Bossan Dingy

Bossan Dingy

Tatizo sio unamawazo gani tatizo ni utayafanyia nini mawazo yako?

Operating as usual

[11/23/20]   Huu mwaka kabla ya kuanza nilisema mpaka uishe nitajitahidi niwe na pesa kichizi sasa unaelekea kuisha UCHIZI wenyewe nimeupata ila PESA bado PDF yake haijafunguka bado ni kipengele sana

11/10/2020

Mwanaume

08/10/2020

Jitahidi unapokuwa ukue wewe na PESA

06/10/2020

Boss

24/06/2020

Bossan Dingy

[02/05/20]   Unaweza ukaniachia feedback kuhusu page hii na mimi nitafanyia kazi feedback zote kuhusu page hii kwa sababu ni page kwaajili ya watu wote na furaha yangu ni kukupa unachokibitaji

05/02/2020

Unaufahamu Mtandao wa YOUTUBE? Je historia yake?
YouTube ilianzishwa Mwaka 2005 na wafanyakazi wa tatu wa Kampuni ya Paypal hii ni kampuni ya kimtandao inayojihusisha na usafirishaji wa pesa kupitia mtandao kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine au sehemu moja kwenda sehemu nyingine Domain name ya www.YouTube.com ilianzishwa Mwaka 2005 mida ya SAA 9:30 usiku
Lengo kuu la YouTube ni kushare videos kutoka katika vyanzo mbalimbali duniani na kumfikia MTU mwingine #BDHistory

05/02/2020

Harmonize aambiwa anaimba Taarabu

Mashabiki wamcharukia HARMONIZE Kwa ujio wake mpya Ni baada ya kuja na back to back ya video za nyimbo zake mbili TEPETE Aliyomshilikisha Mr Eaze na Hainistui sasa kaja na Nyimbo mpya iitwayo #HUJANIKOMOA

01/02/2020

MAREKANI: BUNGE LA SENETI LASIFU MAKONDA KUZUIWA

- Limesema kuzuiwa kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuingia nchini humo ni hatua nzuri ya mwanzo katika kuwawajibisha wale wote walio Tanzania wanaohusika na kuizorotesha Demokrasia

01/02/2020

TANZANIA YAPIGWA MARUFUKU KUSHIRIKI BAHATI NASIBU YA VIZA ZA MAREKANI

- Marekani imepiga marufuku Raia wa Tanzania kushiriki katika Bahati Nasibu ya kupata Viza hizo

- Ni saa chache baada ya RC wa Dar, Paul Makonda kuzuiwa kuingia Marekani

#Bochartapp available in Google play store!

13/01/2020

Mo Dewji Ya Simba kupoteza mchezo wake wa fainali dhidi ya Mtibwa sugar atangaza kuacha uenyekiti simba
Azungumzia kuweka billions of dollars kwa wachezaji bila maendeleo

Unazungumziaje uamuzi wa MO DEWJI?

#Tumedhaminiwa na #Bochartapp app no 1 ya wasomi tanzania unaweza kifanya discussions na wasomi wengine pamoja na kupata notes za masomo yote Secondary mpaka vyuoni. App ya #Bochartapp ipo Google play store kaipakue sasa!

[01/13/20]   Hivi ni kweli watoto wa kike kuonekana kufaulu sana kidato cha nne kuliko watoto wa kiume ni kweli? au wanafanya hivyo tu kuwapa moyo na kuwafanya watoto wa kike wajiamini tu? Toa maon yako

11/01/2020

TANZIA: AGGREY MORIS AFIWA NA MKE
WAKATI AKIJIFUNGUA
Taarifa kutoka club ya AZAM inaeleza juu ya kifo cha mke wa mchezaji wa timu hiyo Aggrey moris marehemu kifo kimemkuta wakati akiwa katika harakati za kujifungua mungu akampenda zaidi

Tunawapa pole familia na wanachama wa azam pamoja na Aggrey moris awape uvumilivu katika kipindi hichi kigumu

11/01/2020

ANYWA SUMU KWA KUPATA DIVISION FOUR KIDATO CHA NNE

Mwanafunzi Michael Aron Mkazi wa Kijiji cha Ihana Mkoani Songwe ambaye amehitmu Form Four St.Aggrey Secondary Mkoani Rukwa amelazwa katika Hospitali ya Vwawa baada ya kujaribu kujiua kwa kunywa sumu kwa kinachodaiwa ameechukizwa na matokeo yake.

Michael amekunywa sumu ya kuulia magugu (Gramoxone) baada ya kupata Division four ya point 26 wakati ambapo yeye alitarajia apate Division one ili atimize ndoto zake za kuwa Daktari.

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe Dkt.Ahmed Ramadhani amethibitisha kumpokea na kusema wanaendelea kumpatia matibabu.

11/01/2020

Anybody talking About this MONEY but whn you get it anybody acting funny

[11/01/19]   MASTURBATION:
Please don't sleep or go to bed without reading this special message, trust me you will be helped and your life will change for better.
THE GREATEST DEMON ON EARTH.
IF YOU MASTURBATE, YOU WILL BE POOR
FOREVER UNLESS YOU ARE DELIVERED.
So take your time to read this. Refuse to end this MONTH the same . Believe me you will never regret reading this, this will answer almost 78% of your questions?
Please whether you are a man or a woman,
stop what you are doing and read this now.
Each time you masturbate, you donate
sperm to the demonic kingdom.
Masturbation is like having sex in dreams,
each time you release, you in-pregnante a
demon and as a woman, each time you are
masturbating, you are having sex with a
demon and sometimes get pregnanted by a
demon.
Have you ever wondered how you see
yourself with children or breastfeeding a
baby in dreams when physically you have
non? Those who are married its had to have affection to their partner.
That's the demon or demons you gave birth
to. One Sunday during the One on One section,
a very intelligent man came to me to
complain that he had an accident in 2014
and lost his car, he nearly lost his life but
God saved him.
From 2014 he had been applying to get
money from the government an "accident
grant" but the money was not given to him.
Each time he goes to claim his money he
would be told to come today, come
tomorrow and this money is over a million
Rand.
As I was praying for him, God revealed to
me that he had donated all his fortune to
the demons, he masturbate 4 to 5 times a
day.
When I asked him he agreed and asked me
to deliver him, I prayed for him and told him
that tonight, you will have a dream, a
woman will come to make love to you, catch
her and pull out a ring from her, that will be
the end of your problems.
3days later he had a dream, his former
classmate came to make love to him, he
caught her, pulled out a ring from her finger
and woke up immediately.
And began to thank God ,around 13:40 hrs the money which where held for along time was released.
That is the God I know ,the God of War, The God of miracles.
Many of you would have been so rich now
but because of masturbation, your wealth,
good luck and happiness have been
donated to demons. You would have been married by now but your feelings are gone because of masturbation.
Listen to me, the enemy has come up with sex toys, sex objects, to aid masturbation, to steal kill and destroy humanity completely. Do you know that Sex toys is an industry of the devil.
From today I want to help you understand that Masturbation is a spirit – a demon. This spirit of darkness does not come alone, it is accompanied by spirit of lust. Spirit of lust includes lust of eyes, lust of flesh, etc.
It is one of the spirits that takes people to which pornography and all sorts of sexual immorality.
(Pornography is a fuel of masturbation).
It's never too late:
Distance is not a barrier, I pray for anyone
that will Type Amen and share this post, the demon that is eating your fortune will divorce you forever in the mighty name of Jesus.
I return your fortunes in Jesus name.
Give no room for the devil to manipulate your life.
2000 people immediately you Type: Out of my body 3 Times and Share This Post 2 Times, by the power in the blood of Jesus, you demon of MASTURBATION come out . 2 days from now you will have a dream that demon which makes you masturbate shall come out your body.
And all your crossed doors shall open to favour you.
I say out
Out
Out
Ouuuuuuut .
Now congratulations, because all that the devil stole from you is bring back .
June 22 at 1:52 PM · Facebook for Android ·
Public
Like Page · Save
963
Write a comment...
Comment
Attach a Photo · Mention Friends
Charles Mwale
Of course because when I was single I was practicing this evil action. Thank God because today I have understood and I reverse all things that Satan because of this evil action, robbed in the mighty name of Jesus the son of living God amen
Edited · 8 · Like · React · Reply · More ·
Sep 25
Sallyz Wamanoma Makampan
Spirit of masturbation l command you to come out, out!!! Of my body in the name of Oh mighty Lord Jesus Hallelujah...... Amen
1 · Like · React · Reply · More · Jun 25
Caroline Oyawiri
Am free tank God an Free in did, Amen ooooooooo
Like · React · Reply · More · Jun 23
Mathew Prince
AMen amen amen and amen....I rebuke u spirit of masturbation in Jesus mighty name I pray... Amen!!
1 · Like · React · Reply · More · Jun 23
Pempho M. Khamula
Amen I free my self from any demon and the spirit of masturbantion
2 · Like · React · Reply · More · Jun 24
Samzy Damiano
Amen!!! And Amen, now I know that we have lost some blessings of God due to masterbation, now I command you the spirit of devil who take my life as your reward to come out of mybody from now onwards,thank God for allow me to to know this secret action of the evil, I thank you Lord for restalling my life from the evil one, Amen
1 · Like · React · Reply · More · Today at 6:48 AM
Natukunda Zogo Asa
Out of my life the devilc spirit of sleepng with demons in dreams and msterbtn,thank you jesus for deliverng me.glory and honor back 2 jesus
Like · React · Reply · More · 5 hours ago
Wackisar Ackim Mgundadzuwa
I need to be free from this evil spirit of masturbation, I command out in body u have used me too I pray in Jesus name ,but please my friends pray for I have done this too much plz help cast out this evil spirit, I need to be free from this
Like · React · Reply · More · Wednesday at 10:09 AM
Omotayo Owolabi
Spirit of maturbation out of my body ljn ameen
1 · Like · React · Reply · More · Jun 26
Overton Matemba
AMEN ,AMEN ,AMEEEEEEEEN in Jesus name may the mighty God continue Guiding U what ever your doing, what a powerful words once again AMEEEEN

30/08/2019

Watoto wawili mapacha walioungana waliozaliwa January 29 mwaka 2018 huko Kagera na kupelekwa Saudi Arabia kwaajili ya kufanyiwa huduma ya kuwatenganisha zoezi hilo limefanikiwa na unaambiwa Afya zao zipo fresh kabisa

23/08/2019

#HABARI Idadi ya vifo vilivyotokana na ajali ya lori la mafuta mkoani Morogoro, imeongezeka na kufikia 101 hii ni baada ya majeruhi mmoja aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufariki dunia Alfajiri ya leo Agosti 23, majeruhi walio katika hospitali hiyo kubaki 14.

#Bochartapp App no 1 ya wasomi Tz ipo Google play store!

23/08/2019

"Masters yangu nilimaliza 2012, lakini baada ya kumaliza watu walikuwa wakiuliza kazi wapi, nikawa nasema kazi najifanyia mimi. Ningekuwa nimeajiriwa, nisingeweza kufanya vitu vyote hivi ninavyofanya leo" - MwanaFA
Wewe unasemaje??....,......................................................
#Bochartapp-->App no 1 ya wasomi TZ IPO Google play store!

23/08/2019

Mungu ni mungu 2 chukua hata dk 1 kumuombea huyu jamaa aliyenusurika kwenye Ajari ya moto Morogoro msamvu!

Mungu ni mungu2!
#Bochartapp-App no 1 ya wasomi Tz IPO Google play store!

18/08/2019

😂😂 Hivi kweli???

[08/18/19]   HILI KWANGU NI ANDIKO BORA KWA MWEZI

😘😘😘😘😘😘
Simjui mwandishi but its worthy sharing. Japo ningefurahi kumjua mwandishi ili nimpe credits zake. Hili kwangu ni andiko bora kwa mwezi huu.!
_________
Michael Jackson alikuwa ni binadamu mwenye ndoto nyingi lakini Ndoto zake 2 kuu maishani zilikuwa ni:

1. Kwanza ni kuwa mwanamziki mkubwa zaidi duniani wa Pop.
2. Kuishi miaka 150.

Baada ya kuifanikisha ndoto yake ya kwanza kwa ufanisi mkubwa akiwa na miaka 25 tu aliamua kuanza kuwekeza kwenye ndoto yake ya pili ambayo kwa wakati huo ilikuwa ndiyo takwa lake kubwa.
Ili aweze kuishi miaka 150 (Karne moja na nusu) aliamua kufanya mambo yafuatayo:
1. Aliajiri madaktari binafsi 12 wa kumchunguza mwili wake wote hadi nywele na kucha kila siku.
2. Ilikuwa ni lazima chakula chake kipitie maabara kupimwa kabla hajala.
3. Aliwaajiri wataalamu 15 kufuatilia mazoezi, kazi na kila jambo alilofanya kila siku.
4. Alitengeneza kitanda maalumu kilichokuwa na uwezo wa kufanya 'regulation' ya hewa.
5. Watu 50 waliwekwa tayari kujitolea viungo vyao kama angepata dharura yoyote. Aliwalisha watu hao, aliwatunza na kuwalipa mshahara kila mwezi kwa kazi hiyo.
Baada ya kufanya hayo alikuwa na uhakika wa kuishi karne moja na nusu bila mashaka yoyote. Lakini June 25, mwaka 2009 akiwa na miaka 50 tu moyo wake ulizima ghafla na ndoto yake ikawa imefika mwisho.
Timu ya madaktari wake bingwa 12 haikuweza kuzuia pumzi yake isiondoke. Wale watu 50 waliowekwa 'standby' kumpa viungo hawakuweza kumsaidia. Akazima ghafla kama taa ya umeme iliyoishiwa luku.
Pamoja na juhudi za madaktari wengine kutoka Calfornia na Los Angeles hawakuweza pia kuokoa maisha yake. Mtu ambaye kwa miaka 25 alikuwa hawezi kunyanyua unyayo wake bila ushauri na ruhusa ya madaktari akawa kafika mwisho bila kutimiza ndoto yake ya kuishi miaka 150.
Safari ya mwisho ya Michael Jackson ilishuhudiwa moja kwa moja na zaidi ya watu milioni 3, rekodi ambayo haijavunjwa hadi sasa. Ndiye mtu aliyepata kuagwa na watu wengi zaidi katika historia ya dunia tangu enzi za Pontio Pilato.
Siku aliyofariki mitandao mikubwa ya Wikipedia, Twitter, Yahoo, AOL's instant messenger ilielemewa na mzigo wa watumiaji waliokuwa wakisaka taarifa za kifo hiki hadi ikaacha kufanya kazi. Google pia ilivunja historia ya matumizi yake kwa siku ile.
Michael Jackson alitaka kupambana na kifo lakini hakuweza hata kufikia nusu ya umri aliopenda kuuishi. Mtu aliyekua na uwezo wa kufanya lolote ili aweze kuishi umri autakao lakini alizima kama mshumaa. Biblia inasema ni yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja? Hakuna. (Mathayo 6:27).
Ikiwa hatuwezi kuongeza hata kimo chetu basi hatuwezi kufanya lolote kuhusu hatma ya maisha yetu. Michael Jackson alifanya yote yaliyowezekana ili aishi miaka 150 lakini hakufika hata nusu ya umri huo. Lakini kuna mzee asiye na uhakika wa milo mitatu kule Tandahimba, Rombo, Ngara au Tukuyu ameishi umri mkubwa hata mara mbili ya Michael Jackson. Ni kwa neema tu.
Uhai na uzima tulionao ni zawadi kutoka kwa Mungu. Sio kwamba tunastahili kuliko wengine, hapana. Sio kwamba tumejitunza kuliko wengine. Hapana. Ni kwa neema tu. Hata hatma ya maisha yetu vipo mikononi mwa MUNGU mwenyewe.
Ishi kwa upendo na kila mtu. Ukipata madaraka usiyatumie kunyanyasa wengine. Usifunge watu bila hatia, usiue wapinzani wako, usipoteze wanaokukosoa. Damu zao zitakulilia daima na siku ya mwisho utaulizwa.
Hapa duniani hatuna mji udumuo bali sote twautafuta ule ujao. Ishi kwa amani na watu wote. Maandiko yanasema mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi (Ayubu 14:1). Tumuombe Mungu atuepushe na kiburi, atufundishe kuzihesabu siku zetu na kutujalia mwisho mwema.!

#UsisahauKujiunga na #MaelfuYaWasomi kupitia #Bochartapp

18/08/2019

Wadau naomba kuuliza ? Kuwa muwazi

02/08/2019

Daima usijaribu kutumia pesa wala Cheo kumuumiza ambaye hana Fahamu Kabisa mungu akitumia uwezo alionao kukuumiza wewe kwakua huna utaumia sana
#Bochartapp App no 1 ya Wasomi Tz

09/06/2019

Mafanikio mazuri ni Yale Kufanikiwa wengi Sio peke yako!

Wanafunzi, walimu na Wasomi wote tukiungana pamoja tutaisukuma elimu yetu ya Tanzania
Kupitia Bochartapp mwanafunzi utapata notes,utajipima quiz na majibu hapo hapo na Utafanya discussion na wenzako bureee

Mwalimu utaweza kuwasaidia Wanafunzi wanapokwama katika Discussion mbalimbali pia utaweza kutunga maswali kwaajili ya Wanafunzi wako kama quiz huku ukiwapatia mda Wa kufanya maswali hayo {Time limit} bureee

Hii ni kuanzia secondary mpaka vyuoni

Bochartapp ipo Google play store!

03/06/2019

Je Wewe ni Mzazi ,Mwalimu au Mwanafunzi soma hii

#Usisahau_kulike_page_hii

Bochartapp ni application ya kwanza Tanzania iliyokuja na solution katika sekta ya Elimu

Features
*Kupitia Bochartapp mwanafunzi atapata nafasi ya kufanya discussion na wenzake mfano
Juma ni mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondali Tuangoma dar es salaam Wakati akifanya quizzes kupitia Bochartapp kuna swali alilikosa baada ya kumaliza kufanya quiz yake akapewa jibu ila alishindwa kuelewa kwanini jibu lipo vile Ikabidi ahame kipengele ndanj ya Bochartapp hiyo hiyo akaingia kipengele (Chart) ya Discussion baada ya kufungua akaingia kwenye subchart ya Biology kwasababu swali alilo likosa lilikuwa la Biology Akauliza Baada ya dk 1 Anna Peter wa shule ya sekondali mlimani mkoa wa mtwara Akamjibu swali hilo hivyo Juma akapata solution ya swali lake lakini kadri muda ulivyozidi kwenda watumiaji wengine wa Bochartapp walizidi kumuelewesha Juma Katika mtihani wake wa Biology darasani mwalimu alipotoa test Juma alilikuta swali hilo hivyo lilikuwa maji kwake kuanzia Siku hiyo Juma hajawahi kuacha kupitia Bochartapp akichoka kufanya quiz basi ataingia kwenye discussion asipoingia kwenye discussion basi atasoma notes zilizopo kwenye app pia Hivyo ndivyo Bochartapp inarahisisha Elimu kutoka kwenye ugumu sio sekondali tu mpaka vyuoni tumefika kwa baadhi ya courses ila lengo siku Za usoni ni kuwafikia Wotee

Pia kuna Live class kutoka kwa walimu bora kabisa

Bochartapp IPO Google play store ingia kaipakue sasa

[05/25/19]   #MUHIMU:
#Usisahau_Kulike_page_hii

Kuwa Makini uweze kuwatambua wale watu ambao ukikaa nao unaanza kusahau wewe ni nani, unasahau ndoto zako, malengo yako, na unajikuta umeanza kufanya yale wanayoyafanya wao.

Mara nyingi watu wa aina hii wana uwezo wa kudhibiti maisha yako. Wana uwezo wa Kukurudisha kwenye tabia zako za zamani ulizotumia muda na nguvu nyingi kuziacha.

Kaa Mbali sana na watu hawa kwasababu wanaweza kuwa Chanzo cha wewe kupoteza muelekeo wa Maisha yako.

Watu hawa wanaweza kuwa ni marafiki zako mliosoma zamani. Watu ambao wanafahamu siri zako au mambo mabaya uliyoyafanya na pia watu wanaoujua udhaifu wako.

Usikubali hata kidogo wakuendeshe, waweke mbali na wewe ili uweze kusonga mbele.

Nakutakia Kila la Kheri.
Rafiki Yako Bossan Dingy

Supported by Bochartapp ni Mtandao mpya kwa wasomi Tanzania upo Google play store nenda Google play store tafuta Bochartapp kisha install ukutane na mamia ya wasomi Tanzania

Location

Telephone

Address

Mwanza
Other Educational Consultants in Mwanza (show all)
StadiSpace StadiSpace
SIDO Nyakato, Mwanza
Mwanza

Welcome to the official StadiSpace page. StadiSpace is a local makerspace for kids to exercise their creativity and innovation skills through project-based learning.