Hekima City Academy

Hekima City Academy

Located at Mkolani along shinyanga road 10km from Mwanza city center near Nyegezi bus terminal Hekima City Academy (HCA) is a registered institution with NECTA with P.4831 as a center for national examinations.

Also it offers various technical courses in different displines.

Operating as usual

[12/29/17]   MAAZIMIO 10 KWA MWAKA 2018

1. Kumuomba sana MUNGU awe MSHIRIKA MKUU katika kila hatua ya MAPITO yangu yote.

2. Kupunguza MANENO na kutenda kwa VITENDO.

3. Kupambana KISHUJAA na bila kurudi nyuma mpaka MAFANIKIO yapatikane! Kuhakikisha palipokuwa na 1 iwe 2, palipokuwa na HASI iwe CHANYA.

4. Kupiga vita tabia ya kukaa na KULAUMU yaani kuacha tabia ya kulaumu SERIKALI au WATU BINAFSI kwa namna yeyote kwani LAWAMA hazisaidii chochote bali kupanga MIKAKATI IMARA na KUSONGA MBELE.

5. Kutobweteka na HALI moja hata k**a ni nzuri, bali kutafuta CHANGAMOTO mpya na FURSA mpya.

6. Kwa MAKSUDI KABISA, kuongeza MARAFIKI wenye MAWAZO chanya ya KIMAENDELEO pamoja kukubali uwepo wa MÀADUI wote wenye MALENGO ya kurudisha NYUMA MAENDELEO. Hii inaenda sanjari na KUKABILIANA nao.

7. KUSAFIRI na KUTALII sehemu Mbalimbali DUNIANI ili kujifunza MAISHA mengine pande zingine za DUNIA.

8. Kuongeza ELIMU na MAARIFA mapya ili kukabiliana vyema na MABADILIKO ya KIDUNIA.

9. Kutoa FURSA kwa WATU WENGINE ili kuongeza WIGO wa MAENDELEO

10. Kufanya KITU ambacho kitaacha ALAMA kwa jamii iliyopo na VIZAZI VIJAVYO

#AthmanFimbo

newvision.co.ug 15/07/2017

Magufuli inspires Kiboga mayor to clean town

newvision.co.ug Ssekiwunga says he was inspired by the president of Tanzania, John Pombe Magufuli, when he visited Dar-es-Salaam with other mayors last year.

13/07/2017

Brian Tracy

Greatness is the manifestation of destiny.

12/07/2017

Born Realist

Bill Gates is the King of wisdom

10/07/2017

Born Realist

Great things demand Great Sacrifices

09/07/2017

Born Realist

Entrepreneurship is way to take Control of your Life

mohammedsaid.com 08/07/2017

IN MEMORIAM OF ALLY SYKES AND THE DAY TANU WAS FOUNDED 7 JULAI 1954 (SABA SABA)

mohammedsaid.com Ally Sykes: Soldier, musician, trade unionist, and businessman THURSDAY JUNE 20 2013  email  print Ally Sykes w...

09/06/2017

ujumbe maridhawa

[05/02/17]   Uongozi wa shule ya Hekima City Academy iliyopo mkolani Mwanza unawatakia heri katika mitihani yenu wanafunzi wote wa kudato cha sita (Form 6) nchu nzima

BARAKA ZOTE ZS MWENYEZI MUNGU ZIWE JUU YENU.

31/10/2016

Kwaheri Thomas Mashali kwaheri mwanamichezo mwenzetu, ni pigo kubwa sana kukupoteza kijana mpambanaji na uliyeonyesha njia katika kipaji chako, pumzika mwa amani ya milele HIYO NI NJIA YA WOTE.

29/10/2016

Heri ya siku ya kuzaliwa Mh. Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu na baraka tele katika kuiongoza Tanzania

23/10/2016

Timeline Photos

14/10/2016

Tunakukumbuka katika jitihada zote za ukombozi na ujenzi wa taifa letu.

[09/21/16]   Nafasi za PRE FORM ONE 2016 zimebaki chache sana, wahi mapema umlete mwanao shuleni kwetu.

Kwa mawasiliano piga simu zifuatazo
0759543919
0767307367

HEKIMA CITY ACADEMY is the HOME OF EXCELLENCE

09/09/2016

Viongozi wa academy ya michezo ya Hekima City Academy kaa mkao wa kula soon wanairudisha hewani

30/08/2016

learning by visitation and touring is our first target studying tour @ Mwitongo - Butiama

19/08/2016

Timeline Photos

19/08/2016

Driving Simulator @ Hekima City Academy

mashine za kufundishia vijana ndani ya Hekima City Academy pekee utapata teknolojia hii

[02/05/16]   tunawatakia masomo mema wanafunzi wote nchini katika mwaka 2016

11/10/2015

EDUCATION

The only thing that interferes with my learning is my education.
- Albert Einstein

11/10/2015

Mobile Uploads

10/10/2015

Mobile Uploads

25/08/2015

VISITED SERENGETI 'siringeti as the origin' NATIONAL PARK

25/08/2015

Hekima City Academy's cover photo

[03/25/15]   Kituo chenu cha Hekima City Academy kinapenda kuwakaribisha wanafunzi wote wanaojiandaa kujiunga kidato cha tano (Pre Form Five) kwa masomo mbalimbali.

Walimu ni wale waliobobea na madhari n nzuri kwa kusoma na kujisomea na wanafunzi kutoka shule mbalimbali

KARIBUNI WOTE

Imetolewa na Uongozi

[12/19/14]   Kesho HEKIMA SPORTS ACADEMY wapo mkoani Geita kupimana nguvu na vijana wa GGM waliopo ligi daraja la kwanza. Hii ni kwa ajili ya kujiweka sawa na ligi ya kimtafuta bingwa mkoa. Jana imetoshana nguvu na Toto fc ya mwanza kwa kufungana magori mawili kwa mawili, ikumbukwe kuwa HEKIMA inajiandaa kupanda daraja la pili.
MUNGU IBARIKI HEKIMA SPORTS

18/11/2014

Vijana wa Hekima City Academy Football Club wakijiandaa na mechi.

[11/02/14]   Hekima City Academy wishes the best all form form in Tanzania who are going to begin exams tomorrow 03/11/2014. may the Almighty God blesses you.

Hekima City Academy inawatakia mtihani mwema wanafunzi wa kidato cha nne nchini wanaoanza mitihani yao hapo kesho 03/11/2014. Mungu Awatanguliwe katika mitihani yenu.

[10/21/14]   The school management team of Hekima City Academy is wishing the partner school Calfonia Hills Secondary School all the best in the first form four graduation which will be held on 25th October 2014 at Calfonia Hills ground from 09:00am.

We would like to promise our ling lived relationship forever and best results for the graduates

Hekima City Academt
Management Team

21/09/2014

Timeline Photos

24/08/2014

Watu wakiishuhudia timu ya Hekima City Academy Football Club inayomilikiwa na Hekima City Academy

24/08/2014

Kombe la ubingwa wa Mkolani Cup

03/07/2014

Hekima City Academy's cover photo

Untitled Album 28/01/2014

Untitled Album

[11/01/13]   uongozi wa HEKIMA CITY ACADEMY unawatakiwa wanafunzi wote wa kidato cha nne hapa shuleni pamoja na nchi zima mtihani mwema! MUNGU AWABARIKI

Videos (show all)

ujumbe maridhawa
Driving Simulator @ Hekima City Academy

Location

Telephone

Address


P.O. Box 10777
Mwanza
+255 742 364555
Other Mwanza schools & colleges (show all)
Blessing Day Care Mwanza Blessing Day Care Mwanza
Mwanza, P O BOX 1565 MWANZA

We provide education to kids under five years

Iqra College of Business and Information Technology Iqra College of Business and Information Technology
Mabatini, Nyamagana Mwanza
Mwanza, P.O.BOX 11170, MWANZA

IQRA COLLEGE is a registered private college located in Mwanza City. NACTE REG. NO. BMG/041 VETA REG NO. VET/MZ/PR/2012/C/012

Bossan Dingy Bossan Dingy
Mwanza

Tatizo sio unamawazo gani tatizo ni utayafanyia nini mawazo yako?

StadiSpace StadiSpace
SIDO Nyakato, Mwanza
Mwanza

Welcome to the official StadiSpace page. StadiSpace is a local makerspace for kids to exercise their creativity and innovation skills through project-based learning.

Bwiru Schools Bwiru Schools
217
Mwanza

Hapa ndo tulipitokea wengi wetu,hebu tupeane changamoto zilizotupata wakati ule na zinazoendelea kutupata kwa sasa,tudumishe umoja wetu na tuiendeleze kauli mbiu yetu *mbele daima*

Mwanza General College Mwanza General College
Rufiji
Mwanza, 33101

We offer Computer, Business, Tourism, Driving and Tailor / Stitching Courses

FORM FOUR Bugarika Sec.school=2015mpilla FORM FOUR Bugarika Sec.school=2015mpilla
Bugarika
Mwanza

education for the future.

Isamilo International School Mwanza Isamilo International School Mwanza
Isamilo, Mwanza
Mwanza, 42

The official page for Isamilo International School Mwanza- the best way to interact with fellow students, teachers and alumni and also keep up with the major goings-on at the school.

Mwanza Social Youth Education Club Mwanza Social Youth Education Club
Mwanza

The main goal of this club is to educate all people in different academic field, welcome,share and evaluate people`s views about social issues.

Bismarck Secondary & High School Bismarck Secondary & High School
P.O. BOX 11508
Mwanza, +255

Provision Of Excellence Education And Raise Students With Acceptable Moral.

Lake Driving School Mwanza Lake Driving School Mwanza
3067 Mtakuja Block No 163/302
Mwanza, +255

Lake driving school ni shure inayotoa mafunzo ya udereva mkoani Mwanza na maeneo Yote ya kanda ya ziwa ,huduma zetu ni nzuri sana n tunafanya kazi 24/7.

Montessori School Mwanza, Tanzania Montessori School Mwanza, Tanzania
Mwanza

Sr. Denise is in Mwanza since more than 30 years. She came to Tanzania to make a small Change for Africa but a big Change for a lot a children.