Efatha-Mwanza

Efatha-Mwanza

Comments

Naomba namba ya mtu wakunielekeza nipate fika kanixan
I.miss u efatha mwanza
TATHMINI KUU KWA HUDUMA/ KANISA
==========================================

Tutafakari haya wana- efatha;
====================================================
Maswali ya kujiuliza sisi wote:
1. Kwanini waumini wanachelewa kuja ibadani siku ya Jumapili na ibada za zoni?=== Hasa kwa efatha mwenge?
2. Kwanini Tulikuwa na ibada 3 zikapungua na kuwa ibada,2
3. Kwanini idadi ya waumini haiongezeki japokuwa kila Jumapili tunawaona watu wengi wanaongozwa sala ya toba?
4. Kwanini hata sasa idadi ya waumini imepukutika, pamoja na kuwa kila jumapili watu wengi wanakuja kuokoka?== Tatizo ni nini na Tufanyeje wana –efatha?
5. Kwanini watu wamepoteza mwamko wa kuja ibadani, na baadhi yao wanaomba udhuru, wengine wanasingizia wataenda ibada ya pili , lakini hawaendi kanisani??
6. Kwanini asilimia kubwa ya wana-efatha ni fukara wakati huduma yetu kwa ujumla ni Tajiri??=== au Kwanini utajiri tulionao haujatunufaisha hadi leo??=== Tatizo ni nini, Anayejua naomba atusaidie maoni au ushauri…
7. Baadhi ya maeneo madogo k**a kwa mchungaji; Mbagga hapa DSM mwenge wamejitambua na hata hali yao ya kiuchumi iko vizuri sana,== kwa nini maarifa haya au ubunifu huu usishirikishwe kwa wote ili tupambane na ufukara.??
8. Je ni kwa kiasi gani jitihada zimefanyika ili waumini wanyanyuke kiuchumi??
9. Mabasi ya Efatha tuliyonayo hivi sasa, yanafanya kazi gani ya kuingiza hela ili kunufaisha umma mkubwa wa wana efatha??.
10. Hali ya kifedha ya miradi ya efatha na ripoti za mapato na matumizi zikoje, tuko wapi, na tunaenda wapi hivi sasa??== mwenye jibu atusaidie.
11. Kwanini tumeishia kuwa watu wa maombi, kambi, kuokoa na kutafuta kilichopotea (kuvuna), kupeleka mavuno Jumapili kanisani, na changizo?? Je hakuna umuhimu sasa wa kuwafundisha watu , ujasiriamalia, uchumi, biashara ili watu wainuke kiuchumi kwanza kabla hatujawageukia na kuchuma kwaooooo??
12. Kwanini hakuna jitihada za kuhakikisha waumini wanakuwa na Ajira au hata biashara ili kuondoa hali ya uduni na umasikini unaowatesa wana efatha, kuanzia vituo vikubwa, maeneo madogo hadi Zoni??
13. Mavuno waliovuna Maaskofu wa Mwenge yakowapi??== nani anafuatilia kujua kinachoendelea Zoni hadi kwa ma-cell-Leader??.
14. Baadhi ya zoni wana abudu watu watatu wane shida ni nini, mbona kila siku ni mikesha na watu wanaomba sana kwa bidii kwanini tusikae chini wote na kujadili??== na uongozi ukawa tayari kusikiliza maswali magumu ya waumini na kuyafanyia kazi?
15. Kwa waimbaji wa mass choir wenye uwezo wa kuingia studio na kurekodi ili wapate hela, maana umri unaenda, ili angalau tupunguze ufukara, na wao baada ya muda Fulani vipaji vyao ambavyo ndivyo mitaji yao vifanye kazi na kuwaingizia hela kwa wanafanya kazi ya kujitolea== nani analiangalia hili ili wasaidike??.
16. Waumini waliopata hasara kutokana na Benki ya Efatha kuanguka kibiashara na kufilisiwa na Benki kuu, Tunafidiwaje???
17. Waumini waliopata hasara kutokana na kuanguka kwa efatha inua jamii wanafidiwaje hela zao=== Maana biashara inahitaji akili ya kuiendesha, huduma au kanisa linahitaji kuongozwa na Roho Mtakatifu=== Tofauti hizi zikiwekewa mipaka ndipo miradi ya walokole itakapofanikiwa.
18. Na k**a waumini wanawalaumu viongozi kwa haki kutokana , hasara walizowasababishia au walivyo wakwamisha,=== ni kitu gani kitakuwa inaendelea ulimwengu wa roho.?
19. Tujitambue, tuamke usingizini, tuwajibike na tuchape kazi, ili 2019 Tanze upya na kusahihisha makosa haya ya kiufundi=== aidha mnaweza kukusanya maoni kwa waumini .
20. Hisa walizonunua waumini kwa lengo la kufufua benki zimefika wapi??
21. Hali ya sasa ya kiroho ya wana- efatha iko chini kutokana na ubabe na ukorofi wa wachungaji na maaskofu, na waumini wanaugulia mioyoni mwao==== Nani anafuatilia utendaji wa wachungaji hasa wadogo siku kwa siku, na maaskofu ili kuhakikisha wanatumika sawasawa na kusudi la efatha??
22. Maswali haya machache yakijibiwa kwa hekima, upendo, ubunifu, akili na amani ya Yesu Kristo Tutatoboza na kustawi, na kufika mahali tunapotakiwa tufike sisi wana-efatha
God is good
Wapendwa Jina la Bwana lihimidiwe nahtaji kuelekezwa kanisa la efatha lilipo..Nimefka mwanza apa ukiligulu chuoni me nimgeni nimeokoka Nahtaj kujua kanisa lilipo
AINA ZA UJUZI
Wefeso 1:3-14
1. Ujuzi ni nini?
Ujuzi ni aina ya Kipawa kutoka mbinguni ndani ya mwanadamu, kinachofanya kazi na ; Roho ya hekima, Roho ya ufahamu na Roho ya ufunuo, ili kumfanikisha mwanadamu; kiroho, kiuchumi, kijamii, kiutumishi, na kwa ajili ya maendeleo yake ya aina malimbali.

2. Aina Za Ujuzi;

i. Ujuzi wa maendeleo.
ii. Ujuzi wa Kiuchumi.
iii. Ujuzi wa Kiutumishi.
iv. Ujuzi unaokusaidia Kustawi katika mifumo ya maisha yako.
v. Ujuzi unaoleta Akili ya mbinguni.
vi. Ujuzi unaoinua kiwango cha ufahamu ulionao.
vii. Ujuzi wa kawaida walio nao watu wote.

3. UFAFANUZI KUHUSU UJUZI:=

Ujuzi Wa Maendeleo; unampa mwanadamu neema na uwezo wa kumiliki, mashamba, viwanja, vifaa vya thamani vya muziki, ili kulisaidia Kanisa au Huduma ipige hatua na kuleta manufaa mazuri.

Ujuzi wa Kiuchumi; unamsaidia mwanadamu au Kiongozi wa Kanisa, Dini au Jamii, kupata neema au upeo wa kutoka mbinguni, unaomsaidia kujua na kuwa na uwezo wa namna ya kupata ; pesa, kumiliki miradi mikubwa inayoingiza fedha nyingi. Ujuzi wa Uchumi unamsaidia Mtumishi kuwa na ubunifu wa namna ya kupata fedha, mbali na kutegemea Sadaka au michango kila mara hapo kanisani, au kwenye Taasisi yenu. K**a kiongozi wenu wa kiroho amepungukiwa ujuzi huu, ni shida sana na anaudhi kweli, ili kumsaidia, Wazee wa kanisa, au viongozi mlio chini, mtamshauri mnapokuwa katika vikao vyenu vya kila wakati vya kihuduma au kikanisa. Msikubali kukaa kimya hadi kieleweke. Akishindikana, anzeni kumwombea kimyakimya, asiposaidika Tafuteni akili ya kufanya, ikibidi muanzishe ninyi kisheria na msajili serikali, ili kupata nguvu na ulinzi wa kisheria. Maana hauwezi kuendesha Huduma au Kanisa kwa kutegemea Sadaka au Changizo.

Ujuzi Wa Kiutumishi; unamsaidia Kiongozi wa Kanisa, Huduma, Dini, au Taasisi Fulani kuwa na uwezo au Neema maalumu kutoka mbinguni, inayomsaidia Mtumishi au kiongozi kujua namna ya kulisaidia kanisa au Huduma kukua na kujiongeza. Matendo 1:8. Ujuzi huu unamsaidia Mtumishi kuwa na namna ya;
i. Kubidiisha waumini wake na kuweka mipango ya kushuhudia ili watu wengi waokoke na kanisa lijae== Ni lazima ratiba hii ifanyike kila wiki. Ukiona haifanyiki anza kuhoji na kumuuliza Mchungaji, Askofu, au Kiongozi wako, akueleze, vipi? Kulikoni?=== k**a amezubaa, basi muamsheni na ashauriwe na wazee au ninyi mlio chini yake. Msimwache hadi aamke usingizini.
ii. Namna ya kuanzisha matawi mapya ya Kanisa au Huduma, kwa ajili ya kukua kwa kanisa (Church Growth).
iii. Ni lazima kiongozi au Mtumishi ahakikishe yeye binafsi amejaa nguvu za Mungu Aliye Hai.
iv. Ni lazima mtumishi ahakikishe waumini wake wote wanajaa nguvu za Mungu Aliye Hai.
v. Ni lazima ziwepo ratiba za maombezi ya Ujazo wa Roho Mtakatifu.
vi. Ni lazima mtumishi awe na uwezo wa kufundisha Neno la Uzima, k**a hawezi analazimika kutafuta Waalimu wazuri wa Neno la uzima, waliopevuka na wanao aminika ili wamsaidie kufundisha. Vilevile Mtumishi anaweza kuchunguza na kubaini Waumini walio na kipawa cha ualimu hapo kanisani ili wamsaidie.
vii. Ujuzi wa utumishi unamsaidia Mtumishi; kuibua vipaji, kuandaa Watumishi wanaochipukia, na viongozi wa kumsaidia Kazi, ili huduma isonge mbele.
viii. Ni lazima kanisani au ndani ya huduma pawe na K**ati mbalimbali k**a vyombo na nguzo za kuliendesha kanisa au Huduma. MFANO:= K**ati ya maombi. K**ati ya fedha. K**ati ya uchumi na maendeleo. K**ati ya vijana. K**ati ya wamama. K**ati ya wababa. K**ati ya wahudumu. K**ati ya walinzi. K**ati ya injili. K**ati ya nidhamu. K**ati ya wazee. K**ati ya ujenzi wa miundombinu. K**ati ya kudhibiti mali zote za kanisa au Huduma.
ix. Kiongozi au Mtumishi ni lazima ajue maendeleo ya waumini wake kiroho yakoje, na ya kwamba atawasaidiaje ili waimarike kiroho, kiutumishi na wokovu.
x. Mtumishi ni lazima awe na maarifa ya kuwainua watu wake Kiuchumi na kifedha, ili kupambana na ufukara.

Ujuzi unaokusaidia Kustawi katika mifumo ya maisha yako:=

Ujuzi huu umebeba nguvu ya ustawi wa kiroho, kimwili, na kiuchumi, unaomsaidia mwanadamu kuyamudu maisha yake na kufanikiwa. Ujuzi huu ni kipawa kinachosaidia sana wanadamu au watumishi, kustawi sana katika uso wa nchi.
Ujuzi unaoleta Akili ya mbinguni:= unamsaidia sana mwanadamu, au Mtumishi na waumini wake kuwa na kipawa cha akili kinachotokana na Roho wa ufahamu, ambacho kinatusaidia kuwa na ufunuo na ufahamu wa kuzibaini; Fursa za maendeleo na kujitambua sisi binafsi kuwa tunatakiwa kufanya nini, na kwa wakati gani na kwa malengo yapi? Ili kupata ustawi, maendeleo, kufanikiwa, au kufikia malengo na kiwango tulicho Andikiwa na Mungu Aliye Hai.
MFANO WA AKILI INAYOTOKANA NA UJUZI:
i. Akili ya maisha.
ii. Akili ya kutafuta pesa.
iii. Akili ya kuishi na kutunza pesa.
iv. Akili ya uongozi.
v. Akili ya kuishi na watu wa aina zote.
vi. Akili ya ububnifu mbalimbali.
vii. Akili ya kutawala Jamii.
viii. Akili ya kuongoza nchi, kampuni au Taasisi.
ix. Akili ya kuendesha kanisa au Huduma.
x. Akili ya darasani ya kukusaidia kufaulu mitihani.
xi. Akili ya kuishi vizuri na mke au Mume.(ndoa).
xii. Akili ya Ki-Mungu.
xiii. Akili ya kuishi vizuri na watumishi wengine.
xiv. Akili ya ufugaji na kilimo.
xv. Akili ya kumiliki na kuendesha miradi ya maendeleo.

Ujuzi unaoinua kiwango cha ufahamu ulionao:= ujuzi huu unatusaidia kuzijua Siri za Ufalme wa mbinguni, Siri za Ufalme wa Mungu, Maarifa ya Roho Mtakatifu , ujuzi na ufunuo wa Neno la Uzima. Mathayo 13:10-11, Waefeso 1:3-14.
Ujuzi huu ni kipawa tunachokipokea kutoka mbinguni, kinachotupa maarifa na fahamu katika Mungu Aliye Hai. Mtumishi Akiwa na ujuzi huu atafika mbali na kufanikiwa sana katika utumishi, maana waumini wake watapiga hatua sana, na watakuwa na furaha sana.

Ujuzi wa kawaida walio nao watu wote :=
Huu ni ujuzi wa chini sana walionao watu wa kawaida, ambao hauna jipya, mambo ni yaleyale ya siku zote. Ukiwa katika kiwango hiki, hauwezi kupiga hatua. Hali hii itawafanya muwe na maisha ya kuiga wengine.
MFANO;= chunguza sana kila anachokifanya Kiongozi wenu au Mchungaji wenu, ili uweze kujua kuwa; anaongozwa na Roho Mtakatifu, au ameiga kutoka huduma Fulani au kanisa Fulani. Fanya utafiti kimya kimya, ili ikusaidie kujua k**a mahali ulipo ni salama na panakufaa? Vinginevyo unalazimika kufanya maamuzi magumu kuondoka hapo maramoja. Mungu Aliye Hai Akupe hekima, Akili, Ufahamu, na Akuongezee Neema ili ufike pale Alipokuandia Mungu Aliye Hai.

Efatha mwanza is located at nyakato nundu B in we are among the church which are growing very fast. We are running the vision and mission of Apostle J.E.M

Operating as usual

26/08/2015

Efatha-Mwanza's cover photo

[01/23/14]   Poverty is not from GOD
Poverty is not a promise but blessing is the promise, GOD think about us more than we think about him, he is our wonderful Father.I bless u in JESUS name.

[01/23/14]   I believe we efatha , we are showing the way to the top as we are chosen generation peculiar royal priest in the kingdom of YEHOVA.Senior pastor mwanza.

Location

Telephone

Address


Nundu
Mwanza
P.O.BOX 11626
Other Mwanza schools & colleges (show all)
Mkolani Nursing and Midwifery School Mkolani Nursing and Midwifery School
Bulale - Buhongwa
Mwanza, MZA,TZ

Mkolani Foundation Health Science Training Institute(MFHSTI) treats each individual student as a peculiar subject whose presence identifies the achievements and failures to the training atmosphere of the school

Darasa La Mzalendo Darasa La Mzalendo
Nyegezi, SAUT
Mwanza, +225

An initiative for children to learn science subjects through musics, games,movies and cards. friendship between Children, Education and School .

StadiSpace StadiSpace
SIDO Nyakato, Mwanza
Mwanza

Welcome to the official StadiSpace page. StadiSpace is a local makerspace for kids to exercise their creativity and innovation skills through project-based learning.

Interectual publishers Interectual publishers
[email protected]
Mwanza, +255

insightful thinking, education and publications.

Bismarck Secondary & High School Bismarck Secondary & High School
P.O. BOX 11508
Mwanza, +255

Provision Of Excellence Education And Raise Students With Acceptable Moral.

Costo  Africa International Training Institute Costo Africa International Training Institute
P.O Box 919
Mwanza

The Costo Africa Training Institute offers the following programs:- 1.Airline and Ticketing Management 2.Hotel Management and Tour Guide 3.QT Your Welcome

Misungwi English Medium Schools Misungwi English Medium Schools
2207 - MWANZA
Mwanza

This is a private English Medium School established and managed by JAHACA GROUP since 1991. It's located in Misungwi district- Mwanza city along The MWANZA-SHINYANGA main road which is just 45KM from the city centre.

Positive Open School Positive Open School
4056
Mwanza, 4056

BRING US A STUDENT, TAKE FROM US AN EXPERT!

Sales,mbeya Sales,mbeya
0765777233
Mwanza, +255

Montessori School Mwanza, Tanzania Montessori School Mwanza, Tanzania
Mwanza

Sr. Denise is in Mwanza since more than 30 years. She came to Tanzania to make a small Change for Africa but a big Change for a lot a children.

Mawaridi Centre Mawaridi Centre
Kilimahewa Bigbite
Mwanza, 979

mawaridi centre is an instution which deals with.education in the category as follows...kindergaten....tuition classes and english course.....

FORM FOUR Bugarika Sec.school=2015mpilla FORM FOUR Bugarika Sec.school=2015mpilla
Bugarika
Mwanza

education for the future.