Markaz Miswbaahul huda

Markaz Miswbaahul huda

madrast miswbaahul huda ni madrasa inayojishughulisha na utoaji wa elimu ya dini

Operating as usual

[01/14/18]   liv busweru mwanza tz

14/01/2018

Timeline Photos

[11/12/17]   Hauli ya ustadh mohamed al beth inaendea jijin mwanza sasa hv kupitia kwa face book ya
stadh waziri mohamed

chat.whatsapp.com 10/02/2017

WhatsApp Group Invite

https://chat.whatsapp.com/JlPD0SeICUv34F3oP6gbla.

Kwa yoyote atakae penda kujiuga na group hii ya Markaz miswbaahul huda kwenye whatsapp open link yetu na utakuwa ume jinga moja kwa group yetu.

chat.whatsapp.com Follow this link to join

iqraradio 08/08/2015

Hali ni tete Kabul mabomu yameua watu 41

IQRA FM 100.0 ELIMU NA MATENDO

iqraradio Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani anaongoza kikao maalum cha usalama baada ya mashambulizi kadha ya kujitolea muhanga yaliyopelekea watu 41 kufa.Mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, umekumbwa na milipuko kadhaaMiongoni mwa maeneo yaliyolengwa ni chuo cha maafisa wa polisi, ambapo mtu mmoja aliyekuwa a

iqraradio 08/08/2015

Hali ni tete Kabul mabomu yameua watu 41

IQRA FM 100.0 ELIMU NA MATENDO

iqraradio Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani anaongoza kikao maalum cha usalama baada ya mashambulizi kadha ya kujitolea muhanga yaliyopelekea watu 41 kufa.Mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, umekumbwa na milipuko kadhaaMiongoni mwa maeneo yaliyolengwa ni chuo cha maafisa wa polisi, ambapo mtu mmoja aliyekuwa a

iqraradio 21/11/2014

Algeria yataka mahasimu wa Mali wakubaliane

ELIMU NA MATENDO

iqraradio Serikali ya Algeria ambayo ni mpatanishi katika mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Mali na makundi ya waasi ya kaskazini mwa nchi hiyo imezitaka pande mbili hizo kutumia vyema fursa ya mazungumzo ya amani na kufikia makubaliano. Takwa hilo limetolewa na Ramtane Lamamra, Waziri wa Mashauri ya Ki

iqraradio 07/11/2014

Ban atakiwa kufuatilia jinai za utawala wa Bahrain

iqraradio Chama cha upinzani cha al Wefaq nchini Bahrain kimemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon afuatilie jinai za utawala wa al Khalifa. Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa chama hicho amesema, kuk**atwa tena Nabil al Rajab na viongozi wengine wa upinzani wa Bahrain na kupigwa marufuku shu

iqraradio 07/11/2014

Ban atakiwa kufuatilia jinai za utawala wa Bahrain

iqraradio Chama cha upinzani cha al Wefaq nchini Bahrain kimemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon afuatilie jinai za utawala wa al Khalifa. Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa chama hicho amesema, kuk**atwa tena Nabil al Rajab na viongozi wengine wa upinzani wa Bahrain na kupigwa marufuku shu

iqraradio 07/11/2014

Ban atakiwa kufuatilia jinai za utawala wa Bahrain

iqraradio Chama cha upinzani cha al Wefaq nchini Bahrain kimemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon afuatilie jinai za utawala wa al Khalifa. Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa chama hicho amesema, kuk**atwa tena Nabil al Rajab na viongozi wengine wa upinzani wa Bahrain na kupigwa marufuku shu

iqraradio 07/11/2014

Ban atakiwa kufuatilia jinai za utawala wa Bahrain

iqraradio Chama cha upinzani cha al Wefaq nchini Bahrain kimemtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon afuatilie jinai za utawala wa al Khalifa. Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa chama hicho amesema, kuk**atwa tena Nabil al Rajab na viongozi wengine wa upinzani wa Bahrain na kupigwa marufuku shu

iqraradio 12/10/2014

Mtu mwengine apatikana na Ebola Marekani

iqraradio Mfanyikazi mwengine wa kituo cha afya aliyemtibu Thomas Dancun kabla ya kifo chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.''Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili kuripotiwa ,na tumejitayarisha kwa uwezekano huo''alisema Daktari David Lakey ambaye ni ka

iqraradio 12/10/2014

Dunia yalaumiwa kutodhibiti Ebola

iqraradio Shirika la madaktari wasio na mipaka wanaotoa huduma za kitabibu nchini za Afrika Magharibi dhidi ya Ebola limesema dunia inapaswa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na janga la ugonjwa huo.Rais wa chama cha madaktari wasio na mipaka Medecins sans Frontieres Joanne Liu amesema anashindwa k

iqraradio 12/10/2014

Boko Haram lawaachilia mateka 27

iqraradio Rais wa Cameroon amesema kuwa mateka 27 wakiwemo raia 10 wa Uchina wameachiliwa na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.Raia hao wa China walitekwa nyara mwezi mei wakati kampuni moja ya China ilipovamiwa karibu na mpaka wa Nigeria.Wengine walioachiliwa ni pamoja na mke wa naibu waziri mkuu nchini Cam

iqraradio 12/10/2014

Wakutana kujadili ujenzi wa Gaza

iqraradio Wawakilishi wa zaidi ya nchi 50 wanakutana mjini Cairo hii leo katika mkutano wa kulijenga upya eneo la Gaza baada ya vita vya hivi majuzi kati ya Hamas na Isreali.Utawala wa Palestina unataka usaidizi wa dola biliioni nne kufadhii ujenzi wa miaka mitatu.Gaza ilikumbwa na uharibifu mkubwa wa miund

iqraradio 12/10/2014

UN:Ebola kudhibitiwa kwa miezi mitatu

iqraradio Mjumbe wa Umoja wa Mataifa anayehusika na ugonjwa wa Ebola David Nabarro ameiambia BBC kuwa mlipuko wa ugonjwa huo magharibi mwa Afrika unaweza kudhibitiwa katika kipindi cha miezi mitatu.Dr.Nabarro alisema kuwa ina maana kuwa visa vipya vya ugonjwa huo vitapungua kila wiki.Amesema kuwa kwa sasa

iqraradio 12/10/2014

Bisimwa aikosoa vikali ripoti ya UN iliyo dhidi ya M23

iqraradio Kundi la waasi wa zamani wa M23 huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeikosoa ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Umoja wa Mataifa kuhusiana na unyama na ukatili uliofanywa na wanamgambo wa kundi hilo.Bertrand Bisimwa kiongozi wa kundi la M23 ameitaja ripoti hiyo ya Umoja wa Mat

iqraradio 12/10/2014

Rais wa CAR akutana na viongozi wa Anti Balaka

iqraradio Rais wa Serikali ya Mpito ya Jamhuri ya Afrika ya Kati amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa kundi la wanamgambo wa Kikristo la Anti Balaka la nchini humo.Taarifa kutoka Bangui zinasema kuwa, Rais Catherine Samba – Panza jana alikutana na viongozi wa kundi la Anti Balaka na kulitaka kun

iqraradio 12/10/2014

Bunge la Liberia: Homa ya Ebola isikwamishe uchaguzi

iqraradio Msemaji wa Bunge la Liberia amesema kuwa, bunge la nchi hiyo linapinga vikali mpango wa kuakhirishwa uchaguzi wa Baraza la Seneti k**a ilivyotangazwa hivi karibuni na Rais Ellen Johnson Sirleaf wa nchi hiyo kutokana na kasi ya kusambaa homa ya Ebola nchini humo.Isaac Red amesema kuwa, wabunge wa

iqraradio 12/10/2014

Bunge la Liberia: Homa ya Ebola isikwamishe uchaguzi

iqraradio Msemaji wa Bunge la Liberia amesema kuwa, bunge la nchi hiyo linapinga vikali mpango wa kuakhirishwa uchaguzi wa Baraza la Seneti k**a ilivyotangazwa hivi karibuni na Rais Ellen Johnson Sirleaf wa nchi hiyo kutokana na kasi ya kusambaa homa ya Ebola nchini humo.Isaac Red amesema kuwa, wabunge wa

iqraradio 12/10/2014

Matukio ya Yemen; kukaririwa ya Iraq kwa usukani wa Saudi Arabia

iqraradio Katika hali ambayo, ilikuwa ikitarajiwa kwamba makubaliano ya kisiasa ya Septemba 21 kati ya Wahuthi na Rais wa muda wa Yemen, yangepelekea nchi hiyo kurejea katika amani na utulivu wa kiwango fulani, hali ya mambo haijawa k**a ilivyotarajiwa, kwani nchi hiyo imeendelea kushuhudia vurugu na mac

iqraradio 12/10/2014

Saudia yaamuru kuungwa mkono magaidi

iqraradio Wizara ya Mwongozo na Wakfu ya Saudi Arabia imewataka mahatibu misikitini kuyaungwa mkono makundi ya kigaidi. Taarifa iliyotolewa leo na wizara hiyo imeeleza kuwa, makhatibu wa misikiti nchini humo wametakiwa watoe hutuba zinazounga mkono makundi ya kigaidi na yanayobeba silaha katika baadhi y

iqraradio 12/10/2014

Ubelgiji yakemea ndoa za kulazimishwa

iqraradio Taasisi isiyo ya kiserikali nchini Ubelgiji imelaani vikali mwendelezo wa vitendo vya kuwalazimisha wasichana kuolewa wakiwa na umri mdogo duniani. Taasisi ya Belgium Plan imeeleza kuwa, katika kila dakika moja wasichana wadogo 27 hufungishwa ndoa kwa nguvu duniani. Taasisi hiyo imeeleza kuwa, v

iqraradio 12/10/2014

Mabaki ya utawala wa zamani Tunisia yahofiwa kurejea

iqraradio Mabaki ya utawala wa zamani wa dikteta aliyepinduliwa Tunisia Zainul Abidin Bin Ali wanapanga kurejea katika ulingo wa kisiasa nchini humo kwa kugombea katika uchaguzi ujao wa bunge na rais, licha ya kukataliwa na wananchi. Nchi hiyo ya Kaskazini mwa Afrika yenye karibu watu milioni 5.2 wali

iqraradio 12/10/2014

Jumapili, Oktoba 12, 2014

iqraradio Leo ni Jumapili tarehe 17 Mfunguo Tatu Dhul-Hijja mwaka 1435 Hijiria, inayosadifiana na tarehe 12 Oktoba mwaka 2014 Miladia.Siku k**a ya leo miaka 482 iliyopita wakoloni wa Kihispania walianzisha mashambulizi chini ya uongozi wa Francois Pizarro dhidi ya ardhi inayojulikana hii leo kwa jina la Pe

iqraradio 02/10/2014

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka mzingiro wa Ghaza uondoshwe

iqraradio Ban Ki moon Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini New York, ambapo sanjari na kumtaka asimamishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina, amesisitiza juu ya kuondoshwa mzingiro wa kidhuluma

iqraradio 02/10/2014

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka mzingiro wa Ghaza uondoshwe

iqraradio Ban Ki moon Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini New York, ambapo sanjari na kumtaka asimamishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina, amesisitiza juu ya kuondoshwa mzingiro wa kidhuluma

iqraradio 02/10/2014

Alkhamisi, 02 Oktoba, 2014

iqraradio Leo ni Alkhamisi tarehe 7 Dhulhaji 1435 Hijria sawa na Oktoba 2, 2014.Tarehe 7 Dhulhija miaka 1321 iliyopita, aliuawa shahidi Imam Muhammad Baqir AS mjukuu mtukufu wa Mtume wa Uislamu Muhammad (SAW) na mmoja wa Maimamu watoharibu katika kizazi chake. Imam Baqir AS alizaliwa katika mji mtakatifu

iqraradio 29/09/2014

Jumatatu, 29 Septemba 2014 Je Mugabe atamrithisha mkewe mamlaka?

iqraradio Hofu ya wananchi ni kwamba huenda Mugabe akamrithisha mkewe mamlaka Kuzaliwa kwa utawala wa kinasaba sio jambo jepesi kubashiri.Lakini wananchi wengi wa Zimbabwe kwa sasa wanaonekana kushawishika kuwa kuna uwezekano wa familia ya Mugabe kuingia katika orodha hiyo ya kurithishana madaraka.Rais

iqraradio 28/09/2014

Jumapili, 28 Septemba 2014 09:24 Rais Samba ataka vikwazo vya silaha viondolewe CAR

iqraradio Rais Catherine Panza –Samba wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ameutaka Umoja wa Mataifa kuangalia upya na hatimaye kuviondoa vikwazo vya silaha vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo. Akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Panza- Samba amesema kuwa, iwapo vitaondoshwa vikwazo vya sil

iqraradio 28/09/2014

Jumapili, 28 Septemba Ghandour: Wakazi wa Darfur wajiepushe na maadui

iqraradio Makamu wa Rais wa Sudan amewataka wakazi wa eneo lililogubikwa na ghasia na machafuko la Darfur kuwa macho na njama za maadui za kuzusha mifarakano. Ibrahim Ghandour amesema kuwa, maadui wa Sudan wanafanya njama za kuibua mifarakano na hitilafu kati ya wakaazi wa eneo la Darfur na kusisitiza kwa

iqraradio 28/09/2014

Jumapili, 28 Septemba 2014 Somalia yamsaka kiongozi mpya wa al Shabab

iqraradio Shirika la Upelelezi na Usalama wa Taifa la Somalia limetangaza kuwa, serikali ya nchi hiyo itatoa zawadi ya kitita cha dola milioni mbili kwa mtu yeyote atakayesaidia kutoa taarifa zitakazopelekea kutiwa mbaroni kiongozi mpya wa kundi la kigaidi la al Shabab nchini humo. Taarifa kutoka Mogadis

iqraradio 28/09/2014

Jumapili, 28 Septemba 2014 Jivu la Volkano lawaua watu 30 Japan

iqraradio Mlima Ontake Takriban wakwea milima 30 huenda wameaga dunia nchini Japan kufuatia kulipuka kwa mlima wa Volcano siku ya Jumamosi na kusababisha kukwama kwa mamia ya raia hao karibu na kilele cha mlima huoMakundi ya uokoaji yanasema kuwa yalipata miili karibu na kilele cha mli

iqraradio 28/09/2014

Salva Kiir sasa ataka kusitshwa kwa vita

iqraradio Rais Salva Kiir na Riek Machar wakibadilishana makubaliano ya kusitisha vita Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir amesema kuwa serikali yake imejitolea kumaliza vita nchini nchini humo.Akiongea kwenye mkutano mkuu wa baraza la umoja wa mataifa mjini New York Kiir ameitaka jamii ya kimataifa kuwashini

iqraradio 28/09/2014

Mwanamke aliyekana dini kuanza kampeni

iqraradio Mwanamke raia wa Sudan ambaye alihukumiwa kifo mapema mwaka huu kwa kuikana dini ya kiislamu ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu awasili nchini Marekani mwezi Julai.Meriam Ibrahim alipokea tuzo kutoka kwa shirika moja la kikristo mjini Washington lililomtunuku kwa ujasiri wake.Kwenye

Videos (show all)

Zafa la Maawal Islamia Tanga Tanzania.
Asalam alykum
Asalam alykum
Asalam alykum
Maandaliz ya maulid nabii

Location

Category

Telephone

Address

[email protected]
Mwanza
+255754315357
Other Education in Mwanza (show all)
MwanzaOneTuition MwanzaOneTuition
Sabasaba,Ilemela
Mwanza

tuition for science subjects which are physics(0-level and A-Level),chemistry(0-level and A-Level),mathematics(0-level and A-Level) and biology(0-level)

Bwiru Schools Bwiru Schools
217
Mwanza

Hapa ndo tulipitokea wengi wetu,hebu tupeane changamoto zilizotupata wakati ule na zinazoendelea kutupata kwa sasa,tudumishe umoja wetu na tuiendeleze kauli mbiu yetu *mbele daima*

Iqra College of Business and Information Technology Iqra College of Business and Information Technology
Mabatini, Nyamagana Mwanza
Mwanza, P.O.BOX 11170, MWANZA

IQRA COLLEGE is a registered private college located in Mwanza City. NACTE REG. NO. BMG/041 VETA REG NO. VET/MZ/PR/2012/C/012

Mwanza Christian College - MCC Mwanza Christian College - MCC
Along Airport Road, Opposite Rockcity Mall
Mwanza, 1591

Developing Christian servant leaders, through value-based training and research, to be agents of holistic transformation in the church and community, in Tanzania and beyond.”

Mwanza General College Mwanza General College
Rufiji
Mwanza, 33101

We offer Computer, Business, Tourism, Driving and Tailor / Stitching Courses

Blessing Day Care Mwanza Blessing Day Care Mwanza
Mwanza, P O BOX 1565 MWANZA

We provide education to kids under five years

Montessori School Mwanza, Tanzania Montessori School Mwanza, Tanzania
Mwanza

Sr. Denise is in Mwanza since more than 30 years. She came to Tanzania to make a small Change for Africa but a big Change for a lot a children.

Zinduka Club bwiru BOY'S Zinduka Club bwiru BOY'S
Bwiru
Mwanza, 217

facebook/zindukabwiru also:www.francisdngadaya.blogspot.com

Mawaridi Centre Mawaridi Centre
Kilimahewa Bigbite
Mwanza, 979

mawaridi centre is an instution which deals with.education in the category as follows...kindergaten....tuition classes and english course.....

Istiqaama Open School Istiqaama Open School
Nyakato
Mwanza

Istiqaama Open School (IOS) ni kituo cha Elimu kilichopo Wilaya ya Ilemela, Jijini Mwanza, Mtaa wa Nyakato Sokoni, Sambamba na Msikiti wa Istiqaama.

Huruma Owden Mwakiluma Huruma Owden Mwakiluma
Mwanza, 255

Forest TFS Lake Zone,

Interectual publishers Interectual publishers
[email protected]
Mwanza, +255

insightful thinking, education and publications.