Claud Nursery and Primary School

Claud Nursery and Primary School

Comments

Niko Mwanza Ni Muhitimu Wa Kozi Ya Ualimu Kutotoka Chuo Cha Ualimu Aggrey Chanji Teachers' College Kilichopo Sumbawanga Mjini Mkoani Rukwa Kwa Ngazi Ya GRADE "A' CERTIFICATE (GATCE) Mwaka 2016.Ufaulu Wangu Wa Chuo Ni Credit 3.7,ufaulu Wa 4m4 Ni History "D' English "D' Biology "D' Literature In English "D' Geography "E' Mathematics "F' Civics "C' Kiswahili "B+' Kimsingi Natafuta Ajira Ya Ualimu Ninacheti Cha Ualimu Kutoka Necta! Mawasiliano Yangu Ni:0756351219/ 0789863606.
Nahitaji Kazi Ya Kufundish Kuna Nafasi Shuleni Kwenu?
d

Claud Nursery and Primary school is Located at IGWAMBITI – BUHONGWA WARD, NYAMAGANA DISTRICT, MWANZA . the school has a complete registration.

Operating as usual

26/02/2021

Appreciation from NECTA
Profound congrats to management, staff, kids and parents. Excellent Job.
God bless you, bless your efforts and reward you abundantly

Appreciation from NECTA
Profound congrats to management, staff, kids and parents. Excellent Job.
God bless you, bless your efforts and reward you abundantly

26/02/2021
22/06/2020

Photos from Claud Nursery and Primary School's post

[11/22/18]   Watoto wetu wa darasa la nne twawatakia mtihani mwema

18/02/2018

Photos from Claud Nursery and Primary School's post

[01/01/18]   HAPPY NEW YEAR 2018 TO YOU ALL, YOUR FAMILIES, FRIENDS AND DEAR ONES. WE LOVE YOU ALL. WE PRAY IN THIS YEAR FOR THE RENEWED SPIRIT OF COOPERATION, PEACE AND SUCCESS AT CLAUD SCHOOL AND IN Y/OUR FAMILIES. WELCOME AND LET US JOIN UP HANDS. TOGETHER IN GOD'S NAME WE CAN. THANKS AND GOD BLESS YOU

31/08/2017

Tunawashukuru Wazazi/Walezi mliotuamini na kuwaleta watoto wenu kwetu, tunajivunia kuwa kituo bora cha taaluma na malezi mema kwa vijana wetu. tunaomba zaidi ushirkiano wenu katika kuyafanikisha haya yote, Akhasanteni.

22/04/2017

karibuni katika nyumba ya taaluma,nidhamu na uadilifu kwa watoto wetu.

[11/07/16]   Tunawakaribisha wale mlioko Mwanza mlete watoto kwa ajili ya masomo ya awali na darasa la kwanza 2017

20/04/2016

The guest of honor for the great resilience led by some leaders to witness the special event promotions of the school flag as a symbol of specific identity of the school.

20/04/2016

Shughuri hii ya Ufunguzi rasmi wa shule ilitanguliwa na Adhimisho maalum la Misa takatifu na watumishi wa mungu waliwaongoza waamini katika kufanikisha tukio hili muhimu, tunawaombea afya njema na mwenyezi mungu awaongoze kwa kazi hiyo kubwa ya kuwachunga kondoo wake.

20/04/2016

Management and the entire family of Claud Nursery and Primary school, we would like to thank relatives, parents, friends and all who collaborated from the beginning until the end of the relevant activity of the official opening of the school.

12/04/2016

Don't miss!

12/04/2016

EDUCATION is the "MOST POWERFUL WEAPON"
Which you can use TO CHANGE THE WORLD.

L'éducation est l'arme la plus puissante
Ce que vous pouvez utiliser pour changer le monde.

[04/10/16]   OUR SCHOOL MISSION:
to provide a safe nurturing learning environment with opportunities for each child to develop the skills and knowledge reach fullest potential in order to become a responsible and successful citizen.

10/04/2016

Claud Nursery and Primary School

10/04/2016

Claud Nursery and Primary School

10/04/2016

Claud Nursery and Primary School

Claud Nursery and Primary School ina wajengea watoto mazingira rahisi ya kujifunza nje na ndani ya darasa, michezo pia ni kipaumbele chetu `kwani huwajenga watoto kimwili na kiakili.

Claud Nursery and Primary School 10/04/2016

Education is the key of life

Education is the key of life

10/04/2016

Claud Nursery and Primary School

Elimu ni ufunguo wa maisha, fanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

10/04/2016

Elimu ni ufunguo wa maisha, fanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

10/04/2016

Claud Nursery and Primary School

Claud Nursery and Primary School ina wajengea watoto mazingira rahisi ya kujifunza nje na ndani ya darasa, michezo pia ni kipaumbele chetu `kwani huwajenga watoto kimwili na kiakili.

10/04/2016

Claud Nursery and Primary School ina wajengea watoto mazingira rahisi ya kujifunza nje na ndani ya darasa, michezo pia ni kipaumbele chetu `kwani huwajenga watoto kimwili na kiakili.

10/04/2016

Mazingira mazuri na yenye kupendeza humfanya mtoto kujifunza kwa furaha, Karibuni Claud Nursery and Primary School

10/04/2016

Claud Nursery and Primary School's cover photo

09/04/2016

Claud Nursery and Primary School

16/03/2016

Claud Academy Nursery and Primary School official logo

16/03/2016

One of the ceremony held at Claud Academy

16/03/2016

Michezo ni Afya

16/03/2016

Education is the key of life!

16/03/2016

Claud Nursery and Primary School

Location

Telephone