu wa daraja , mwingi huruma, ukarimu na na usawa kwa viumbe vyake.
kwa niaba ya walimu, viongozi, na wafanyakazi wa shule yetu.
NAPENDA KUWATAKIA HERI YA SIKUU KUU YA IDDI.

ujumbe===>
Hapana iddi kwa mtu anayerejea kwenye maaswi siku na baaada ya siku iddi, kumuaswi mwenyezi mungu siku ya iddi ni sawa na kumuaswi mwenyezi mungu siku ya Qiama
ahsante.

[07/22/14]   ivi kwa nini maendeleo ya Shule yetu yanasua sua sana, nini kifanyike, nani anahusika sana sana kuinua maendeleo ya shule yatu.

hatua zipi za makusudi zinahitajika.
karibu sana.

[06/27/14]   Jamani ukiwa k**a mdau wa karibu na page yetu yenye harufu ya uzalendo zaidi, umepata bahati kubwa kukualikwa, uchangie,uone na zaidi utusadie kuhusu shule yetu. k**a upo shuleni,nje ya shule kwa namna moja ama nyingine unahusika katika kuifikisha katika kilele cha mafanikio shule yetu. iliyotupa mbinu, ujuzi hadi kufika hapa tulipo, ...' lengo kuwasaidia na wengine waliopo hapo shuleni na hata watakaokuja.wafaidike na hapo.
ELIMU HAINA MWISHO

KARIBUNI SANA.

27/06/2014

Chinongwe Secondary School's cover photo

[06/25/14]   chinongwe ndo kila kitu katika maisha yangu

Location

Products

QUALITY EDUCATION AND ENDLESS KNOWLEDGE

Telephone

Address


Ruangwa
27
Other High Schools in Ruangwa (show all)
Mbekenyera secondary school Mbekenyera secondary school
P.O.BOX 09 Ruangwa, Lindi. Tanzania
Ruangwa

Mbekenyera secondary school is a co-eduacational institution (Form one up to form six). ADDRESS: P.O.Box 09 Ruangwa, Lindi,Tanzania (East Africa)